Alikuwaga na mission zake za kuwasaka madogo wa Olevel wenye tabia za kipunga. Akiwadaka anawakabidhi kwa headmaster kipindi hizo mzee Ngozye, ukiingia mikononi mwa huyu mzee, au Mlokozi kazi unayo.
On the other side alikuwa mwana sana kwa A-level, nilikuwa na msala kwa demu wa zanaki, ulifika hadi kwa headmaster jamaa alinipambaniaga sana.
Ila nadhani alikuwa na mission nyingine nje ya kuwa mwalimu
Ndo nashangaa?Ndalichako tena?
Pumzika kwa Amani Joram Nkya, ulianzia kazi Azaboy ukawa mwalimu wangu mwema,baadae nikapata taarifa uliamia mnazi mmoja na mpaka umauti unakukuta ulikuwa mwalimu Mkuu.
Sidhani kama hapa ukitumia jina lako halali ila najua ulikuwa member kabisa kindaki ndaki.
Wasalimie Wanaccm wenzako,Magufuli, job ndugu,na Joyce Ndalichako.
View attachment 3698168
Poleni sana shem Castle_Lite
Pole sana shem jamaniπThe guy amekusa maisha ya watu wengi. Ni mtu na nusu.
Kwakweli nimesikitika.
Nadhan sisi ni class yake ya pili pale kutufundisha Azania. Dah ππππ.
Ni masikitiko kwakweli. This one imejua kuniliza.
RIP brother angu
Ni mwana sana huyu jamaa.Shem castle lite alikuwa hanywi pombe
Pole sana shem jamaniπ
Usilie sasa utafanya namimi nianze kulia π’π’
Hugs π«β€οΈβπ©Ή
Pale Azania kuna Waalimu walikuwa wana mission zao aisee, kuna Mwalimu alikuwa anafundisha Biology nilikuwa simuelewagi aisee mara siku nyingi anatuuzia maandazi π€£ Class halafu alikuwa ana hali fulani ya masihara , Unoko, Ushikaji fulani hivi.Alikuwaga na mission zake za kuwasaka madogo wa Olevel wenye tabia za kipunga. Akiwadaka anawakabidhi kwa headmaster kipindi hizo mzee Ngozye, ukiingia mikononi mwa huyu mzee, au Mlokozi kazi unayo.
On the other side alikuwa mwana sana kwa A-level, nilikuwa na msala kwa demu wa zanaki, ulifika hadi kwa headmaster jamaa alinipambaniaga sana.
Ila nadhani alikuwa na mission nyingine nje ya kuwa mwalimu
Pumzika kwa Amani Joram Nkya, ulianzia kazi Azaboy ukawa mwalimu wangu mwema,baadae nikapata taarifa uliamia mnazi mmoja na mpaka umauti unakukuta ulikuwa mwalimu Mkuu.
Sidhani kama hapa ukitumia jina lako halali ila najua ulikuwa member kabisa kindaki ndaki.
Wasalimie Wanaccm wenzako,Magufuli, job ndugu,na Joyce Ndalichako.
View attachment 3698168
Pole sana bro....The guy amegusa maisha ya watu wengi. Ni mtu na nusu.
Kwakweli nimesikitika.
Nadhan sisi ni class yake ya pili pale kutufundisha Azania. Dah ππππ.
Ni masikitiko kwakweli. This one imejua kuniliza.
RIP brother angu
Wasalimie Wanaccm wenzako,Magufuli, job ndugu,na Joyce Ndalichako.
Mbona unamchulia Joyce?Wasalimie Wanaccm wenzako,Magufuli, job ndugu,na Joyce Ndalichako.
mmeshaaanza sasa....kwa kuchunguza Azaboy alikuwa ni mission fulani
Aise so painful sanaaaaaThe guy amegusa maisha ya watu wengi. Ni mtu na nusu.
Kwakweli nimesikitika.
Nadhan sisi ni class yake ya pili pale kutufundisha Azania. Dah ππππ.
Ni masikitiko kwakweli. This one imejua kuniliza.
RIP brother angu
Ni mwana sana huyu jamaa.
Ni mwl wangu , ni mshkaj. Kuna group tuko nae. Na pia last two weeks niliongea nae kwa simu.
Juzi tu ijumaa tar 23 Oct, nimecomment kwa picha yake ya insta ile aliyopiga na kuna maghorofa nyuma yake na akanijibu.
Eti leo kafariki πππππ.
Yaani masikitiko makubwa
Kuna mmoja alikuwa anaitwa teacher Hatia mwalimu wa michezo enzi hizo nadhhia aliisha farikigi yule mpaka mtoa yake alikuwa nyokaPale Azania kuna Waalimu walikuwa wana mission zao aisee, kuna Mwalimu alikuwa anafundisha Biology nilikuwa simuelewagi aisee mara siku nyingi anatuuzia maandazi π€£ Class halafu alikuwa ana hali fulani ya masihara , Unoko, Ushikaji fulani hivi.
Kuna mwingine alikuwa anafundisha CIVICS ni mtu wa Musoma yaani alikuwa mtu wa kusafiri sana na stories zake amefikia kwenye Hotel kali ukiingia kwenye jacuzzi kuna sabuni ukiogea uchafu wote unauona SOMENI SHULE MAFALA NYINYI sio mnaleta usela wa Kijinga π
Dooh πͺKuna mmoja alikuwa anaitwa teacher Hatia mwalimu wa michezo enzi hizo nadhhia aliisha farikigi yule mpaka mtoa yake alikuwa nyoka