R.I.P Mwalimu wangu Azaboy, current ukiwa mkuu wa shule Mnazi Mmoja, Joram Nkya

Aisee japo hakutufundisha lakini alikuwa anakuja sana darasani kwetu kupiga story, nadhani kipindi kile alikuwa na Masters akawa anasema ana elimu kubwa isiyo ya kuungaunga kama mkuu wa shule Ngozye.
Nakumbuka aliwahi kutuambiwa kwa wanaume kadri unavyo TOA SHAHAWA ndio unapunguza siku zako za kuishi kipindi hicho hatujielewi.

Rest in peace Mangi.
 
Kuna taasisi moja, waliletwa Madereva wapya, kwa uzoefu nilivyowaangalia tu mara moja nikajua hawa wapo hapa kwa mpango maalum
 
Kuna mmoja alikuwa anaitwa teacher Hatia mwalimu wa michezo enzi hizo nadhhia aliisha farikigi yule mpaka mtoa yake alikuwa nyoka
Kama Nakumbuka vizuri kwa sisi wa kitambo huyu alihamia Azaboy akitokea Tambaza.
 
Rest in peace classmate wangu.
Kazi ni kipimo cha utu
 
Nimelia jana, nimelia leo.
na ntajikaza kesho wakat wa kukuaga. Ila bro angu Joram Nkya,
Hii imejua kuniliza. 😭😭😭😭😭.

Why! You gone too soon bro.
Why! Dah
 
Una maanisha nini kuwa akamasalimie Joyce Ndalichako?

RIP mwalimu Joram!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…