R Kelly akimbilia maombi baada ya tuhuma dhidi yake za udhalilishaji kimapenzi kwa watoto kupamba moto

Yaani mtu anatenda kosa akiwa mweusi kwa wazungu watasema anaonewa.

Hili sakata la R Kelly sio la leo mimi nilikuwa namkubali sana kwa nyimbo zake ila aliposhikwa na clip za watoto wadogo uchi kwenye pc yake nikamdharau sana.

Hata Bill Cosby ni wale wale ingawa wapo wengi weupe wanafanya hayahaya lakini likija la mweusi eti ni uonezi duu


Sent from my SM using Tapatalk
 
Usimsahau na Mohammed naye alibaka binti wa miaka 12

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Foolish

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Amekuwa akituhumiwa kwa muda mrefu sana.
 
Anawaharibu kivipi???
kama ni binti amefika umri wa miaka 18 ametongozwa kakubali ni sawa....labda utufafanulie anawadhalilisha kivipi??
Huyo jamaa ndio tabia yake ...hajaanza jana wala juzi ... alishawahi kukutwa na kashfa ya kutoka na late Aaliya akiwa bado ni under18 .... ila wakafanya figisu akakoswa koswa kupigwa na rungu la sheria ...

Hawa wasanii sio watu wakuwaamini kabisaa ..hata robo ..ni watu ambao huwa wana makando Makando mengi mnooo ...

Nimeona hapo juu kuna mtu aliongelea kuhusu Mj pindi alipo kuwa ana andamwa na kesi kama hiyo ... inawezekana pia hata yeye alikuwa anawafanya watoto wawatu vibaya who knows ... !!? Kinachotokea mara nyingi huwa pindi unapo pishana kimaslahi na watu ambao wameishika industry wanaamua " kuvujisha siri zako " ambazo wanazijua in and out ..ila awali kwakuwa walikuwa na maslahi na wewe " basi walikuwa wameamua kuegemea upande wako ambao ndio unafaida " ...so baada ya kutibuana nao wanaamua tu kumwaga mboga ...

R.Kelly nimteja huyo " tena ana smoke unga haswaa " so mnatarijia atakuwa na matukio ya namna gani "

Kulawiti na kubaka wamepaka ma -padre ashindwe kubaka R .Kelly yeye nani " !?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Spoken as true jury of the supreme court of united states.. ila too bad ulichoandika ni irrelevant pia on the issue[emoji23] [emoji23] [emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…