Wewe news unafuatilia wapi? Mbona ni open case kabisa ndugu yangu. Kila kitu kiko hadharani we umekaa kubisha tu.
Mimi nimeanza kufuatilia hii issue kabla social media hazijashika speed kipindi hicho tunasoma kwenye magazines, blogs na news websites.
Hizi tuhuma hazijaanza leo. R Kelly anachotuhumiwa kufanya hakina ushahidi wa kuridhisha kumtia hatiani kama predator sababu kuna utata mwingi.
Hao mabinti kwasasa ni watu wazima wa miaka 37+,40+. Miaka yote walikuwa wapi sasa kutetea haki zao na ulaya kuna agency za kutetea haki za wanawake kama zote?!
Hawa mabinti ndugu yangu kama haujui ni zile sampuli za akina wema sepetu, Irene uwoya, akina Tunda, etc.
Ni mabinti wale wanaotokea familia micharuko na zisizojitambua. Kuna ushauhidi wa wazi kabisa kuwa wazazi wa hawa mabinti wamekuwa wakijua mabinti zao wanajihusisha kingono na R.kelly na walikuwa hawana tatizo sababu alikuwa anawatoa mpunga kama wanafamilia na wao waliridhia.
Hawa mabinti walikuwa ni wale tunaita Ratchet, Hoodrats, Nasty girls ambao hata wasingelala na R. Kelly wangelala na watu wakubwa kiumri na hata kifedha kumshinda R. Kelly.
Hii kesi nyuma yake kuna makundi yafuatayo ambayo yanaungana kila mojawapo kupata linachotaka.
ENTERTAINMENT COMPANIES: haya ni makampuni ambayo yamefanya kazi na r kelly katika kazi tofauti tofauti. Miaka ya nyuma sheria za hati na haki miliki hazikuwa imara sana ila miaka hii zimeboreshwa na hivyo kazi za sasa za wasanii kurudi miaka yote nyuma, kisheria zinatambuliwa kwa m'miliki halali mwenye haki miliki kupata malipo yote ya matumizi ya hizo kazi ambazo ni mamilioni kama sio mabilioni ya Dola za mimarekani kwa wasanii wakubwa kama akina R.kelly, Michael Jackson, Elvis Presley, etc nikiwataja wachache. Makampuni aliyofanya nayo kazi R. Kelly tokea miaka ya 1990's wamekuwa wakimfanyia fitina ya kumpoteza Kelly ili afungwe wao wapate haki miliki ya kazi zake zote na alizowaandikia wasanii wengine wengi sana. R. Kelly brand ukichukua kazi zote alizoimba, alizoandikia watu, na alizoshirikishwa jamaa atakuwa anachezea kama dollar bilioni 20+ akisema afuatilie kulipwa na kila sehemu iliyotumia kazi zake (hii ni according to estimate za Nick Cannon,rafiki yake na Rkelly aliongea kwenye mahojiano). Hawa watu wanataka R kelly apotee jela afe wahodhi hizo hati miliki wafuatilie malipo mahakamani wakusanye haya mabilioni ya r. Kelly, jamaa anapesa sana ila basi tu.
MA'FEMINIST: hawa nguruwe ambao kwa sasa wamekuwa ni kansa katika maisha ya mwanadamu kwenye jamii na duniani kwa ujumla hawapendi kuona mwanaume yoyote anafanikiwa hata kama anafanya jambo zuri. Wapo feminists wa kiume pia katika hili kundi ambao ajenda yao ni kumuona mwanaume anafeli mwanamke anakaa juu yake. Viongozi wao, Oprah Winfrey, Gayle king, Vivica Fox, etc, wapo wengi sana hawa kazi yao ni kuchafua majina ya wanaume mastar na kuharibu legacy zao ili kuridhisha nafsi zao. Hawapia wapo katika hii vita ya kumshambulia r. Kelly kwa kisingizo cha kusapoti haki za mtoto wa kike na kumbe wapo katika payroll ya haya makampuni makubwa ya entertainment.
EX LOVERS WA R. Kelly: hawa ni wanawake ambao walishawahi kuwa na mahusiano na R. Kelly ila hayakudumu, au wale waliotamani kuwa na huyu brother ila wakakosa hiyo nafasi. Sasa roho za husuda na chuki zinawaconsume wanajifanya wanatetea haki za mwanamke ila si kweli nyuma ya pazia wanafurahia na kuona wamepata nafasi ya kuona R.Kelly anaumia ili iwe kama kisasi kwao.
MEDIA HOUSE: hizi ni nyumba za habari kama hao maproducer LIFETIME walioproduce hii documentary ya R.kelly iliyolenga kumchafua lengo ni kupata viewers sababu wanajua mtu mwenye jina zuri kama huyu akichafuliwa kila mtu atataka kuona na kusikia so hiyo kwao ni biashara sio swala la kusaidia wanawake wala jamii.
FAMILIA YA R. KELLY: Hawa ni ndugu wa damu kabisa na jamaa na rafiki ambao aliwaamini ila wamemsaliti sababu ya tofauti zao na kupewa pesa ili kushiriki. Mfano kaka yake Mkubwa Bruce, Theresa na Carey. Ambao bila shida wameona ni sawa kushiriki kumdidimiza ndugu yao wadamu ila kihistoria Walikuwa na History ya kupishana sababu walikuwa wanapenda sana ndugu yao awapatie pesa yaani kutumia utajiri wake jambo ambalo hakuwa tayari na hapo ndipo uhasama ulianza na hawakuwa tayari kumtetea ila kumshambulia wakishirikiana na makundi mengine ili jamaa alipotea au kuanguka wao kama familia watagawana mali zake kama sehemu ya urithi.
MIFUMO YA KISIASA: Mfumo wa kisheria na kisiasa wa Marekani ni mfumo ambao una history kandamizi kwa watu weusi na hata sasa bado unaendelea kuwa kandamizi kwa usiri sana. Kesi ikiwa inamhusu mtu mweusi majaji watahakikisha huyo mtu haponi wala kutoka by any means especially akiwa ni mtu maarufu ambaye ana positive image kwenye jamii ya kiafrika. Hii imemkuta tiger woods, Michael Jordan, Michael Jackson, 2pac, Bill Cosby, etc hawa wote wameletewa kesi za kimchongo ambazo wakifika mahakamani ushahidi ni wa utata utata tu lengo kuwazima na kuwachafua heshima waliyoitengeza miaka na miaka. Shida ni kwamba majitu meusi hii kitu hayastukia tu hivi wazungu na mambo yao ya ajabu ajabu kama kuuana hovyo wanafamilia, ushoga, kulala na wanyama, kusapoti mambo ya kipumbavu wanakuwaje salama katika matukio kama wanayobambikiwa hawa watu weusi, jibu ni moja mfumo umetengezwa kumshusha mtu mweusi na kumsafisha mweupe. Kuna madogo weupe wanashambulia watu kwa silaha wanakamatwa bila kupigwa shaba, wanapelekwa mahakamani wanatetewa watapewa miaka 15 kwa kisingizio kuwa walipatwa na shida ya akili na wanatakiwa matibabu (therapy) ambayo wataitumikia kama sehemu ya kifungo cha miaka 15 then hata miaka 15 hawamalizi wanakuwa paroled ndani ya 5 years wanarejea uraiani kuendelea na life kuwa wamepona. Hii haki watu weusi hawapewi katu. White supremacists wanasimamia white privilege corrupt system.
LAW FIRMS: Hawa mafala ndio wachonganishi namba moja
Kupitia kesi za namna hii wao wanaingiza mamilioni ya dola kama sehemu ya malipo katika hizi kesi wanaposimama kupambana nazo. Hii ni mojawapo ya kesi ambayo hizi law firms na mahakama zinapenda ziwepo ili wapate mapato na kuingiza faida katika biashara hii.
Sasa ukiona mtu kama R. Kelly anashitakiwa na tuhuma zenyewe ni za kusadikika ambazo hata wewe inakuwa ngumu kuziamini jaribu kufanya tafiti zako na kusikiliza pande zote bila kulalia upande m'moja. Tumia akili yako kuchanganua uzito wa taarifa. Ukitumia hekima utagundua nani anaonewa. Kwa mimi nimefuatalia muda san hizi kesi. Mwanzo nilikuwa naamini R kelly alikuwa anawarubuni wasichana hawa kingono, ila ukitazama mfano ile video inayosadikika kuwa r. Kelly alikuwa ndie anamkojolea yule binti mdomoni na mwilini sikiliza maneno anayotoa yule binti. Hivi binti anaweza kuongea kama wadada wa kwenye movie ya porn na yupo huru kabisa halafu useme mtu alibakwa huyo?! Ni sawa na zuchu miaka ya baadae aseme diamond alikuwa ana mbaka au alimrubuni nani atamuamini zuchu.