Radi yapiga wapenzi wakizini

Umemaliza vibaya Sana mkuu

Sent from my TECNO KC6 using JamiiForums mobile app
 
Du aisee hii noma sana. ngoja tuendelee kudumbukiza tu
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣😂🤣 hivi Nani alikuwa Juu Kati yao observation point
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣😂 Nani alikuwa juu
 
Ila haya majina ya Violeth kwann wanapenda Sana wanaume za watu...

Nawafahamu Violeth wawili ambao nao pia wametembea na wanaume wenye ndoa ...Violeth mmoja alikwapua mume wa mtu yule demu alikuwa anazimia pasipo kutarajiwa Mara kadhaa

As niliposoma na ka habar haka nime generalize
 
Dah huyu jamaa muongo eti radi ililia kama mbuzi mee.
 
radi hiyo ina connection kama sio ya mumu mtu basi ya mke wa jamaa sikuhizi ni vizuri kujiwekea ka ulinzi, mshahara wa dhambi ni mauti, Mungu atuepushe na hizi balaa tuache uzinzi ni dhambi.
 
Kupiga mayowe kulikuwa ni involuntary kwani huwezi kupanga Kama hauigizi hasa inapokutana na kitu hatari usichokitarajia kikutokee Kama vile radi!! Isikilize kwa mbali tu!
 
kunadawa moja yakubridisha mwana hata akiwa kwenyesiku kavu au havuji alitaka kuchepuka jamaa anavooaza kuchomeka damu zakufa mtu ile imeonesha haifai jamaa anaweza aza kumfila Mana mwanamke akiwa nanguo akivua hamna kitu

Hii yaradi kalisana inabidi kumtafta mume wamarehemu atwambie waya wa earth unapelekwa wapi Hadi uke uunguzwe naradi mtu afe .......kiboko
 
Akina Violeth hawawashindi wenye Majina ya Rhoda, Lucy na Jackyline kwa Dhambi hiyo.

Na kwa Wanaume wanaoongoza kupenda Wake za Watu ni akina George, John na Deogratius.
 
radi hiyo ina connection kama sio ya mumu mtu basi ya mke wa jamaa sikuhizi ni vizuri kujiwekea ka ulinzi, mshahara wa dhambi ni mauti, Mungu atuepushe na hizi balaa tuache uzinzi ni dhambi.
Kuna Mke wa Mtu nilipanga 'Kutiana' nae leo Siku ya Uhuru, ila nilivyosoma tu hii Taarifa nimeogopa na Kusitisha zoezi hilo la Dhambi kwani nimeogopa mwenye Mume asije nae akaniletea Adhabu nyingine na GENTAMYCINE nikawa Historia duniani na hapa JamiiForums.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…