Radi yapiga wapenzi wakizini

Atoke hapo ili aje kupambana na kesi ya mauaji? Bora hivyo ili mshitakiwa wa kwanza awe ni RADI
 
Radi artificial hiyo 😂😂😂

Ova
 
Mwigulu Nchemba pole kwa kuondokewa na mpiga kura wako.
 
“Tukio lipo na tumeshamzika lakini uliza viongozi watakuambia, na hadi sasa mwanaume aiyekuwa na marehemu bado anaugulia maumivu kwani alijeruhiwa vibaya miguuni na radi hiyo,” alisema shuhuda wa tukio hilo.
Hawakutandika insullator ardhini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…