Radio Wasafi vs. Clouds FM...

Radio Wasafi vs. Clouds FM...

Mnavyolalama hovyo ndio mnavyowapa promo hao Clouds.

Ni sawa na abiria Walalamike moja ya kampuni ya mabasi kwa huduma kandamizi ili hali kuna kampuni zaidi ya mia moja zinazotoa hudumua kwenye njia hiyo.

Kwa nini msitumie huduma za hizo kampuni zinazokidhi matakwa yenu, alafu muisusie ile mnayodhani haiwatendei haki?

Kwa hiyo ndio kusema mkienda Ubungo mtaacha mabasi yooote alafu mbaki mnapambana na kampuni moja tu kuwa inawakosea, nadhani hapa tatizo ni la Abbiria ingawa wao wenyewe hawajui wana shida gani.
 
hilo nalo neno
 
tatizo watz hawanaga umoja kama wakenya... mtapanga hapa mkagome wenzenu wanaenda kuwasnitch!
 
Kwakweli Mungu yupo jamani

Yani kwa many any aso wanayotoa Clouds Fm kwa wasaniii wengi nchini ni afadhali WASAFI wameingilia kati wakaweka Radio na TV yao...

Tunaamini WASAFI hawana njaa za kuwanyanyasa wasaniii WA aina yeyote huko mbeleni

Clouds Fm tumewachoka, Mungu anawaooonaaa...

Binafsi siyo mshabiki wa muziki, lakini clouds kwangu mimi ni zaidi ya radio, sasa hebu niambieni mtu kama mimi nisiyependa miziki mkaleta redio kwa ajili ya wanamuziki mnawezaje kunipata? Au hiyo wasafi radio inakuja na lipi jipya ambalo halipo clouds?

Suala la wao clouds kunyanyasa wasanii wala halina uhusiano na mimi kusikiliza sports xtra au jahazi au power breakfast, hao wasanii kama wananyanyaswa ni lini watafika mahakamani kwenda kudai kukiukwa kwa MKATABA kati yao na clouds? Ni lini wasanii wamekubaliana na clouds kwamba katika fiesta arusha tutakulipa kadhaa halafu hajalipwa?

Wananyanyaswa au wanakubaliana? Isijekuwa wanakubaliana halafu wakitoka wakakutana na fulani anamuambia umelipwa kidogo sana halafu anakasirika anasahau walikubaliana.....

Radio ya kuifunika clouds haitozaliwa na watajwa.
 
Kwakweli Mungu yupo jamani

Yani kwa many any aso wanayotoa Clouds Fm kwa wasaniii wengi nchini ni afadhali WASAFI wameingilia kati wakaweka Radio na TV yao...

Tunaamini WASAFI hawana njaa za kuwanyanyasa wasaniii WA aina yeyote huko mbeleni

Clouds Fm tumewachoka, Mungu anawaooonaaa...
Mimi Clouds nawapenda kuliko redio yoyote. So umewachoka mwenyewe. Kusema wananyanyasa wasanii bila ushahidi ni sawa na kuonyesha una matatizo yako binafsi na wahusika, kwa ufupi wivu unakusumbua.
 
Kwanini ruge tu, Kuna nini pale? Tokea kina sugu mpaka kina rubi na wengine!!!!
Watu huhamisha ugomvi wao binafsi na Ruge kuwa wa Clouds. Mfano Sallam baada ya kuona segerea inamuita Iyobo akaamua amuingize Ruge na Clouds yake.
 
Tumewachoka au wewe ndo umewachoka..??? Usisemee mioyo ya watu. Epuka kuonesha mihemko hata kama una mapenzi au iterest na hiyo Wasafi Radio.

Naamini hata Diamond mwenyewe hawez kuonesha chuki ya wazi wazi kiasi hicho kwa Clouds. Yan wewe una hasira kuliko Diamond mwenyewe.
Huyu dada atakuwa aliliwa papa na Joe afu akatemwa.. ukimfuatilia huyu dada ana maisha flani ya akina Tunda
 
Back
Top Bottom