Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ndioTeh teh teh..
Walikuja Times Fm,Wakaja Efm mkasema hvyohvyo..kwahyo sahv tumaini lenu ni Wasafi Radio na tv..
hilo nalo nenoMnavyolalama hovyo ndio mnavyowapa promo hao Clouds.
Ni sawa na abiria Walalamike moja ya kampuni ya mabasi kwa huduma kandamizi ili hali kuna kampuni zaidi ya mia moja zinazotoa hudumua kwenye njia hiyo.
Kwa nini msitumie huduma za hizo kampuni zinazokidhi matakwa yenu, alafu muisusie ile mnayodhani haiwatendei haki?
Kwa hiyo ndio kusema mkienda Ubungo mtaacha mabasi yooote alafu mbaki mnapambana na kampuni moja tu kuwa inawakosea, nadhani hapa tatizo ni la Abbiria ingawa wao wenyewe hawajui wana shida gani.
tatizo watz hawanaga umoja kama wakenya... mtapanga hapa mkagome wenzenu wanaenda kuwasnitch!Mnavyolalama hovyo ndio mnavyowapa promo hao Clouds.
Ni sawa na abiria Walalamike moja ya kampuni ya mabasi kwa huduma kandamizi ili hali kuna kampuni zaidi ya mia moja zinazotoa hudumua kwenye njia hiyo.
Kwa nini msitumie huduma za hizo kampuni zinazokidhi matakwa yenu, alafu muisusie ile mnayodhani haiwatendei haki?
Kwa hiyo ndio kusema mkienda Ubungo mtaacha mabasi yooote alafu mbaki mnapambana na kampuni moja tu kuwa inawakosea, nadhani hapa tatizo ni la Abbiria ingawa wao wenyewe hawajui wana shida gani.
kabisaa!Wajukuu wa wanyonyaji utawaona sasa.
ndiooAisee kwa hiyo inabidi Mchonvu adake ajira pale
Haya maneno huwa magumu sanaKing Kiba ana TV na Radio toka zamani sema tu hapendi kiki na show off.
hahahaHaya maneno huwa magumu sana
ahahahaHata ikija wbc TV swsm tutawaacha ndio waakina nanilii
Wasanii ni bangikwahiyo clouds ni bangi au wasanii ni bangi?
Kwakweli Mungu yupo jamani
Yani kwa many any aso wanayotoa Clouds Fm kwa wasaniii wengi nchini ni afadhali WASAFI wameingilia kati wakaweka Radio na TV yao...
Tunaamini WASAFI hawana njaa za kuwanyanyasa wasaniii WA aina yeyote huko mbeleni
Clouds Fm tumewachoka, Mungu anawaooonaaa...
Inaitwaje??????[emoji85]King Kiba ana TV na Radio toka zamani sema tu hapendi kiki na show off.
Mimi Clouds nawapenda kuliko redio yoyote. So umewachoka mwenyewe. Kusema wananyanyasa wasanii bila ushahidi ni sawa na kuonyesha una matatizo yako binafsi na wahusika, kwa ufupi wivu unakusumbua.Kwakweli Mungu yupo jamani
Yani kwa many any aso wanayotoa Clouds Fm kwa wasaniii wengi nchini ni afadhali WASAFI wameingilia kati wakaweka Radio na TV yao...
Tunaamini WASAFI hawana njaa za kuwanyanyasa wasaniii WA aina yeyote huko mbeleni
Clouds Fm tumewachoka, Mungu anawaooonaaa...
Watu huhamisha ugomvi wao binafsi na Ruge kuwa wa Clouds. Mfano Sallam baada ya kuona segerea inamuita Iyobo akaamua amuingize Ruge na Clouds yake.Kwanini ruge tu, Kuna nini pale? Tokea kina sugu mpaka kina rubi na wengine!!!!
Redio gani imesaidia kutoa wasanii Clouds?Wananyanyasa saaaaanaaaa,yani wanajikuta ndo wana bati miliki ya maisha ya watu
Huyu dada atakuwa aliliwa papa na Joe afu akatemwa.. ukimfuatilia huyu dada ana maisha flani ya akina TundaTumewachoka au wewe ndo umewachoka..??? Usisemee mioyo ya watu. Epuka kuonesha mihemko hata kama una mapenzi au iterest na hiyo Wasafi Radio.
Naamini hata Diamond mwenyewe hawez kuonesha chuki ya wazi wazi kiasi hicho kwa Clouds. Yan wewe una hasira kuliko Diamond mwenyewe.