Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji848]andika uzi wa kumtafuta wakumnyandua bila shaka utapata tu mkuu ...kikubwa uwe specific
Wanakuja tu kwa ushauri lkn sio marafikiKah[emoji2] endelea kuchora hizo tatoo tu mkuu, kwahiyo hao wengi ushatokanao tayari?
Nitakucheki kesho jioni dear .niko busy sana mchana.ila usijal this too shall pass.dada yako nipo[emoji848]andika uzi wa kumtafuta wakumnyandua bila shaka utapata tu mkuu ...kikubwa uwe specific
Nipo bna .nimekumiss bnaUpo weye, habari ya miaka tele? Mara nyingine huwa nacheka sana nikiona comments zako, uko funny sana [emoji23]
Mmmhuu chura tena [emoji23][emoji23] hii kaliChura Ipo ?
[emoji23]Nipo bna .nimekumiss bna
Hebu nitongoze tena naweza kukubali eti
We tufanye tu urafiki mengine tutayajenga mbele kwa mbeleBasi hiko ni kipawa chako tayari ,sasa ukijichanganya kuongeza ujuzi binafsi utaharibu
PMHabari ,kama kichwa cha habari kinavyojieleza.Nahitaji rafiki mtu mzima,kutoka upande wowote wa dunia umri kuanzia miaka 35 ,ambaye amepitia changamoto tofauti za kimaisha bila kukata tamaa ,jinsia yoyote, smart,straight forward ili unikosoe vizuri ambapo siko sahihi na mshauri mzuri.Mi pia ni mtu mzima sana ndomaana nahitaji kuongea na mtu mzima ambaye anajua maana ya kula ugali na chumvi ili watoto wasome vizuri .
Sina uhakika wa kujibu comments maana niko na mood yangu personal.
Asanteni
Haswa, uko sahihi mkuu..Salama kabisa boss,
[emoji2]Maisha mafupi ati ni vema kujitahidi tu kuwa na moments nyingi za furaha kuliko huzuni
Pm plzAhsante
Hahahahaha!Nipo bna .nimekumiss bna
Hebu nitongoze tena naweza kukubali eti
Umesomeka.Habari ,kama kichwa cha habari kinavyojieleza.Nahitaji rafiki mtu mzima,kutoka upande wowote wa dunia umri kuanzia miaka 35 ,ambaye amepitia changamoto tofauti za kimaisha bila kukata tamaa ,jinsia yoyote, smart,straight forward ili unikosoe vizuri ambapo siko sahihi na mshauri mzuri.Mi pia ni mtu mzima sana ndomaana nahitaji kuongea na mtu mzima ambaye anajua maana ya kula ugali na chumvi ili watoto wasome vizuri .
Sina uhakika wa kujibu comments maana niko na mood yangu personal.
Asanteni
Maswali kama wewe kabila ghani yanakuwa sio necessary labda Iwapo unataka kutambikia[emoji1787][emoji1787]Una umri gani
Unaishi wapi
Na wewe kabila gani
Sina marafiki wengi kiviile naweza kukuongeza nikipata hayo majibu.niko very loyal kwa marafiki zangu.utaenjoy
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kama unataka rafiki njoo kwangu
Nakaziaaaa,kwa sauti ya kichungajiKwa stori, ushauri niko vzr wengi huwa wananijia , tatizo najijua sikawii kuomba game kwa rafiki. Hapo linakaaje ili nije DM?
Sent from my SM-G955U using JamiiForums mobile app