Rafiki anahitajika

Rafiki anahitajika

[emoji848]andika uzi wa kumtafuta wakumnyandua bila shaka utapata tu mkuu ...kikubwa uwe specific
Nitakucheki kesho jioni dear .niko busy sana mchana.ila usijal this too shall pass.dada yako nipo
 
Niko under 30 but we can be friends if you don't mind,mepitia mengiii kias kwamba najua maisha ni nn..
 
Habari ,kama kichwa cha habari kinavyojieleza.Nahitaji rafiki mtu mzima,kutoka upande wowote wa dunia umri kuanzia miaka 35 ,ambaye amepitia changamoto tofauti za kimaisha bila kukata tamaa ,jinsia yoyote, smart,straight forward ili unikosoe vizuri ambapo siko sahihi na mshauri mzuri.Mi pia ni mtu mzima sana ndomaana nahitaji kuongea na mtu mzima ambaye anajua maana ya kula ugali na chumvi ili watoto wasome vizuri .
Sina uhakika wa kujibu comments maana niko na mood yangu personal.
Asanteni
PM
 
Umesomeka.
 
Una umri gani
Unaishi wapi
Na wewe kabila gani
Sina marafiki wengi kiviile naweza kukuongeza nikipata hayo majibu.niko very loyal kwa marafiki zangu.utaenjoy
Maswali kama wewe kabila ghani yanakuwa sio necessary labda Iwapo unataka kutambikia[emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom