Asprin
JF-Expert Member
- Mar 8, 2008
- 68,223
- 96,083
- Thread starter
- #241
am on board Xpin, mligend aje na style ya maana kuintroduce vinginevyo bora wabaki huko huko na 'ubest' wao
Thats my another girl: Kwa hiyo mzee akija na style ya maana akakuintrodyuzi rafiki yake wa kike utakubali kumpokea na kumheshimu kama rafiki ya mumeo? Ukisema ndiyo nawe unakula senksi!