Kingfisher
JF-Expert Member
- May 22, 2015
- 4,740
- 7,679
One sided story
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unaweza kuona umeandika kitu kidogo mkuu ila kikaleta madhara makubwa sana, acha mkuu
Inaitwaje hii movie nika download mkuu?Kuna story sikumbuki niliipata wapi.
Jamaa kategesha mke amshike ugoni mshikaji. Kwa kukutana ni nyumba ya kulala wageni.
Muda ulifika, mke kaelekea huko huku jamaa akimfuatilia. Wako na mshikaji chumbani. Mume anagonga mlango. Mshikaji akamfungulia akiwa na cha moto mkononi. Mume kakalishwa kwenye kiti, mshikaji akagonga mzigo kisha akaaga akimwambia mume akome kufuatilia wanaume.
Chonde, mambo ya kutegesha unaweza ufe.
Huyo alikuwa girl friend my brother, hapa naongelea mke tena mabaye umemtolea mahari na ndoaMkuu...tuliza akili..kama ni rafiki yako kweli mwambie tu..halafu achana naye, vunja urafiki..muwe kama watu wa kawaida tu...huyo ukimuendekeza atapita na mtoto wako huyo...
Mimi kwenye ujana kabla sijaoa..5 years back..nilikua na girl friend ambaye rafiki yangu alikua anamjua..wote tulikuwa circle moja...na hata mazingira ya kumpata aliyajua...kuna kupindi ghafla yule dada alikata mawasiliano mimi wala sikujali.(kipindi hicho rafiki yangu alikua na mke na mtoto tayari)...heee kumbe jamaa kaanza kumla...alikuja kuniambia mkanda mzima mwenyewe...wala sikuhamaki..nikamwambia duuh endelea tu...sisi urafiki wetu unaendelea mpaka leo...aliniambia aliona si sawa akaachana naye...
Itakuwa mke wako hakukuambia yote, huenda kachoka kuliwa mara kwa mara.Usiniongezee machungu nitamfanya mbaya sana
[emoji3][emoji3][emoji3]ndoa za mbali mbali hiziii kuchapiwaaa LAZIMAAAA ila tu inauma akiwa rafiki akooUkimwambia rafiki yako means hamtokua na urafiki tena, bali mwanamke inabidi apambane na hilo swala yeye binafsi bila wewe kuingilia, kama mkeo anajielewa kamwe hawez toka nje ya ndoa
Ogopa sanaa mkeo kukwambia anatongozwa na fulani hivi huyo mkeo muulize tu ni wanaume wangapi wanakutongoza kila siku je huwa unakuja kuniambia umetongozwa? Achana na huo ujinga mwambie alimalize mwenyewe mbona akitongozwa na wengine haji kukwambia. Potezea huo upumbavu fanya ya msingi
Kwa vile ni rafiki yako kama anakunywa fanya mpango umleweshe hata kwa madawa kisha umbokoe.Nimeoa naishi na mke wangu vizuri tu japo changamoto hazikosekani. Nilikuwa nafanya kazi ofisi moja na rafiki yangu ambaye tulikutana kwenye interview na kuajiriwa pamoja.
Nilioa kabla yeye hajaoa, akawa amezoea sana kuja kwangu na shemeji nyingi hata akikuta msosi umeisha atapikiwa. Miezi miwili iliyopita nilipata uhamisho kwenda mkoa mwingine nikamuacha mke wangu kwani nae ana biashara zake.
Juzi kaniambia rafiki yangu anamtongoza, anasema amejitahidi kuvumilia lakini ameshindwa usumbufu umezidi ameona bora aniambie. Mpaka sasa rafiki yangu sijamwambia chochote na ananipiga simu tunaongea vizuri tu.
Nimfanye nini huyu rafiki? Nimwambie ukweli au nimtege nimkamate au nimwache nianze kumuepuka kimya kimya.
Ukiongea kama rafiki yake au sio 😂Ogopa sanaa mkeo kukwambia anatongozwa na fulani hivi huyo mkeo muulize tu ni wanaume wangapi wanakutongoza kila siku je huwa unakuja kuniambia umetongozwa? Achana na huo ujinga mwambie alimalize mwenyewe mbona akitongozwa na wengine haji kukwambia. Potezea huo upumbavu fanya ya msingi
Rafiki umekuja na account nyengine tena 😂Chukua huu ushauri, ni mgumu ila ndio dawa ya ndoa yenye mke wa namna yako. Chukua pia tahadhari, wanawake wakitaka kukuweka kiganjani mwao, moja ya technique ni kukuachanisha na marafiki wenye akili. Na namna mojawapo ya kukuweka mbali nao ni kukupa story za namna hii
Aisee Nikioa sitki mke wangu aje kua na mazoea na hawa tunowaita marafikiNimeoa naishi na mke wangu vizuri tu japo changamoto hazikosekani. Nilikuwa nafanya kazi ofisi moja na rafiki yangu ambaye tulikutana kwenye interview na kuajiriwa pamoja.
Nilioa kabla yeye hajaoa, akawa amezoea sana kuja kwangu na shemeji nyingi hata akikuta msosi umeisha atapikiwa. Miezi miwili iliyopita nilipata uhamisho kwenda mkoa mwingine nikamuacha mke wangu kwani nae ana biashara zake.
Juzi kaniambia rafiki yangu anamtongoza, anasema amejitahidi kuvumilia lakini ameshindwa usumbufu umezidi ameona bora aniambie. Mpaka sasa rafiki yangu sijamwambia chochote na ananipiga simu tunaongea vizuri tu.
Nimfanye nini huyu rafiki? Nimwambie ukweli au nimtege nimkamate au nimwache nianze kumuepuka kimya kimya.
Mazoea ya hivii ni ya kijingaa sanaaaAisee Nikioa sitki mke wangu aje kua na mazoea na hawa tunowaita marafiki
Comment of the year.technically huyo mkeo hajampenda rafiki yako angempenda asingekwambia
hao ndio wanawake
Mimi nipe tenda ya kumhomola tigo huyu friend wakoNipe tenda ya kupiga picha