Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna siku utachapiwaaa mkeoo utaelewa utopolo unaoongea..Kwani mkuu hicho kiungo ulimuwekea wewe..?
Mtu akiamua kugawa ndo kaamua tu kwani nitachapiwa bila huyo mke kuridhia kutoa mwenyewe..?Kuna siku utachapiwaaa mkeoo utaelewa utopolo unaoongea..
Nipe tenda ya kupiga pichaNikiamua siwezi kudelay nitakuwa na chat na mke wangu kila hatua wanayopiga, mpaka watakuta tumelipia chumba kabisa. Kazi yake kutuambia namba ngapi tu basi
Kaamua kusema labda kwa sababu ni rafiki yangu, hawezi kuniambia kila mtu wengine siwajuiOgopa sanaa mkeo kukwambia anatongozwa na fulani hivi huyo mkeo muulize tu ni wanaume wangapi wanakutongoza kila siku je huwa unakuja kuniambia umetongozwa? Achana na huo ujinga mwambie alimalize mwenyewe mbonaakitongozwa na wengine haji kukwambia. Potezea huo upumbavu fanya ya msingi
2Nimeoa naishi na mke wangu vizuri tu japo changamoto hazikosekani. Nilikuwa nafanya kazi ofisi moja na rafiki yangu ambaye tulikutana kwenye interview na kuajiriwa pamoja.
Nilioa kabla yeye hajaoa, akawa amezoea sana kuja kwangu na shemeji nyingi hata akikuta msosi umeisha atapikiwa.
Miezi miwili iliyopita nilipata uhamisho kwenda mkoa mwingine nikamuacha mke wangu kwani nae ana biashara zake.
Juzi kaniambia rafiki yangu anamtongoza, anasema amejitahidi kuvumilia lakini ameshindwa usumbufu umezidi ameona bora aniambie.
Mpaka sasa rafiki yangu sijamwambia chochote na ananipiga simu tunaongea vizuri tu.
Nimfanye nini huyu rafiki? Nimwambie ukweli au nimtege nimkamate au nimwache nianze kumuepuka kimya kimya.
Mkuu labda yalikuwa maigizo,Hiyo ya kumtega achana nayo. Kuna mtu aliweka mtego, mwizi machale yakamcheza akabadilisha venue haraka sana wakati kashalipia guest.
Kibaya zaidi mwizi akashikilia na simu ya mwanamke akaona conversation za kumtega adakwe, simu zikapigwa hazipokelewi.
Mwisho akamtafuna halafu akamwambia haya bwanako nishakutomb tayare.
Umeona mbali sana mkuuAtakuwa kawachanganya na Dada wa kazi, umeonyeshwa manyoya