KateMiddleton
JF-Expert Member
- Mar 15, 2021
- 3,883
- 4,676
Mwambie mke akupe ushahidi
Msg
Voicenote nk
Msg
Voicenote nk
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu mbona jibu ni rahisi mpigie simu au kutana nae umwambie laivu kabisa masuala ya kumtongoza mke wangu uache.Nimeoa naishi na mke wangu vizuri tu japo changamoto hazikosekani. Nilikuwa nafanya kazi ofisi moja na rafiki yangu ambaye tulikutana kwenye interview na kuajiriwa pamoja.
Nilioa kabla yeye hajaoa, akawa amezoea sana kuja kwangu na shemeji nyingi hata akikuta msosi umeisha atapikiwa.
Miezi miwili iliyopita nilipata uhamisho kwenda mkoa mwingine nikamuacha mke wangu kwani nae ana biashara zake.
Juzi kaniambia rafiki yangu anamtongoza, anasema amejitahidi kuvumilia lakini ameshindwa usumbufu umezidi ameona bora aniambie.
Mpaka sasa rafiki yangu sijamwambia chochote na ananipiga simu tunaongea vizuri tu.
Nimfanye nini huyu rafiki? Nimwambie ukweli au nimtege nimkamate au nimwache nianze kumuepuka kimya kimya.
Nimeoa naishi na mke wangu vizuri tu japo changamoto hazikosekani. Nilikuwa nafanya kazi ofisi moja na rafiki yangu ambaye tulikutana kwenye interview na kuajiriwa pamoja.
Nilioa kabla yeye hajaoa, akawa amezoea sana kuja kwangu na shemeji nyingi hata akikuta msosi umeisha atapikiwa.
Miezi miwili iliyopita nilipata uhamisho kwenda mkoa mwingine nikamuacha mke wangu kwani nae ana biashara zake.
Juzi kaniambia rafiki yangu anamtongoza, anasema amejitahidi kuvumilia lakini ameshindwa usumbufu umezidi ameona bora aniambie.
Mpaka sasa rafiki yangu sijamwambia chochote na ananipiga simu tunaongea vizuri tu.
Nimfanye nini huyu rafiki? Nimwambie ukweli au nimtege nimkamate au nimwache nianze kumuepuka kimya kimya.
hahahhhFuatilia kwa makini uzi wa kula kimasihara usikute mwamba kashatuma story
PointIla wanaume wa kibongo unaendaje kwa mwanamke aloolewa mmewe hayupo unatafuta nin?
Na nyie wanaume kwanin mnazoesha marafiki zenu nyumbani kwa wake zenu onaneni bar inatosha kila mtu arudi kwake,mtu keshoa unaenda kwake kufanya nin
Mpuuze tu, wanawake ukiwaendekeza utagombana na kila mtu,na pia sisi wanaume tuna tamaa Sana, ni hulka yetu, labda Kama wewe Ni mtakatifuNimeoa naishi na mke wangu vizuri tu japo changamoto hazikosekani. Nilikuwa nafanya kazi ofisi moja na rafiki yangu ambaye tulikutana kwenye interview na kuajiriwa pamoja.
Nilioa kabla yeye hajaoa, akawa amezoea sana kuja kwangu na shemeji nyingi hata akikuta msosi umeisha atapikiwa.
Miezi miwili iliyopita nilipata uhamisho kwenda mkoa mwingine nikamuacha mke wangu kwani nae ana biashara zake.
Juzi kaniambia rafiki yangu anamtongoza, anasema amejitahidi kuvumilia lakini ameshindwa usumbufu umezidi ameona bora aniambie.
Mpaka sasa rafiki yangu sijamwambia chochote na ananipiga simu tunaongea vizuri tu.
Nimfanye nini huyu rafiki? Nimwambie ukweli au nimtege nimkamate au nimwache nianze kumuepuka kimya kimya.
Aisee uwe makini saaana katika hili kijanaKaamua kusema labda kwa sababu ni rafiki yangu, hawezi kuniambia kila mtu wengine siwajui
Ogopa sanaa mkeo kukwambia anatongozwa na fulani hivi huyo mkeo muulize tu ni wanaume wangapi wanakutongoza kila siku je huwa unakuja kuniambia umetongozwa? Achana na huo ujinga mwambie alimalize mwenyewe mbonaakitongozwa na wengine haji kukwambia. Potezea huo upumbavu fanya ya msingi
Aisee uwe makini saaana katika hili kijana
Yawezekana mkeo luna mishe zake za kidwanzi kafanya na rafiko yako kazijua, ili kuepusha hilo kwani kama mnashibana akaona inshu ni kuwagombanisha na njia nzuri ni kusema anatongozwa.
Unaweza kuta jamaa anakukusanyia data nyingi ili ukija mkae kiume mzungumze na hataki kukupanikisha sasa mkeo kajua na anatafuta namna ya kumkwamisha jamaaa
Note:
Mwanamke wa busara anajua kutongozwa ndio maisha yake ya kila siku, kuanza kuchagua kukueleza ni kutaka kukua au kua ndoa kisaikolojia
Hili suala si la kuomha ushauri, wewe mtu mzima n si kila jambo la kuombaomba ushauri, mkeo ndo kaomba ushauri kwako nawe badlands ya kutatua tatizo unaanza tabia za mkeo kavumilia kaamua kuomba ushauri, sasa subiri atongozwe siku ana nyege kama atakwambia Tena.Asante kwa ushauri nategemea kurudi mwezi ujao, nitaendelea kufikiria ushauri wako na wengine wanaoendelea kushauri
Shekhe wangu,wewe sio wa kuandika hivi,unanidis-appoint mimi shabiki yako. Omba maghfila kwa mola wako.Chunga vidole vyako kabla hujaandika.Mtege, mdake, mle tako.
Mbongo akipazoea kwako anataka pawe kama kwake sijui tupojePoint