Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapo ni muda wa kujipima pia imani... usifanye maamuzi yyte ya kumdhuru mkeo au rfk akoNimeoa naishi na mke wangu vizuri tu japo changamoto hazikosekani. Nilikuwa nafanya kazi ofisi moja na rafiki yangu ambaye tulikutana kwenye interview na kuajiriwa pamoja.
Nilioa kabla yeye hajaoa, akawa amezoea sana kuja kwangu na shemeji nyingi hata akikuta msosi umeisha atapikiwa. Miezi miwili iliyopita nilipata uhamisho kwenda mkoa mwingine nikamuacha mke wangu kwani nae ana biashara zake.
Juzi kaniambia rafiki yangu anamtongoza, anasema amejitahidi kuvumilia lakini ameshindwa usumbufu umezidi ameona bora aniambie. Mpaka sasa rafiki yangu sijamwambia chochote na ananipiga simu tunaongea vizuri tu.
Nimfanye nini huyu rafiki? Nimwambie ukweli au nimtege nimkamate au nimwache nianze kumuepuka kimya kimya.
Mbona akitongozwa na wngine halalamiki?hamuwajui wanawake nyieWe jamaa unasema unaendelea kukusanya ushahidi, hiv hujui maana ya mtu anapokwambia amevumilia mpka amechoka! Ina maana yeye ameshindwa hyo vita amekuachia wewe mumewe kwahyo na ww ukiendelea kusubiri hvyo ndo unampa jamaa ushindi na ataliwa we subiri hvyohvyo
Usiwe na hofu mkuu angekuwa ameshakula mwanamke asingethubutu kukwambia hizo habari.Usiniongezee machungu nitamfanya mbaya sana
Picha iliishaje? Lete mrejesho tujifunze. Ila kuomba ushauri jf ni kujitafutia presha.Tupe experience ya wanawake walivyo
Dah kweli asee hapo changanya na akili yakoOgopa sanaa mkeo kukwambia anatongozwa na fulani hivi huyo mkeo muulize tu ni wanaume wangapi wanakutongoza kila siku je huwa unakuja kuniambia umetongozwa? Achana na huo ujinga mwambie alimalize mwenyewe mbona akitongozwa na wengine haji kukwambia. Potezea huo upumbavu fanya ya msingi
Rafiki yako usimwambie chochote kwakua hajafanya mapenzi na mkeo,wangefanya mapenzi wala mkeo asinge kwambia kama anatongozwaNimeoa naishi na mke wangu vizuri tu japo changamoto hazikosekani. Nilikuwa nafanya kazi ofisi moja na rafiki yangu ambaye tulikutana kwenye interview na kuajiriwa pamoja.
Nilioa kabla yeye hajaoa, akawa amezoea sana kuja kwangu na shemeji nyingi hata akikuta msosi umeisha atapikiwa. Miezi miwili iliyopita nilipata uhamisho kwenda mkoa mwingine nikamuacha mke wangu kwani nae ana biashara zake.
Juzi kaniambia rafiki yangu anamtongoza, anasema amejitahidi kuvumilia lakini ameshindwa usumbufu umezidi ameona bora aniambie. Mpaka sasa rafiki yangu sijamwambia chochote na ananipigia simu tunaongea vizuri tu.
Nimfanye nini huyu rafiki? Nimwambie ukweli au nimtege nimkamate au nimwache nianze kumuepuka kimya kimya.
Kwa kawaida ni rahisi kuwakataa wale wanaume ambao hawana uhusiano na mume wako (ndugu au rafiki).Kwa ushauri tu
Kwanza lazima umwambie wife asije akakuambia ujinga huo kuwa flani kanitongoza
Kwa sababu utagombana na kuwachukia wangapi kama yeye kila amtongozae atakuambia
Mwambie ajitetee mwenyewe na ajibu mapigo kama yeye bila kukushirikisha la sivyo atakufanya ufe upesi
Kama hiyo stori sio ya kutunga basi ichukulie kwa mawazo mapana...wanawake huwa wanapenda kuwini kama wako perfect au waaminifu kwa ishu kama hizo.Kuna mambo ya kujiuliza kabla ya kutenda,jee huyo ni mwanaume pekee aliyemtongoza toka muwe pamoja au na wengine wanaomtokea huwa anakuambia au kaona ni rafiki yako???Pili upate ushahidi wa mtongozo kutoka kwake ili kujiridhisha.Kama ukajiridhisha basi unaweza kumfuata na kumueleza kwa evidence kuwa aache hiyo ishu.Nikiamua siwezi kudelay nitakuwa na chat na mke wangu kila hatua wanayopiga, mpaka watakuta tumelipia chumba kabisa. Kazi yake kutuambia namba ngapi tu basi
Muite mpe kichwa kimoja!harafu mwambie akae mbali na wife wako,si kwa vile una wivu ni kujaribu kuweka mipaka,Nimeoa naishi na mke wangu vizuri tu japo changamoto hazikosekani. Nilikuwa nafanya kazi ofisi moja na rafiki yangu ambaye tulikutana kwenye interview na kuajiriwa pamoja.
Nilioa kabla yeye hajaoa, akawa amezoea sana kuja kwangu na shemeji nyingi hata akikuta msosi umeisha atapikiwa. Miezi miwili iliyopita nilipata uhamisho kwenda mkoa mwingine nikamuacha mke wangu kwani nae ana biashara zake.
Juzi kaniambia rafiki yangu anamtongoza, anasema amejitahidi kuvumilia lakini ameshindwa usumbufu umezidi ameona bora aniambie. Mpaka sasa rafiki yangu sijamwambia chochote na ananipigia simu tunaongea vizuri tu.
Nimfanye nini huyu rafiki? Nimwambie ukweli au nimtege nimkamate au nimwache nianze kumuepuka kimya kimya.
Mwambie tena kwa meseji tuNimeoa naishi na mke wangu vizuri tu japo changamoto hazikosekani. Nilikuwa nafanya kazi ofisi moja na rafiki yangu ambaye tulikutana kwenye interview na kuajiriwa pamoja.
Nilioa kabla yeye hajaoa, akawa amezoea sana kuja kwangu na shemeji nyingi hata akikuta msosi umeisha atapikiwa. Miezi miwili iliyopita nilipata uhamisho kwenda mkoa mwingine nikamuacha mke wangu kwani nae ana biashara zake.
Juzi kaniambia rafiki yangu anamtongoza, anasema amejitahidi kuvumilia lakini ameshindwa usumbufu umezidi ameona bora aniambie. Mpaka sasa rafiki yangu sijamwambia chochote na ananipigia simu tunaongea vizuri tu.
Nimfanye nini huyu rafiki? Nimwambie ukweli au nimtege nimkamate au nimwache nianze kumuepuka kimya kimya.
Nahisi kwa mwaka huu wa fedha hakuna ushauri mzito kama huuRudi nyumbani weekend moja wakutanishe huku nawe ukiwa na mtu mwingine aidha rafiki yenu wote wawili na mkeo aeleze hali halisi hapo utapata ukweli
Naidhinisha tozo kwenye hii commentNahisi kwa mwaka huu wa fedha hakuna ushauri mzito kama huu