Kwa hiyo ukashindwa kumuaga rafiki yako kisa umevaa jinsi 😂Itakuwa Bukoba hiyo, Nina jeans nyingi hata idadi sijui, Nina suti pia. Bahati nzuri kazi zangu sehemu kubwa ilikuwa field hivyo suti zinasubiri matukio makubwa lakini nyingi zinaishia kuvaliwa mara moja au kutovaa kabisa. Kwangu jeans ni vazi la heshima kabisa.Mwenzangu mmoja alifariki, wakati najipanga kwenda kuaga nikaona tangazo wanaume wote mvae suti.
Kama wapi?Jeans kuna maeneo haifiti...
mimi navaa vazi lolote, kokote ilmradi ni safi, ila koti la kuwapumbaza kidogo nipo nalo standby kokote & in office.
But kamwe siwezi kuumiza kichwa kuhusu kuvaa au mwingine kavaaje 🐒
Boyfriend wake tena?Nilitegemea haya yasemwe na boyfriend wake.
At times huwa unaongea Madini sanaSuti haimfanyi mtu kua wa heshima bali mtu ndiye anayeifanya suti kua ya heshima.
Kaunda ndio bado sijazielewa.Halafu naona kama kaunda zimetulia kuliko suti ila kwa wale wembamba sio wale vifutu
Umenunua zile za kuchongoka sana mkuu kama mpaka rangi..Mimi nimenunuwa Mokasini mwaka sasa sujawahi kuivaa.
Nashindwa nitembee vipi?
Hivi mnawezaje?
Kuna kaunda suti ni kali sana bwashee suti naona kama kila mtu anavaa imezoeleka mno🤔Kaunda ndio bado sijazielewa.
Mimi ni mpenzi wa english suit. Koti na suruali tofauti.
Tai yangu safii.
NIna jeans na cardet pia za kutosha, za aina tofauti. Ngumu na kitambaa chepesi. So sometimes nakula jeans kitambaa lain na koti ya suti ndani tshirt nyepes popote pale unaingia hata church.
Raba, buti Moka hiz zote lazima kama sio muhimu uwe navyo kwenye cabinet yako
Nimenunuwa Mokasini hapa mbele zina kama mustachi hivi..Umenunua zile za kuchongoka sana mkuu kama mpaka rangi..
Noma. Sana 😁mimi navaa vazi lolote, kokote ilmradi ni safi, ila koti la kuwapumbaza kidogo nipo nalo standby kokote & in office.
But kamwe siwezi kuumiza kichwa kuhusu kuvaa au mwingine kavaaje 🐒
Shida ni nini! Hizo nguo hazikuamkia?Nimepata mwaliko wa harusi ya rafiki yangu iliyoko mkoa mwingine.
Nikasema, ngoja nimtafute rafiki yangu mwengine anayeishi huko ili twende pamoja, tupige story na kufurahia sherehe. Si unajua kwenda harusi peke yako vibe linapoa !
Nikamcheki nikamwambia, Bro, nina harusi ya rafiki yangu hapa kwenu, twende pamoja. Jiandae tupendeze!
Jamaa akasema, Hakuna shida
Lakini nilipomuuliza kuhusu mavazi, ndipo nilipoanza kuona giza! 😭🤣
Kumbe miaka yote hii jamaa hajabadilika hata kidogo! Kabati lake limejaa jeans, T-shirt na sneakers. Suti hakuna, shati la heshima hakuna, hata blazer ya kujifanya mjumbe wa kamati haipo!
Nikajiuliza, huyu mtu anaenda harusini au anakwenda kwenye miaka 30 ya bongo fleva ?
Cha kushangaza zaidi, jamaa ana miaka zaidi ya 30, lakini kabati lake unahisi bado yuko kidato cha pili!
Sasa nimebaki njia panda. Nimwambie atafute suti ya kuazima, au akodishe
Yes. Ndio maana mimi sipend kuvaa suti american.Kuna kaunda suti ni kali sana bwashee suti naona kama kila mtu anavaa imezoeleka mno🤔