Rafiki Yangu above 30 Hana Nguo za Heshima, Kabati Lake Limejaa Jeans!

mimi navaa vazi lolote, kokote ilmradi ni safi, ila koti la kuwapumbaza kidogo nipo nalo standby kokote & in office.
But kamwe siwezi kuumiza kichwa kuhusu kuvaa au mwingine kavaaje πŸ’
Yeahh hii safi.
Sema mkuu, hebu achana na ma ccm basi πŸ˜‚
 
tuma picha za hizo jens na "nguo unazoita za heshima"

Nyie mnavaa madera alafu mnachomekea kwenye bikini , zinatamanisha wanaume kiuliko aliyevaa kaptula na chupihaionekani.

Ninyi mnava sketi ndefu na hijabu juu, ila mstari wa chupi na ujazo wa papuchi kwa mbele unaonekana, ipi bora, jeans au hayo manguo marefu yanayobana na kuchora papuchi na mikanda ya chupi?
 
Unamshangaa huyo? Mimi nina 50 minus 2 ila similiki suti hata piece 1 na sio kwamba siwez kununua ni sipendi tu. Kama kuna umuhimu wa kucaa huwa na nunua na nikimaliza event nagawa!
 
Unamshangaa huyo? Mimi nina 50 minus 2 ila similiki suti hata piece 1 na sio kwamba siwez kununua ni sipendi tu. Kama kuna umuhimu wa kucaa huwa na nunua na nikimaliza event nagawa!
Unatushona.
 
Rafiki mnafiki kama wewe hufai kabisa, yaani umepekuwa kabati la rafiki yako halafu unakuja JF kuleta umbeya, sasa sijui hapo mtaani Hali ikoje!
Rafiki yako anajuuuta kukufahamu.
 
Kuna age ukifika mavazi flani inabidi uyaache mfano, makaptula, pensi. 😊
 
Unajua vazi linategemea na nafasi ya muhusika kwenye Sherehe yenyewe
Sasa mtu anaenda kwenye sherehe ya harusi na hata hafahamiki; akipiga gens yake ya heshma (sio slim fit), na tshit au shati tatizo liko wapi?
Ila kama angeenda kama mshenga, au pengine kaka ndio anatakiwa avae na masut
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…