Rafiki Yangu above 30 Hana Nguo za Heshima, Kabati Lake Limejaa Jeans!

Morio shikamoo

Kwani wewe sio mrengo huo 🤔
 
wewe jamaa ndo bado upo local sana, huez linganisha mtoko wa Jeans na Kitambaa. Casual itabaki kuwa 🔝
 
Ashonewe kwa nguvu shati la kitenge na suruali ya kitambaa yenye celebrations.Hamna namna!
 
Una mashati ya viscose na suruali za vitambaa mmeku!?
Mashati ninayo safi kabisa, jeupe bluu, bluu ya nmb, light pink, jeusi kama yote,

Jinzi nyeusi kama zote labda bluu kama mbili

Raba na sandals za kutosha

Job vazi lolote Cha msingi mauzo yaonekane babanguuuu 🤣

Ko vitambaa no labda Makoti ya suti ndo ninayo pia ila sio suruali
 
Sawasawa liganga la mahela.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…