[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Niliwahi kutuma hela kimakosa, hela dogo sana kimuonekano (16,000) lkn kubwa sana kimajukumu, ikapokelewa na hawa ndg zenu wa Kaskazini, nilimnasihi sana na kumweleza mazingira ya hela yenyewe huwezi amini akaniambia " unayo nyengine uniongezee aisee"
Nilichoka nikalazimika kutafuta nyengine.
[emoji23] kmmqeiliwahi kunitokea hiyo mwaka 2011 meseji imeingia kucheki laki 7 imeingia na ukifikiria sikuwa na kitu mfukoni aisee nilikodi bodaboda kwenda kijiji cha jirani kuitoa pesa njiani akawa ananipigia nikamwambia nipo barabarani nikifika nakurudishia hela yako ondoa shaka nilipofika kwa wakala nikaichomoa yote
" nikamnasihi"🤣🤣🤣🤣[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hadithi njoo uongo njoo utamu koleaUaminifu ni kitu muhimu na una baraka zake.
Sadaka: Juzi niliona bibi kakaa barabarani kajikunyata nikamfuata vipi mbona hupandi gari akasema anasubiri walipwe hela ya kibarua buku nne ya kufagia barabara ilibaki nusu nilie. Nikampa elf 20. Siku hiyo jioni yake nikapata hiyo mara 30. Niliconnect.
Hadithi njoo uongo njoo utamu koleaKuna jamaa niliwahi kumtumia hela ya Michango ya msiba kimakosa,jamaa baada ya kuzungumza akaniambia anaishi Manzese Dar es salaam na akasema atanirejeshea.
Kuepusha lawama msibani wasidhani pesa nimetumia ikabidi nikope niitume halafu mimi nibaki kupambania deni,yule jamaa hela hakuirudisha na nikawa nampigia simu ananiambia nisimsumbue,aiseee ile haikuwa kubwa sana lakini nilisema lazima nimshikishe jamaa adabu.
Unajua kuna watu huwa hawajali pesa wanayopoteza,tatizo huwa linakuja kwa wapokea pesa,huwa wanakera na kuudhi sana hata kama hujafikiria kufanya jambo baya inakubidi ufanye jambo ili heshima iwepo.
Yule jamaa mwanzo nilimwambia asiponirudishia hiyo hela kwenye akaunti yangu atajuta kuzaliwa akadhani utani,safari hii sikutaka kutumia nguvu za Kikurya,nilipanga nitumie nguvu za wenye uwezo mbadala.
Kufupisha,Jamaa alikuwa ananitafuta baada ya kumkarabati analia nikamwambia sina muda yeye aendelee kula matanuzi!.
Aiseee baada ya kubembelezwa sana ndugu zake na hii ni baada ya miezi 7 ndipo tukaonana pale Rombo Green View wakanirudishia hela yangu nikachafua zangu,ingawa walidai wanilipe fidia mimi nikakataa nikawaambia sihitaji dhuruma nahitaji pesa nilikosea kutuma!.
Jamaa hata kaa anisahau hadi anaingia kaburini na hiyo pia itakuwa imempa funzo!.
MIMI SEHEMU YA NGUVU HUWA NATUMIA NGUVU ILA SEHEMU YA WAJUBA HUWA NAWAACHA WAJUBA WAFANYE KAZI YAO!.
Hadithi njoo uongo njoo utamu kolea2020 nilikosea kumtumia mtu 206,000. Ilikuwa ni malipo ya hela ya Chakula cha vibarua kwenye site yangu.
Nilikuwa busy kidogo, ilipofika tu jamaa niliyemtumia hela akapiga. Nikamuandikia ujumbe kuwa tayari nimeshatuma. Niliamini ni fundi anauliza. Jamaa, akaniandikia pokea mara moja.
Akapiga lakini niligundua si sauti ya fundi. Akaniambia kuna fedha nimemtumia ila anaomba asirudishe. Nilipanick kidogo, jamaa akanielezea story ya magumu anayopitia. Anaomba sana nimuachie kiasi kile cha hela. Akaniambia kama sitaridhia atarudisha kiasi hicho punde baada ya kukata simu.
Lakini kwa magumu yale, niliridhia kumuachia kiasi hicho cha pesa. Ukweli ni kuwa niliokoa maisha ya mwanae. Na maombi yake yalijibiwa kupitia mimi. Nilifanya alternative nyingine kuwesesha kule site.
Jioni nilipata dili zuri mno. Nikajua tu ni Mungu ananilipa kwa Sadaka yangu ya asubuhi.
Kuna watu ambao hawadhulumiwi/ibiwiKama kichwa cha habari kinavyojieleza. Rafiki yangu alitumiwa pesa kimakosa kwenye no. yake ya mpesa inayoishia na 8650. Baada ya kutumiwa hiyo hela huyo rafiki yangu aliitoa yote.
Alipigiwa na aliyekosea mwamala akamrudishia elf 50 Kwa ahadi ya kulipa kilichobaki ila aliposhindwa aliacha kutumia hiyo no yake inayoishia na 8650.
Kama unaijua story hii jamaa anakutafuta aombe msamaha na kukulipa ukikubaliana maana anasema jambo hili linamtesa sana.
NB: Jamaa alikua anamtumia pesa wife wake. Ataje kiasi na mkoa aliotoka maana ni vitu anavikumbuka. Asanteni.
Ipo siku yakoAhaa[emoji38] hapana hii napinga
Mimi niwe mkweli ukikosea tu imekula kwakomtu mweusi kaumbwa na roho mbaya sana tena sana. sijui ndo laana. yani haaminiki kamwe!
hata hawa wanaodai wamerudishia watu ela izo ni porojo tu. na huyu anayetafuta mtu ampe ela unaeza kuta keshaona mambo yake yote yanagota kaamua ajisalimishe. nyambaff mkubwa.
Huyo muhuri tu,kwa nini asingekurushia kwa simu?Nilikoseaga kutuma laki 8, bahati alipokea mstaafu wa Jeshi la magereza ni mtu mzito sana, kesho yake alinipa yoote pale kibo complex, imagine alitoka Gongo la mboto kwaajili yangu.
Usijali Mungu atakufidia kwa njia zingine ila huyo mtu huko aliko yatamkuta mengi sana.Roho iliniuma nilipata hela Kwa tabu aisee nilikuwa sina kazi nauza juisi tu home ila watu
Iliniuma balaa😂[emoji3] pole
Tayari watu washafanya yao, unapigwa udizungwa moja mashetani yanakufukuzia km inzi wameona kinyesiKama kichwa cha habari kinavyojieleza. Rafiki yangu alitumiwa pesa kimakosa kwenye no. yake ya mpesa inayoishia na 8650. Baada ya kutumiwa hiyo hela huyo rafiki yangu aliitoa yote.
Alipigiwa na aliyekosea mwamala akamrudishia elf 50 Kwa ahadi ya kulipa kilichobaki ila aliposhindwa aliacha kutumia hiyo no yake inayoishia na 8650.
Kama unaijua story hii jamaa anakutafuta aombe msamaha na kukulipa ukikubaliana maana anasema jambo hili linamtesa sana.
NB: Jamaa alikua anamtumia pesa wife wake. Ataje kiasi na mkoa aliotoka maana ni vitu anavikumbuka. Asanteni.