Rafiki yangu alimrusha mtu mwaka 2017/2018: Anamtafuta amwombe msamaha na kumlipa akikubali

Haya mambo ya hela za mtandao mimi huwa nayaheshimu sana,hujui hiyo hela aliyetuma huko alikokusudia kutuma ilikuwa ikafanye kazi gani?je mgonjwa yupo mahututi?msiba au ada?

Mwaka 2003 kipindi hiko hakuna pesa za kwenye simu jamaa yangu mama yake alikuwa na historia ya maradhi ya mara kwa mara na ya ghafla so yeye ndiyo mkubwa akawa yupo town anatafuta maisha ndugu zake wapo Arusha,alikuwa mlinzi muajiriwa wa wanaokumbuka kampuni ya GOHA SECURITY hawa walikuwa Magomeni Mapipa,siku moja ikapigwa simu nipo nae ilikuwa jioni ya 16:00 mama ameumwa tena na inatakiwa haraka hela kwa ajili ya dawa na huduma nyinginezo.

Jamaa alikuwa na akiba yake Tsh 50,000/= so ikabidi anunue voucher za Voda kisha nduguze kule kijijini wa-make deal na muuza vocha na mpigisha simu wa kijiji vocha itumwe kwake awe anaiuza kwa kurusha then akate itakayomtosha baki wapewe wakamuhudumie mama yao,jamaa akakosea namba moja mtu yupo Kigoma aloo ilikuwa balaa.

To cut a long story jamaa alikataa kurudisha hela (zile vocha) huku ndugu wa jamaa wanapiga simu mama anakufa hospital wamekataa kumuhudumia ikabidi apige tena simu Kigoma kwa jamaa huku analia kama mtoto akimuomba arudishe japo kidogo maana hela ilikuwa ni kwa ajili ya matibabu ndiyo kidogo jamaa akawa na huruma akarudisha japo sikumbuki kama alirudisha hata 40K,hii ilituumiza hata sisi tuliokua nae kwa ile hali jamaa alikuwa anapitia na toka siku ile nilijifunza mengi sana hasa kuheshimu hisia za watu nisiowaona.

So kwa yeyote atakaesoma hapa ajue anaweza akawa sababu za kifo cha mtu tujifunze kutokula visivyotuhusu.(nimekazia sana kwenye suala la kifo kwa sababu ndiyo sehemu pekee isiyokuwa na option ya subira)
Sawa na Je kama mtu alikuwa anatuma Hela ya kuhonga ? Nayo tusiile ? Nasubiri mwongozo
 
Soma Kwa makini hapa

Mwaka 2020 jamaa yangu fundi simu alipokea pesa kimakosa na kuitoa yte! Jamaa alikuwa ana mtumia mtoto wake wa shule ya matumizi 60k baada ya kupigiwa Tena na mwane kuwa hajapona Hela ndo ikabidi aangalie na kugundua kakosea akampigia simu mshikaji nae akapokea jamaa akamwambia nimekosea kutuma pesaa kwako mshikaji alimtukana sana jamaa matusi ya nguoni jamaa akamwambia mshikaji hii pesa utailipa Kwa gharama yyte!
Kama wiki Moja mbele mshikaji akakamatwa na police hapo hapo ofisini kwake kufika kituoni akaambiwa kosa lake hakuwa na ujanja yule jamaa alikuwa wa Arusha katoka huko Hadi katoro geita! Jamaa akadakwa hapo M3 zilimtoka.
 
Mwaka 2011 Kuna mama alikosea kutuma hela kwangu 57k nikawauliza watu wanaonitumiaga pesa Kila mtu anasema hapana daaah nikakaa kama siku3 nikaitoa Ile Hela nikatumia baadae akapiga simu akajitaburisha vzr kabisa na kueleza nikamwambia mama nikweli ulituma na pesa nimeitumia yte baada ya kuona kimya Kwa siku3 hapa Sina kitu yule mama akaniuliza tunafanyaje Sasa kijana wangu nikamwambia mama nivumilie kesho nitatuma akasema haya.ukweli Hela nilikuwa nayo sema niliamua tu kuitoa lkn sikuwa na amani ikipigwa no ngeni tu nashituka. Kesho yake mama akapiga simu ni mtu wa kilosa nikamwambia mama naituma Ile na kweli nikamwambia wakala aniwekee kiasi hicho Cha pesa nikatuma Hela yte na ya kutolea yule mama akanishukru sana na akaniahidi Huwa anakuja mwanza akija tuonane tufahamiane nikamwambia ukija utanijulisha mama kama miezi2 akapiga simu akasema kesho nakuja mwanza nikamwambia sawa mama lakini utafika usiku bila shaka akasema hapana nakuja na Ndege mwanangu nitafika mapema tu saivi nipo Dar nilistuka kidogo! Ikanipa hamasa ya kwenda kuonana nae. mapema tu nipo maeneo ya ilemela mother akawa amefika Daah yule mama huwez Amin alikuwa na binti yake mkali kinoma ...acha nifupishe akanichana 500k huku anamwambia mwanae ukitaka kuolewa olewa na mwanaume waaminifu kama huyu! Yule mother Amefariki mwaka2017 nimeshaenda kulala hapo mara kadhaa nikifanya mizunguko yangu
 
Kuna chizi flani nilimkuta anakula chakula kichafu kwenye pipa la taka karibu na mgahawa fln basi nikamuita nikaingia nae nikamuuliza unapenda chakula Gani akasema nyama na wali nikamuuliza Tena Huwa unakula chakula kiasi Gani akasema Mimi Huwa nakula bara na sishibi wale wenyeji wakasema jamaa hatanii anakula SI mchezo basi nikawaaambia leteni sinia jazen mpeni ale na nyama na soda iligharimu kama 11000 tu Hivi jamaa Akala Kila nikitaka kuondoka ananizuia anasema tunaenda wote huniachi hapa nikajisemea mbona Leo ninalo....
Ikabidi niwe mpole akala akashiba akaomba maji ya kunywa nikawambia mpeni ya chupa akakataa akasema utamaliza Hela tu wakamchotea ya kawaida akanywa ! Nikatoka nae anacheka kweli anasema kama kula Leo nimekula Sasa anapiga yowe nikamwambia rafiki yangu nikuache nawahi sehem akasema twende ukaone kwangu daah moyo ukagoma ikabid niite bajaji iliyokuwa karibu nikamuuliza unapafahamu anapoishi hyu rafiki yangu akasema hapana akasema twenden huku anaingia Kwa bajaji nikamwambia wa bajaji jamaa yangu twende Nami nitakulipa Hela Yako tukaenda hata si mbali akafika akaingia kwenye kibanda fln cha ovyo Cha maturubai tukawa tunashangaa tu ghafla akatoka na box sio kubwa sana akanipa akasema katumia naww kucheki mle Kuna simu mpyaa hizi kitochi asee hatukuamini tukamuacha na 20k tukaenda kuuza mzgo japo Hela aliikataa nikamwambia pale ulipokula wamesema kesho uende na hii Hela ndo akakubali.sitasahau kamwe!! Tulirudi tunacheka na jamaa wa bajaji akanipeleka Kwa jamaa yake muuza simu tukauza mzigo ukiwa kwenye mabox kabisa Kila simu tuliuza Kwa bei ya hasara15,000/ Kila nikifika mitaa hiyo namtafta yule chizi sijawahi muona Tena!
 
Kumkosa mwizi kwa nchi km Tz ni ngumu sana,
Wanasema 'mtoto ni malezi.
Km watoa huduma za jamii hasa viongozi ni hawa hawa wala rushwa, (wezi). Tumefikia hatua wezi ndio jamii inaona wanafaa.
wanakubalika.
Siasa ni mfumo wakugeuza halisia kupeleka kwenye ndoto.
Mbeleni tutegemee kizazi kibovu kuliko hiki.
Huwezi kupanda mchicha ukaota mbuyu
 
Haya mambo ya hela za mtandao mimi huwa nayaheshimu sana,hujui hiyo hela aliyetuma huko alikokusudia kutuma ilikuwa ikafanye kazi gani?je mgonjwa yupo mahututi?msiba au ada?

Mwaka 2003 kipindi hiko hakuna pesa za kwenye simu jamaa yangu mama yake alikuwa na historia ya maradhi ya mara kwa mara na ya ghafla so yeye ndiyo mkubwa akawa yupo town anatafuta maisha ndugu zake wapo Arusha,alikuwa mlinzi muajiriwa wa wanaokumbuka kampuni ya GOHA SECURITY hawa walikuwa Magomeni Mapipa,siku moja ikapigwa simu nipo nae ilikuwa jioni ya 16:00 mama ameumwa tena na inatakiwa haraka hela kwa ajili ya dawa na huduma nyinginezo.

Jamaa alikuwa na akiba yake Tsh 50,000/= so ikabidi anunue voucher za Voda kisha nduguze kule kijijini wa-make deal na muuza vocha na mpigisha simu wa kijiji vocha itumwe kwake awe anaiuza kwa kurusha then akate itakayomtosha baki wapewe wakamuhudumie mama yao,jamaa akakosea namba moja mtu yupo Kigoma aloo ilikuwa balaa.

To cut a long story jamaa alikataa kurudisha hela (zile vocha) huku ndugu wa jamaa wanapiga simu mama anakufa hospital wamekataa kumuhudumia ikabidi apige tena simu Kigoma kwa jamaa huku analia kama mtoto akimuomba arudishe japo kidogo maana hela ilikuwa ni kwa ajili ya matibabu ndiyo kidogo jamaa akawa na huruma akarudisha japo sikumbuki kama alirudisha hata 40K,hii ilituumiza hata sisi tuliokua nae kwa ile hali jamaa alikuwa anapitia na toka siku ile nilijifunza mengi sana hasa kuheshimu hisia za watu nisiowaona.

So kwa yeyote atakaesoma hapa ajue anaweza akawa sababu za kifo cha mtu tujifunze kutokula visivyotuhusu.(nimekazia sana kwenye suala la kifo kwa sababu ndiyo sehemu pekee isiyokuwa na option ya subira)
Watu wajaribu kuwa na utu na ubinadamu, pesa ya mtu siitamani kabisa.
 
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza. Rafiki yangu alitumiwa pesa kimakosa kwenye no. yake ya mpesa inayoishia na 8650. Baada ya kutumiwa hiyo hela huyo rafiki yangu aliitoa yote.

Alipigiwa na aliyekosea mwamala akamrudishia elf 50 Kwa ahadi ya kulipa kilichobaki ila aliposhindwa aliacha kutumia hiyo no yake inayoishia na 8650.

Kama unaijua story hii jamaa anakutafuta aombe msamaha na kukulipa ukikubaliana maana anasema jambo hili linamtesa sana.

NB: Jamaa alikua anamtumia pesa wife wake. Ataje kiasi na mkoa aliotoka maana ni vitu anavikumbuka. Asanteni.
...Pongezi Zake. Anafanya Jambo jema Sana. Abarikiwe...
 
Mwambie abaki nayo, si alijifanya mjanja kula hela yangu 😃😃😃
Ulikuwa unamtumia mkeo kama alivyosema mdau?
Umeoa lini? Tangu lini wewe mwanachama wa ....?
Atamalizia Mzee Mdee.

**Utani usichukulie serious.
 
Uzi wa toka June huu jamaani... ameedit hiyo NB haikuwepo😃😃🤣🤣🙌
 
Haya mambo ya hela za mtandao mimi huwa nayaheshimu sana,hujui hiyo hela aliyetuma huko alikokusudia kutuma ilikuwa ikafanye kazi gani?je mgonjwa yupo mahututi?msiba au ada?

Mwaka 2003 kipindi hiko hakuna pesa za kwenye simu jamaa yangu mama yake alikuwa na historia ya maradhi ya mara kwa mara na ya ghafla so yeye ndiyo mkubwa akawa yupo town anatafuta maisha ndugu zake wapo Arusha,alikuwa mlinzi muajiriwa wa wanaokumbuka kampuni ya GOHA SECURITY hawa walikuwa Magomeni Mapipa,siku moja ikapigwa simu nipo nae ilikuwa jioni ya 16:00 mama ameumwa tena na inatakiwa haraka hela kwa ajili ya dawa na huduma nyinginezo.

Jamaa alikuwa na akiba yake Tsh 50,000/= so ikabidi anunue voucher za Voda kisha nduguze kule kijijini wa-make deal na muuza vocha na mpigisha simu wa kijiji vocha itumwe kwake awe anaiuza kwa kurusha then akate itakayomtosha baki wapewe wakamuhudumie mama yao,jamaa akakosea namba moja mtu yupo Kigoma aloo ilikuwa balaa.

To cut a long story jamaa alikataa kurudisha hela (zile vocha) huku ndugu wa jamaa wanapiga simu mama anakufa hospital wamekataa kumuhudumia ikabidi apige tena simu Kigoma kwa jamaa huku analia kama mtoto akimuomba arudishe japo kidogo maana hela ilikuwa ni kwa ajili ya matibabu ndiyo kidogo jamaa akawa na huruma akarudisha japo sikumbuki kama alirudisha hata 40K,hii ilituumiza hata sisi tuliokua nae kwa ile hali jamaa alikuwa anapitia na toka siku ile nilijifunza mengi sana hasa kuheshimu hisia za watu nisiowaona.

So kwa yeyote atakaesoma hapa ajue anaweza akawa sababu za kifo cha mtu tujifunze kutokula visivyotuhusu.(nimekazia sana kwenye suala la kifo kwa sababu ndiyo sehemu pekee isiyokuwa na option ya subira)
Very touching kupitia wewe nazidi kiamini good people are still exist.....
 
Sawa na Je kama mtu alikuwa anatuma Hela ya kuhonga ? Nayo tusiile ? Nasubiri mwongozo
Yaani kwa namna yoyote ile kisichotokana na jasho lako wewe huna excuses za kujihalalishia kuwa ni chako.

Unajuaje kama hiyo hela ni ya kuhonga na siyo ya matibabu?au utanipigia mimi niliyekosea kuniuliza lengo la kuituma ili ikiwa sababu isiyo na msingi uile?haki ya mtu mrudishie uzuri siku hizi makampuni ya simu yameweka option ya kufahamu kiasi cha pesa utakachokatwa kuhamisha hela kwa mwengine so cha msingi calculate ukiituma hiyo hela utakatwa bei gani kitoe kwenye hela yake baki mrudishie.

Hapo chini ni wakala yupo Mtwara alinitumia hela kimakosa Tsh 17,000/= akanifahamisha nikamrudishia kwa gharama zake kama text inavyosema hapo,utaona ktk uwanja wa msg hakutuma # yake ya uwakala nilimpigia akanitajia ndiyo nikaitoa kwake.zingatia tarehe na muda kwenye kibox ili ujue hii siyo story,tuwe watu wema,haikugharimu chochote kuwa mwema
IMG_20231027_114236.jpg
 
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza. Rafiki yangu alitumiwa pesa kimakosa kwenye no. yake ya mpesa inayoishia na 8650. Baada ya kutumiwa hiyo hela huyo rafiki yangu aliitoa yote.

Alipigiwa na aliyekosea mwamala akamrudishia elf 50 Kwa ahadi ya kulipa kilichobaki ila aliposhindwa aliacha kutumia hiyo no yake inayoishia na 8650.

Kama unaijua story hii jamaa anakutafuta aombe msamaha na kukulipa ukikubaliana maana anasema jambo hili linamtesa sana.

NB: Jamaa alikua anamtumia pesa wife wake. Ataje kiasi na mkoa aliotoka maana ni vitu anavikumbuka. Asanteni.
Mkuu Niko hapa ni Mimi nilikosea huo, muamala Niko Mwanza, ilikuwa ni mwaka 2018 nikiwa nafanya kazi geita gold mine. Siku iyo nilikuwa namtumia mke wangu pesa kutoka kwenye account yangu ya Nmb kwenda kwenye namba ya mke wangu hapo ndo nilikosea huo muamala, njoo Pm nikupe ushaidi mkuu.
 
Niliwahi kutuma hela kimakosa, hela dogo sana kimuonekano (16,000) lkn kubwa sana kimajukumu, ikapokelewa na hawa ndg zenu wa Kaskazini, nilimnasihi sana na kumweleza mazingira ya hela yenyewe huwezi amini akaniambia " unayo nyengine uniongezee aisee"
Nilichoka nikalazimika kutafuta nyengine.
😆😆😆
 
Hakuna haja tena we baki nayo tu kama mgonjwaa alishafariki kitambo. Mimi nimekusamehe tayari nasitaki nikujue wala kuwasiliana na wewe koz naogopa jisije nikatenda dhambi aliyakuwa nimeisha samehe. Just imagine muhusika akakomenti hivyo
 
Back
Top Bottom