Rafiki yangu ameachwa na Mwanamke aliyepanga kujitambulisha kwao na kumuoa

Miaka 12 mahusiano yamedumu aisee Wanawake
Miaka 12 !? Hivi huwa mnawezaje ndugu zetu , huwa m atumia gundi gani !? Mpaka mnaweza kudumu kipindi chote hicho ktk mahusiano,!? Duuhh waambie wanahitaji tuzo ,

In my pov - Kwanza Nampa pole Sana Huyo jamaa ktk hichi kipindi anapaswa kuwa strong Sana kuliko wakati wowote ule aliyowahi kuupitia ktk Maisha yake, miaka 12 sio mchezo then uje kubreakup na mtu mliye kuwa mnapendana asipokuwa strong hapo lazima dripu or sumu ya panya vihusike , Mwambie ktk haya maisha anapaswa kujipenda yeye mwenyewe kwanza , akijipenda yeye mwenyewe kwanza atajihurumia hatofikiria kufanya Jambo lolote lile la kijinga linaloweza kuchangia kumuharibia maisha yake, All in all atambue kuwa maisha ni Safari na matukio kama hayo ni sehemu tu ya vituo vimoja wapo ambavyo binaadamu huwa tuna kutana navyo ktk Safari yetu ya Maisha, so Hilo nalolitapita na maisha yake ytasonga songa tu
 
Bidada hajafuta namba ya mshikaji na mshikaji hajafuta namba ya mdada Mpaka sasa
Anachopaswa kufanya nikuifuta hiyo namba haraka Na kuanza maisha upya , kutoifuta hiyo namba ni sawa na kujitakia kujiongezea maumivu maana atakuwa Anaona baadhi ya matukio ya huyo Binti WhatsApp and the likes , na itachangia kumuumiza zaidi
 
Mwamba umeongea Ushauri mmoja mzuri Sana.Nashukuru sana Kiongozi
 
Sahihi
 
Mwambie Mungu anampenda sana. Kamuonesha mapema. Kuna watu wamekataliwa madhabauni/kwa m/wilaya wengine kesho harusi wamekataliwa. Cha muhimu ajipe muda yupo mtu sahihi kwa ajili yake akatoe Shukrani kwa kanisani.

Katika huu ulimwengu jitahidi sana usiwe attached na kitu au mtu.
 
Lkn si alikuwa ashamfaidi faidi angalau (kwa maana ya kwamba alikuwa ashamnyanduanyandua vya kutosha) !!
Kidogo Sana.Maana Bidada alikuwa anamkwepa mshikaji muda mwingi,ila sababu ikawa haiwekwi wazi.Ndio Mwisho wa siku Mwaka huu 2022 Bidada kamwambia jamaa ukweli
 
Kifupi amtakie kila la kheri kwa sababu sio ugomvi na huko anapoenda sio kwamba ataishi kwa furaha milele

Jamaa atachanganyikiwa kwa mda ila atakuwa poa tu asiwaze kawaid sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…