Lovelovie
JF-Expert Member
- Oct 2, 2021
- 12,582
- 26,053
Amekuacha we umeachwa....kubali kubali[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]Hahahahah usijiumize,utazeeka vibaya hahahaha
Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Amekuacha we umeachwa....kubali kubali[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]Hahahahah usijiumize,utazeeka vibaya hahahaha
Hahaha noma sana....Hapo unamalizia na Lavalava InatoshaAmekuacha we umeachwa....kubali kubali[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
Hapana hapana umekosea.......Bora tuachane.....yamenishinda mapenz [emoji24][emoji24]Hahaha noma sana....Hapo unamalizia na Lavalava Inatosha
Kusema Bora TuachaneHapana hapana umekosea.......Bora tuachane.....yamenishinda mapenz [emoji24][emoji24]
Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mapenzi yanauma eeh na roho sio chuma na mapenzi hayana commandoKusema Bora Tuachane
Ndo Kauli Inayoniuma Kila Nikikumbuka
Tusitafutane Sikujua
Narusha Jiwe Ndege Ukapeperuka.
Tusijuane Nlisema Kwa Hasira
Leo Ndo Najuta Usinitukane
Namba Yangu Nyingine Usije Futa.
Sipendi Tuchukiane,
Naugua Kila Nikikumbuka Zamani.
Sisemi Turudiane Najua Kwako Ni
Ngumu Haiwezekani...
Balaas
Mtu hakutaki ya nini kumlazimishaHuyu ni rafiki yangu Nimesoma nae chuo, hivi majuzi kaniambia ya kuwa Mchumba wake aliyepo masomoni Chuo fulani Alimwambia Anataka akajitambulishe Ili awe mke wake mtarajiwa Rasmi. Lakini Bidada ghafla na wakati huo huo akamtumia Rariki yangu Ujumbe huu ufuatao...
"Am sorry Dear I know una nia njema kabisa na mimi lkn siku zote ukweli umuweka mtu huru nimekua mjinga nashindwa kukwambia ukwel kwamba nipo kwenye mahusiano lkn naona nnachokifany ndio naharibu zaid nakua mtumwa me nipo kwenye mahusiano aisee
Am sorry najua nimekupotezea muda lkn kiukwel hali halis ndio ipo ivo"[emoji2356]
Jamaa yangu anaomba Ushauri yakinifu. Mimi kama mdau wa JF nikasema nilete humu ndani na Ushauri wenu nitamuonyesha piaa...
Hatariii sana....[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mapenzi yanauma eeh na roho sio chuma na mapenzi hayana commando
Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
Ni kumsahau tuuuMtu hakutaki ya nini kumlazimisha
Barnabaaa boy[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mapenzi yanauma eeh na roho sio chuma na mapenzi hayana commando
Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
Hatari sana.Ungejisikiaje ndio wewe pap unatoka kuamka unapokea hiyo text?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] lako hilo.Tulia wewe