Mac Alpho
JF-Expert Member
- Aug 5, 2019
- 13,953
- 27,825
Mimi nataka kujua tu kama aliyemtosa alikuwa anasoma Dodoma.aliyetendwa ni yeye,ila anazuga msimcheke
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi nataka kujua tu kama aliyemtosa alikuwa anasoma Dodoma.aliyetendwa ni yeye,ila anazuga msimcheke
Kuna alliyebipu wakati fulani nikampigia... Baada ya miaka nane sasa analia lia
Ni wazi alikua hapendwi Ila alikua analazimisha mapenzi, jamaa ako alikua zobaKidogo Sana.Maana Bidada alikuwa anamkwepa mshikaji muda mwingi,ila sababu ikawa haiwekwi wazi.Ndio Mwisho wa siku Mwaka huu 2022 Bidada kamwambia jamaa ukweli
Unamcheka ya nin kwa mfano ni swala ambalo linaweza tokea kwa mtu yeyote yule, linaweza lisikutokee wewe linaweza mtokea mdogo ako, au kaka ako, au rafiki yako au ndugu yakoaliyetendwa ni yeye,ila anazuga msimcheke
Jiongeze mbona unafeli atakua amemtafuta jamaa kupitia marafiki au ndugu ajabu ni nin hapoDuh na bado unamfwatilia maisha yake hadi kujua kwamba analia lia baada ya miaka yote hiyo ? Miaka 8 na unajua habari zake bado ?
Kabila gani huyo msichana?Huyu ni rafiki yangu Nimeosoma nae chuo, hivi majuzi kaniambia ya kuwa Mchumba wake aliyepo masomoni Chuo fulani Alimwambia Anataka akajitambulishe Ili awe mke wake mtarajiwa Rasmi. Lakini Bidada ghafla na wakati huo huo akamtumia Rariki yangu Ujumbe huu ufuatao.....
"Am sorry Dear I know una nia njema kabisa na mimi lkn siku zote ukweli umuweka mtu huru nimekua mjinga nashindwa kukwambia ukwel kwamba nipo kwenye mahusiano lkn naona nnachokifany ndio naharibu zaid nakua mtumwa me nipo kwenye mahusiano aisee
Am sorry najua nimekupotezea muda lkn kiukwel hali halis ndio ipo ivo"[emoji2356]
Jamaa yangu anaomba Ushauri yakinifu. Mimi kama mdau wa JF nikasema nilete humu ndani na Ushauri wenu nitamuonyesha piaa...
MkingaKabila gani huyo msichana?
haaa haaa wajumbe wanataka kujua 🤣🤣OKW BOBAN SUNZU Nimeona comment Yako hahahah
bado hujawajua vizuri members humu. Jitahidi kuwajua vyema. unaweza kuta jana tu kuna memba katuambia yupo kwenye mapenzi mazito shata shata,katuringishia mbaya sana. Halafu leo atadhubutu kusema kapigwa na kitu kizito?Unamcheka ya nin kwa mfano ni swala ambalo linaweza tokea kwa mtu yeyote yule, linaweza lisikutokee wewe linaweza mtokea mdogo ako, au kaka ako, au rafiki yako au ndugu yako
Sasa hapa utakuta jamaa ndo alizidi kumpenda mwanamke kwa kuhisi kwamba hapendelei sana kupigwa mbupu labda akakichukulia kama kigezo cha uaminifu wake, kumbe kuna mwingine huko anapewa kila anapotaka tena kwa kulazimishwa na kuulizwaKidogo Sana.Maana Bidada alikuwa anamkwepa mshikaji muda mwingi,ila sababu ikawa haiwekwi wazi.Ndio Mwisho wa siku Mwaka huu 2022 Bidada kamwambia jamaa ukweli
Hahahahahah mdau uko Sahihi kabisa ulisemaloSasa hapa utakuta jamaa ndo alizidi kumpenda mwanamke kwa kuhisi kwamba hapendelei sana kupigwa mbupu labda akakichukulia kama kigezo cha uaminifu wake, kumbe kuna mwingine huko anapewa kila anapotaka tena kwa kulazimishwa na kuulizwa
"sikuhizi sikuvutii, mbona unakwepa kulala na mimi?"
KabisaAendelee na issue za zingine aachane na mambo hayo...
Afurahi tu. Mi mtu mkweli nampenda sana tena uwe ukweli mchungu ndio safi kabisa.Huyu ni rafiki yangu Nimesoma nae chuo, hivi majuzi kaniambia ya kuwa Mchumba wake aliyepo masomoni Chuo fulani Alimwambia Anataka akajitambulishe Ili awe mke wake mtarajiwa Rasmi. Lakini Bidada ghafla na wakati huo huo akamtumia Rariki yangu Ujumbe huu ufuatao...
"Am sorry Dear I know una nia njema kabisa na mimi lkn siku zote ukweli umuweka mtu huru nimekua mjinga nashindwa kukwambia ukwel kwamba nipo kwenye mahusiano lkn naona nnachokifany ndio naharibu zaid nakua mtumwa me nipo kwenye mahusiano aisee
Am sorry najua nimekupotezea muda lkn kiukwel hali halis ndio ipo ivo"[emoji2356]
Jamaa yangu anaomba Ushauri yakinifu. Mimi kama mdau wa JF nikasema nilete humu ndani na Ushauri wenu nitamuonyesha piaa...
Si useme tu ni Wew mwenyewe, Mshukuru Mwenyezi kwa yote. Utapata alie bora kwako
Kiutu Uzima wajiongeze wajumbeehaaa haaa wajumbe wanataka kujua 🤣🤣
Mimi mwenyewe
aliyetendwa ni yeye,ila anazuga msimcheke