Rafiki yangu ameachwa na Mwanamke aliyepanga kujitambulisha kwao na kumuoa

Rafiki yangu ameachwa na Mwanamke aliyepanga kujitambulisha kwao na kumuoa

Atulie tu muda Ni Tiba sahihi Wala hakunaga haja ya kupanic kwenye haya mambo ya mahusiano.

Maana atajikuta ameharibu hata mambo yake ya muhimu sababu ya mwanamke ambae tayari anampenda mtu mwingine.
 
haya maisha bhn unaeza hisi unateswa peke ako na mapenzi kumbe una mwenzako [emoji23][emoji23][emoji23]

Hiyo sms hata mimi nimetumiwa tofauti ni kwamba rafiki ako ni wa kiume mi ni wa kike[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Pole Sana jamani,uje tu PM tufarijiane mama
 
Huyu ni rafiki yangu Nimeosoma nae chuo, hivi majuzi kaniambia ya kuwa Mchumba wake aliyepo masomoni Chuo fulani Alimwambia Anataka akajitambulishe Ili awe mke wake mtarajiwa Rasmi. Lakini Bidada ghafla na wakati huo huo akamtumia Rariki yangu Ujumbe huu ufuatao.....

"Am sorry Dear I know una nia njema kabisa na mimi lkn siku zote ukweli umuweka mtu huru nimekua mjinga nashindwa kukwambia ukwel kwamba nipo kwenye mahusiano lkn naona nnachokifany ndio naharibu zaid nakua mtumwa me nipo kwenye mahusiano aisee
Am sorry najua nimekupotezea muda lkn kiukwel hali halis ndio ipo ivo"[emoji2356]

Jamaa yangu anaomba Ushauri yakinifu. Mimi kama mdau wa JF nikasema nilete humu ndani na Ushauri wenu nitamuonyesha piaa...
Mwambie atafute pesa, mapenzi atayapata tu. Nasisitiza, atafute pesa kwa bidii. Wanawake wapo na wazuri hawajazaliwa bado.

Niliwahi ombwa samahani baada ya kudharauliwa katika mahusiano na demu. Nikajikubali na kuendelea na mambo yangu. Alikoenda mambo yakawa magumu akatuma watu wazima kuomba msamaha. Niliwafukuza kama kuku.

Siku nyingine kaja na machizi debe, nikamwambia sili viporo. Hadi leo ni mdangaji mwenye certificate ya udangaji. Karibu anagraduate kudanga.

Sent from my Infinix X688B using JamiiForums mobile app
 
Afanye namna yoyote tu hata kwa gharama afu aombe game ya kuagana..akifika ampige mkia wa haja na baada ya hapo ampe tu kichapo ka mikwenzi na mitama itahusika itapendeza...ila asikamie sanaa kwny kichapo.....hatamaliza hata wk atasahau hadi jina..hi mbinu inasaidia sanaa
 
Wewe unaweza hiyo shoo ya Sehemu ambayo unajua hutaimiliki?
 
Japo takua nimechelewa hapo cha kwanza kabisa ni iyo sms ya uyo binti hasi ijibu yani hasi ijibu kabsaaa ni ngumu lakini ni vzuri zaid..then ajiondokee kimya kimya
 
Another One..

Mkuu mwambia akiachwa aachike,,, hakuna haja ya kuendelea kung'ang'ania mwanamke ambaye ameonyesha hakuhitaji... Madhara yake huja kuwa ni makubwa sana,, na stress huwa ni nyingi...

Wanaume sijui tuna shida gani siku hizi,, kila siku tunalia lia sisi tu... wakati humu tips zinatolewa kila siku... Watu wameaminishwa ujinga mwingi sana kuhusu mapenzi...

Yaani unakuta kijana................

AU BASI
 
Wewe unaweza hiyo shoo ya Sehemu ambayo unajua hutaimiliki?
Amuite geto tu ndo sehem poa..hata kama gharama kumshawishi afanye ivo...hakika atajanishukuru..hyo mbinu ina function snaaa...siwez kuacha boya acheze na hisia zangu kwa kipnd chote hicho afu nimuache kinyonge vile..asiponikumbuka kwa uzur wangu atayakumbuka hata makwenzi
 
Jamaa bado anampenda bidada.Miaka 12 amemzoea Binti na jamaa alikuwa anajitoa na hadi hatua za Mwisho pia jamaa alikuwa anajitoa pia Kwa bidada

This is ONE VERY BIG MISTAKE

Kati ya vitu anavyoumia sasa hivi ni hilo pia,,, Vijana usiwe kiherehere sana kujikuta unajitoa ukiamini ndio ulimbo,,, hao viumbe wenye papuchi wakiamua jambo hawajali hata kama uliwatolea FIGO wanakupiga tukio....

Kula maisha,, na yeye muweke tu kama sehemu ya maisha yako,, usijibane wala kumpa priorities eti ukiamini atakupenda zaidi,, hawana jema hao.... Kama ukitoa make sure umetoa bila kukumbuka...

Kuna wakati usiogope kudharaulika,,kuitwa mbinafsi, kuonekana una roho mbaya,, .......Don't give a fuuck...

Hakuna atakayeondoka Duniani akiwa Hai,, sasa yanini uje ujitie Stress ufe mapema.
 
Huyu ni rafiki yangu Nimeosoma nae chuo, hivi majuzi kaniambia ya kuwa Mchumba wake aliyepo masomoni Chuo fulani Alimwambia Anataka akajitambulishe Ili awe mke wake mtarajiwa Rasmi. Lakini Bidada ghafla na wakati huo huo akamtumia Rariki yangu Ujumbe huu ufuatao.....

"Am sorry Dear I know una nia njema kabisa na mimi lkn siku zote ukweli umuweka mtu huru nimekua mjinga nashindwa kukwambia ukwel kwamba nipo kwenye mahusiano lkn naona nnachokifany ndio naharibu zaid nakua mtumwa me nipo kwenye mahusiano aisee
Am sorry najua nimekupotezea muda lkn kiukwel hali halis ndio ipo ivo"[emoji2356]

Jamaa yangu anaomba Ushauri yakinifu. Mimi kama mdau wa JF nikasema nilete humu ndani na Ushauri wenu nitamuonyesha piaa...
Nilipata kuisikia hadithi ya 'Aladini na taa ya ajabu' hapo zamani kidogo. Hadithi hii yenye asili kutokea huko arabuni ni mashuhuri sana kiasi cha kuwa 'adopted' kwenye filamu mbalimbali za ukaragushi na hata za kawaida.

Bwana Aladini alikuwa na taa yake ya majabu ambayo aliipata kwenye pango moja huko jangwani. Taa hii ndani yake alikuwemo jini mwenye nguvu za ajabu aliyefungwa kama mtumwa ndani ya taa hiyo. Na katika masharti ya jini huyo ni kwamba Aliye mwenye kuimiliki hiyo taa (Aladini) ndio anakuwa bwana wa jini huyo na anaweza kumuamrisha huyo jini afanye lolote akatii. 'In fact' jini anakupa nafasi tatu za kumtaka akufanyie nini wewe kama bwana wake/'wishes'. Chochote utachotaka/wish atakufanyia ISIPOKUWA katika mambo matatu. Moja, Mauaji; jini huwezi kumtaka aue kwa ajili yako. Pili, Ufufuaji; jini hawezi kumrudishia uhai aliyekufa na tatu, Mapenzi/Upendo; jini hawezi kumfanya mtu ampende mtu mwingine. Lolote lisilokuwa katika haya matatu jini atatimiza.

Sharti hilo la tatu la kumtaka Jini ndio hasa kusudio la 'reply' yangu hii. Kama Jini mwenye uwezo na nguvu za ajabu hawezi kumfanya/kumlazimisha mtu ampende mtu mwingine wewe/huyo rafiki yako ni nani!? Mtu aweza kuamuliwa vitu vingi takriban vyote kwenye maisha yake isipokuwa mapenzi. Uhuru wa kupenda mtu anachopenda ndio uhuru wa uhakika zaidi na katika bahti mbaya sana kwenye hii dunia ni kutopendwa na unayempenda. Huyo rafiki yako/Wewe alishaoneshwa mara nyingi sana na huyo mpendwa wake kuwa sio yeye anayependwa lakini upendo wake ukampofusha 'loving the snooze button while the alarm's been ringing'.

Sasa ameambiwa 'laivu' kabisa kuwa mhusika/The one' yupo na sio yeye, hakupaswa kusubiri mpaka aambiwe. Ni jambo la kushangaza sana sasa hivi mtu anaweza kuamini kila analoliona kwenye habari lakini asiamini pale mtu anapomuambia hampendi (tena).

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Halafu nyie madogo acheni kutuzingua, hata sisi tumepitia hayo mambo..

Sasa ukiambiwa hivyo unachanganyikiwa nini? Kuna kibaya au changamoto gani hapo hadi uombe ushauri? Hivi mtakuja kuwa wanaume wenye uwezo wa kufanya maamuzi kweli nyie? Pumbafu!
 
Back
Top Bottom