mamamzungu
JF-Expert Member
- Nov 17, 2019
- 2,554
- 4,271
Mimi nataka kujua tu kama aliyemtosa alikuwa anasoma Dodoma.
kwani wa dodoma wana nini[emoji23][emoji23][emoji23]mbona umekazana dodoma dodomaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi nataka kujua tu kama aliyemtosa alikuwa anasoma Dodoma.
Ninachokiamini watu wengi sana wanaishi na wanawake ambao mioyo yao na mapenzi yao ya dhati (yale natural) yapo kwa wanaume wengine. Mwanamke akipenda kusahu mwanaume wake ni kazi kubwa mno, ndomaana unapokuwa na mwanamke ambae haujamkuta bikra kitu kikubwa cha kuombea ni asikutane na yule mwanaume anaempenda katika historia ya maisha yake.
Unakuta mwanamke umempata labda kwasababu jamaa ake hakuwa akimjali , au labda waliachana kwa uzuri tu na mshikaji wake kutokana sababu mbalimbali za kimaisha. Ikitokea mwanaume kaamua kurejesha majeshi kwa huyo mwanamke kwa kuonyesha kwamba anamjali na kumheshimu tofauti na zamani alafu labda ukute alishakuwa vizuri kiuchumu......aiseeeh hata mimba atambebea wakati yuko na wewe.
Mimi kuna mwanamke yule hata aende wapi atabaki kuwa wangu tu, hata nimtukane vipi hasikii chochote, na kila nikikutana nae hataki kabisa kutumia Condoms anadai haogopi hata kubeba ujauzito wangu.
Amini kwamba huyo jamaa alikuwa anapenda asiopendwa, na ndomaana hata shoo alikuwa anapewa partially.
Kabisasubsequent love unakuwa na experience
Sema kwako wewe labda, na hakuna sehemu nimesema ni wote.mbona mnatusemea sana
kwani nyie ni wanawake au nyie ni sisi au sisi ni ninyi au ninyi ni sisi
Habari ya kusahau ni kitu kingine kabisa tunawasahau kabisa hata hatuwakumbukii ukiona huyo mwanamke hajakusahau basii hajaamua tu ila ni rahisi sana kusahai na ndo maana tunaweza kusema tunawapenda leo kesho asubuhii tunasema tunapendaa mwingine
Kiufupii hatupendii kiivyo kama mnavozanii
Tunawaigizia tu [emoji3061][emoji3061][emoji3061]
Jiongeze mbona unafeli atakua amemtafuta jamaa kupitia marafiki au ndugu ajabu ni nin hapo
Kuachana sio uadui, sio kila mwanamke unayeachana naye anakua adui yakoAjabu ni kwamba bado anamuwazia na kumfwatilia maisha yake baada ya miaka 8 kupita ?
Kuachana sio uadui, sio kila mwanamke unayeachana naye anakua adui yako
Sasa anaomba ushauri gani zaidi ya kukubali matokeo? Demu alijua jamaa haoi leo wala kesho akawa anakula pesa yake, sasa kaona yuko serious kaamua amwambie ukweli.Huyu ni rafiki yangu Nimesoma nae chuo, hivi majuzi kaniambia ya kuwa Mchumba wake aliyepo masomoni Chuo fulani Alimwambia Anataka akajitambulishe Ili awe mke wake mtarajiwa Rasmi. Lakini Bidada ghafla na wakati huo huo akamtumia Rariki yangu Ujumbe huu ufuatao...
"Am sorry Dear I know una nia njema kabisa na mimi lkn siku zote ukweli umuweka mtu huru nimekua mjinga nashindwa kukwambia ukwel kwamba nipo kwenye mahusiano lkn naona nnachokifany ndio naharibu zaid nakua mtumwa me nipo kwenye mahusiano aisee
Am sorry najua nimekupotezea muda lkn kiukwel hali halis ndio ipo ivo"🤦♀️
Jamaa yangu anaomba Ushauri yakinifu. Mimi kama mdau wa JF nikasema nilete humu ndani na Ushauri wenu nitamuonyesha piaa...
Demu kakataa kuingizwa kwenye mtego wa ndoa, kosa la jamaa ni ku-plan ndoa ilhali demu anaiwazia ndoa kwa mwanaume mwingine.Sasa anaomba ushauri gani zaidi ya kukubali matokeo? Demu alijua jamaa haoi leo wala kesho akawa anakula pesa yake, sasa kaona yuko serious kaamua amwambie ukweli.
Hahahaha hatariiiDemu kakataa kuingizwa kwenye mtego wa ndoa, kosa la jamaa ni ku-plan ndoa ilhali demu anaiwazia ndoa kwa mwanaume mwingine.
Ila bora hivyo kuliko angejichanganya kutaka kum- suprise demu na pete ya uchumbwa, afu akataliwe LIVE😂😂
Unakuwa na wanawake wanne, ila akikutema mkoja wapo unaempenda ukosa hata hamu ya kuwa na hao wengine. Mapenzi ni konyo.Haya ndio makosa ya kuwa na mwanamke mmoja. Akikutingisha unatingishika haswa. Piga moyo konde kuna watoto wazuri wengi tu ila jitahidi uwe nao hata watatu ili usiwe na emotional dependance. Kama hapo ungekuwa unarelax na mwingine anapunguza mawazo kidogo. Pole sana.
"Ukiachwa achika" mwambie hvo rafk akoHuyu ni rafiki yangu Nimesoma nae chuo, hivi majuzi kaniambia ya kuwa Mchumba wake aliyepo masomoni Chuo fulani Alimwambia Anataka akajitambulishe Ili awe mke wake mtarajiwa Rasmi. Lakini Bidada ghafla na wakati huo huo akamtumia Rariki yangu Ujumbe huu ufuatao...
"Am sorry Dear I know una nia njema kabisa na mimi lkn siku zote ukweli umuweka mtu huru nimekua mjinga nashindwa kukwambia ukwel kwamba nipo kwenye mahusiano lkn naona nnachokifany ndio naharibu zaid nakua mtumwa me nipo kwenye mahusiano aisee
Am sorry najua nimekupotezea muda lkn kiukwel hali halis ndio ipo ivo"[emoji2356]
Jamaa yangu anaomba Ushauri yakinifu. Mimi kama mdau wa JF nikasema nilete humu ndani na Ushauri wenu nitamuonyesha piaa...
Lody Music-Kubali hahahaha...
[emoji2][emoji2]unampgia nn akiona namba yako anakata....huyo si wako tena....lalalalalah lalah[emoji119]Lody Music-Kubali hahahaha...
Unalewa Nini Wakati Mwenzako Ameshakuachaa,Hahahahaha
Hahahahah usijiumize,utazeeka vibaya hahahaha[emoji2][emoji2]unampgia nn akiona namba yako anakata....huyo si wako tena....lalalalalah lalah[emoji119]
Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app