Rafiki yangu ameingia kwenye mahusiano na mwanamke wangu. Moyo wangu unauma sijui nifanye nini?

Habari za muda huu,

Naitwa Jacob nina miaka 24, nipo chuo, naomba msaada wako kwa jambo nilopitia.

Kwa sasa nimeingia mwaka wa pili, mwishoni mwa mwaka jana nilipata mpenzi ambae ni first year, anasomea diploma ya pharmacy anaitwa Kyrie (18 years). Nilimtongoza akanikubalia basi tukawa tunadate, kila akiwa na mahitaji nilikuwa namsaidia, nikishindwa nilikuwa namwambia

Alikuwa anakuja mpaka ninapokaa, japo kwa muda huo hayakuwa makazi permanent palikiwa ni kwa kijana mmoja anayesoma diploma mwaka wa 2, nilimuomba nikae kwa muda huku nikisubiria nipate pesa nihamie kwangu maana nilikuwa nshalipia chumba ilibaki kununia vitu vya ndani

Sasa kuhusu mahusiano yangu na bibie Kyrie yalianza kuingia doa kama unavyojua nilikuwa sometimes naenda mtaani kufanya kazi nipate chochote kitu kiasi kwamba Kyrie akawa ananiona nipo busy sana, lakini sikuwa namwambia juu ya kazi ninazofanya, kumbe nisilolijua akaanza mahusiano ya chini na huyo jamaa ninayekaa nae mpaka kuna muda wakawa wanaonana usiku

Kwa jamaa niliondoka maana alinambia nimpishe, ikabidi niende kwa rafkia yangu mwingine, taarifa nikawa nazipata nikienda kumuuliza anajibu nina uhakika gani, dah nilifanya hivyo kama mara 3 lakini bado akawa anasisitiza yule rafiki yangu hivyo asingeweza fanya hivyo. Mapenzi kwangu yakapungua madai kwamba mimi nilimbadilisha mwishowe hata nilipohamia kwangu hakutaka kuja, akasema kwamba nikiwa na shida zangu ndo namtafuta

Sasa baada ya kipindi kupita ikabidi nimuulize rafiki yake wa karibu ambae alikuwa amepanga pale tulipokuwa tunakaa na jamaa wa diploma, ambayo ilikuwa usiku wa kuelekea leo yule dada akanambia walikuwa wanatoka na huyo jamaa ila kwa sasa hawapo karibu na alisema ashawahi lala kwake 😢. Imeniuma sana maana nilimuamini lakini hakunithamini ikabidi niende moja kwa moja hostel kuongea nae ili ajue kwamba nimetambua, huwezi amini alishindwa nijibu chochote, niliongea sana hadi nikalia, nikajua nilichoambiwa ni kweli mwishoni aliamua kukiri

Moyo wangu unauma sijui nfanye nini naa huyo jamaa alikuwa anadaiwa kauza vitu vyake na kaachia chumba jana akaomba kuja kulala kwangu tukapika na kula kisha tukalala asubuhi nikamuachia funguo, sasa leo baada ya kujua nilokuwa nasikia ni kweli nilivyotoka hostel kuongea na huyo dada nimeshindwa kwenda kwangu nimemuacha alale ikifika asubuhi nitajua cha kufanya lakini moyo unauma sijui nitavuka vipi na hili

Naomba nisaidie, nimekosa hata usingizi nimeshindwa kabisa
Huyo sio mwanmke wako,huyo ni Malaya,tunamsubiria amalize chuo aje kitaa tumtoe bikira ya mk.undu.
Maana ninyi muna.mtomba kihuruma huruma
 
Ila wazazi tuombee watoto wetu sana,. Imagine bint yako chuo ndio anapigwa pasi namna hiyo kama mpira
Ana miaka 18 TU,........then litakuja boya Moja miaka 6-8 ijayo kutoa mahali na kumvalisha pepe huyo Malaya huku akibubujikwa na machozi
 
"Ukimegewa demu wako, nawe tafuta mnyonge ummegee, haipunguzi maumivu inarudisha hadhi ya kiume"
 
Habari za muda huu,

Naitwa Jacob nina miaka 24, nipo chuo, naomba msaada wako kwa jambo nilopitia.

Kwa sasa nimeingia mwaka wa pili, mwishoni mwa mwaka jana nilipata mpenzi ambae ni first year, anasomea diploma ya pharmacy anaitwa Kyrie (18 years). Nilimtongoza akanikubalia basi tukawa tunadate, kila akiwa na mahitaji nilikuwa namsaidia, nikishindwa nilikuwa namwambia

Alikuwa anakuja mpaka ninapokaa, japo kwa muda huo hayakuwa makazi permanent palikiwa ni kwa kijana mmoja anayesoma diploma mwaka wa 2, nilimuomba nikae kwa muda huku nikisubiria nipate pesa nihamie kwangu maana nilikuwa nshalipia chumba ilibaki kununia vitu vya ndani

Sasa kuhusu mahusiano yangu na bibie Kyrie yalianza kuingia doa kama unavyojua nilikuwa sometimes naenda mtaani kufanya kazi nipate chochote kitu kiasi kwamba Kyrie akawa ananiona nipo busy sana, lakini sikuwa namwambia juu ya kazi ninazofanya, kumbe nisilolijua akaanza mahusiano ya chini na huyo jamaa ninayekaa nae mpaka kuna muda wakawa wanaonana usiku

Kwa jamaa niliondoka maana alinambia nimpishe, ikabidi niende kwa rafkia yangu mwingine, taarifa nikawa nazipata nikienda kumuuliza anajibu nina uhakika gani, dah nilifanya hivyo kama mara 3 lakini bado akawa anasisitiza yule rafiki yangu hivyo asingeweza fanya hivyo. Mapenzi kwangu yakapungua madai kwamba mimi nilimbadilisha mwishowe hata nilipohamia kwangu hakutaka kuja, akasema kwamba nikiwa na shida zangu ndo namtafuta

Sasa baada ya kipindi kupita ikabidi nimuulize rafiki yake wa karibu ambae alikuwa amepanga pale tulipokuwa tunakaa na jamaa wa diploma, ambayo ilikuwa usiku wa kuelekea leo yule dada akanambia walikuwa wanatoka na huyo jamaa ila kwa sasa hawapo karibu na alisema ashawahi lala kwake 😢. Imeniuma sana maana nilimuamini lakini hakunithamini ikabidi niende moja kwa moja hostel kuongea nae ili ajue kwamba nimetambua, huwezi amini alishindwa nijibu chochote, niliongea sana hadi nikalia, nikajua nilichoambiwa ni kweli mwishoni aliamua kukiri

Moyo wangu unauma sijui nfanye nini naa huyo jamaa alikuwa anadaiwa kauza vitu vyake na kaachia chumba jana akaomba kuja kulala kwangu tukapika na kula kisha tukalala asubuhi nikamuachia funguo, sasa leo baada ya kujua nilokuwa nasikia ni kweli nilivyotoka hostel kuongea na huyo dada nimeshindwa kwenda kwangu nimemuacha alale ikifika asubuhi nitajua cha kufanya lakini moyo unauma sijui nitavuka vipi na hili

Naomba nisaidie, nimekosa hata usingizi nimeshindwa kabisa
mwezio amekuzidi maturity kwenye mambo ya mahusiano, huwezi kwepa ku-share hiyo gift of love
 
Kuna sumu ya panya bei rahisi tu hapo kkoo.
Na ungekua hapa karibu, ningekutandika mabanzi ya kutosha ukatafute hela nyau we.
Huna Hela huku unahangaisha wenye hela na bibi hana hela.
Si muolewe wote na jamaa muwe wake zake.
Ushauri gani mwingine unataka
 
La kuzingatia
Mapenz ya chuo mengi ni ya kupita jitahid yasikupelekshe, La msingi kumbuka kilichokupeleka,.. .
Tulipanga geto na washakji tunaishi 6 una roho ngumu utoboi, ukikaa kizembe dem wako kaliwa.. Tuko friends mpaka sasa... Alafu asingeliwa na rafiki yako angeliwa na mwingine... SOMA
 
Tulisema vijana (madogo) wa 2000 hovyo wanafura; ona huyu analilia kahaba
 
Habari za muda huu,

Naitwa Jacob nina miaka 24, nipo chuo, naomba msaada wako kwa jambo nilopitia.

Kwa sasa nimeingia mwaka wa pili, mwishoni mwa mwaka jana nilipata mpenzi ambae ni first year, anasomea diploma ya pharmacy anaitwa Kyrie (18 years). Nilimtongoza akanikubalia basi tukawa tunadate, kila akiwa na mahitaji nilikuwa namsaidia, nikishindwa nilikuwa namwambia

Alikuwa anakuja mpaka ninapokaa, japo kwa muda huo hayakuwa makazi permanent palikiwa ni kwa kijana mmoja anayesoma diploma mwaka wa 2, nilimuomba nikae kwa muda huku nikisubiria nipate pesa nihamie kwangu maana nilikuwa nshalipia chumba ilibaki kununia vitu vya ndani

Sasa kuhusu mahusiano yangu na bibie Kyrie yalianza kuingia doa kama unavyojua nilikuwa sometimes naenda mtaani kufanya kazi nipate chochote kitu kiasi kwamba Kyrie akawa ananiona nipo busy sana, lakini sikuwa namwambia juu ya kazi ninazofanya, kumbe nisilolijua akaanza mahusiano ya chini na huyo jamaa ninayekaa nae mpaka kuna muda wakawa wanaonana usiku

Kwa jamaa niliondoka maana alinambia nimpishe, ikabidi niende kwa rafkia yangu mwingine, taarifa nikawa nazipata nikienda kumuuliza anajibu nina uhakika gani, dah nilifanya hivyo kama mara 3 lakini bado akawa anasisitiza yule rafiki yangu hivyo asingeweza fanya hivyo. Mapenzi kwangu yakapungua madai kwamba mimi nilimbadilisha mwishowe hata nilipohamia kwangu hakutaka kuja, akasema kwamba nikiwa na shida zangu ndo namtafuta

Sasa baada ya kipindi kupita ikabidi nimuulize rafiki yake wa karibu ambae alikuwa amepanga pale tulipokuwa tunakaa na jamaa wa diploma, ambayo ilikuwa usiku wa kuelekea leo yule dada akanambia walikuwa wanatoka na huyo jamaa ila kwa sasa hawapo karibu na alisema ashawahi lala kwake 😢. Imeniuma sana maana nilimuamini lakini hakunithamini ikabidi niende moja kwa moja hostel kuongea nae ili ajue kwamba nimetambua, huwezi amini alishindwa nijibu chochote, niliongea sana hadi nikalia, nikajua nilichoambiwa ni kweli mwishoni aliamua kukiri

Moyo wangu unauma sijui nfanye nini naa huyo jamaa alikuwa anadaiwa kauza vitu vyake na kaachia chumba jana akaomba kuja kulala kwangu tukapika na kula kisha tukalala asubuhi nikamuachia funguo, sasa leo baada ya kujua nilokuwa nasikia ni kweli nilivyotoka hostel kuongea na huyo dada nimeshindwa kwenda kwangu nimemuacha alale ikifika asubuhi nitajua cha kufanya lakini moyo unauma sijui nitavuka vipi na hili

Naomba nisaidie, nimekosa hata usingizi nimeshindwa kabisa
Wewe ni mpumbavu. Unahangaika unafanya kazi badala ya kununua vitu uhamie kwako, unajigeuza mzazi wa malaya. Ukome
 
Ila wazazi tuombee watoto wetu sana,. Imagine bint yako chuo ndio anapigwa pasi namna hiyo kama mpira
Maombi Wala hayawezi kusaidia chochote.Binti akiwa kiruka njia atachezea dushe mpaka dakika ya mwisho
 
Habari za muda huu,

Naitwa Jacob nina miaka 24, nipo chuo, naomba msaada wako kwa jambo nilopitia.

Kwa sasa nimeingia mwaka wa pili, mwishoni mwa mwaka jana nilipata mpenzi ambae ni first year, anasomea diploma ya pharmacy anaitwa Kyrie (18 years). Nilimtongoza akanikubalia basi tukawa tunadate, kila akiwa na mahitaji nilikuwa namsaidia, nikishindwa nilikuwa namwambia

Alikuwa anakuja mpaka ninapokaa, japo kwa muda huo hayakuwa makazi permanent palikiwa ni kwa kijana mmoja anayesoma diploma mwaka wa 2, nilimuomba nikae kwa muda huku nikisubiria nipate pesa nihamie kwangu maana nilikuwa nshalipia chumba ilibaki kununia vitu vya ndani

Sasa kuhusu mahusiano yangu na bibie Kyrie yalianza kuingia doa kama unavyojua nilikuwa sometimes naenda mtaani kufanya kazi nipate chochote kitu kiasi kwamba Kyrie akawa ananiona nipo busy sana, lakini sikuwa namwambia juu ya kazi ninazofanya, kumbe nisilolijua akaanza mahusiano ya chini na huyo jamaa ninayekaa nae mpaka kuna muda wakawa wanaonana usiku

Kwa jamaa niliondoka maana alinambia nimpishe, ikabidi niende kwa rafkia yangu mwingine, taarifa nikawa nazipata nikienda kumuuliza anajibu nina uhakika gani, dah nilifanya hivyo kama mara 3 lakini bado akawa anasisitiza yule rafiki yangu hivyo asingeweza fanya hivyo. Mapenzi kwangu yakapungua madai kwamba mimi nilimbadilisha mwishowe hata nilipohamia kwangu hakutaka kuja, akasema kwamba nikiwa na shida zangu ndo namtafuta

Sasa baada ya kipindi kupita ikabidi nimuulize rafiki yake wa karibu ambae alikuwa amepanga pale tulipokuwa tunakaa na jamaa wa diploma, ambayo ilikuwa usiku wa kuelekea leo yule dada akanambia walikuwa wanatoka na huyo jamaa ila kwa sasa hawapo karibu na alisema ashawahi lala kwake 😢. Imeniuma sana maana nilimuamini lakini hakunithamini ikabidi niende moja kwa moja hostel kuongea nae ili ajue kwamba nimetambua, huwezi amini alishindwa nijibu chochote, niliongea sana hadi nikalia, nikajua nilichoambiwa ni kweli mwishoni aliamua kukiri

Moyo wangu unauma sijui nfanye nini naa huyo jamaa alikuwa anadaiwa kauza vitu vyake na kaachia chumba jana akaomba kuja kulala kwangu tukapika na kula kisha tukalala asubuhi nikamuachia funguo, sasa leo baada ya kujua nilokuwa nasikia ni kweli nilivyotoka hostel kuongea na huyo dada nimeshindwa kwenda kwangu nimemuacha alale ikifika asubuhi nitajua cha kufanya lakini moyo unauma sijui nitavuka vipi na hili

Naomba nisaidie, nimekosa hata usingizi nimeshindwa kabisa
Mleta uzi umesema uko chuo kikuu au form two?
 
1. Kwanza kabisa, we upo chuo. Mapenzi na masomo haviendani.
2. Huko chuo umepata kipozeo siyo mke. Kinachokuliza nini?
3. Mnapoambiwa hawaaminiki, mnaelewa nini.
4. Mwenyewe hata pa kukaa huna! Akiona boxer za mwanaume ndani na huzigusi, jiulize anakuchukuliaje! Si fara tu? Yaani umefika chuo tu, demu huyo,umeshadata. Acheni umalaya. Hiyo si tabia ulojifunzia chuo, umetoka nayo huko.
5. Utamlishaje matembele wakati kuna wa kumpa chips kuku?

6. We endelea kuferi. Mwana kulitafuta, mwana kuligeti.
 
Back
Top Bottom