Rafiki yangu kalala kituoni siku mbili kwa kosa la kumpiga mumewe na kumvunja mkono

Nawachukia wanawake na wanaume wanaovumilia mahusiano ya mateso. Sasa huyo kijana si afanye maamuzi ya kiume kama hawezi pigana achane na hayo mahusiano.
Tatizo linakuja kwa watoto shost, ndo mana wanavumiliana tu.
Ningekuwa mie ningenyoosha njia tu
 
Usiende kumtoa.

Mchukue wewe huyo mbaba, awe mumeo, muhame mkoa kabisa muende mkoa wa mbali huko tena wilaya ya ndani ndani, mkayaanze maisha ya mke na mume.
Kwa hiyo nitekeleze familia yangu Mimi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…