Kuna wanawake wababe sana Arusha, bangi na pombe kali kwa sana. Katika makundi yao ni kujazana upepo kuwa mwanaume hapaswi kukohoaMarafiki wababe mara jambazi, mara paka shume, mara ninja basi ilimradi tu ubabe
You are right Glenn, though kuna wengine wapo very decent and well behaved, sema wa arusha wengi wana hulka za kigang sijajua shida inaanzia wapiKuna wanawake wababe sana Arusha, bangi na pombe kali kwa sana.
Katika makundi yao ni kujazana upepo kuwa mwanaume hapaswi kukohoa
Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app
Siku mbili au siku ya pili ewe mremboWakuu, marafiki wengine sio kabisa huyo ni shost yangu wa ukweli tangu muda tu, ila mi nimeshindwa tabia yake ya kipigo japo ni mtafutaji mzuri sana kwa kweli...
Ni kweli sio wote tena hawa wababe ni asilimia ndogo lkn mmh, ni wababe kweli kweli.You are right Glenn, though kuna wengine wapo very decent and well behaved, sema wa arusha wengi wana hulka za kigang sijajua shida inaanzia wapi
Wasukuma si wanapendaga rangi nyeupe hata mkulu alisemagaMwanaume inaonekana alipenda weupe wa kaskazini acha adundwe na atadundwa sana.
Mpaka nimekumbuka clip fulani jamaa alikuwa anamkanya kijana wake kuwa asimletee mparestina kwake.
Hata kama angekuwa anaweza kupigana, nini mantiki ya kuishi pamoja kama mke na mume, ni upendo au uhasama?Nawachukia wanawake na wanaume wanaovumilia mahusiano ya mateso. Sasa huyo kijana si afanye maamuzi ya kiume kama hawezi pigana achane na hayo mahusiano.
Nitelekeze.Kwa hiyo nitekeleze familia yangu Mimi
Hata kama angekuwa anaweza kupigana, nini mantiki ya kuishi pamoja kama mke na mume, ni upendo au uhasama?
Mbona jamaa hajawahi kuongelea hili kwenye vikao vya jioni😎Wakuu, marafiki wengine sio kabisa huyo ni shost yangu wa ukweli tangu muda tu, ila mi nimeshindwa tabia yake ya kipigo japo ni mtafutaji mzuri sana kwa kweli...
😀😀 Mtani huyo Ninja itakuwa kipigo chake amekiandaa kwa ajili ya Mume wake tu. 😀😀😀Bado wewe
🎤🎤📢📢nyeo hoyeeeeeeeeeeeeeeeeeHuyo jamaa angekuwa mpiga punyeto bc hayo yasingemkuta.
Ukitaka kujua tabia ya mtu, angalia wale anaosuhubiana naoNa wewe ni muovu ndiyo sababu unashindwa kuwapiga chini hao waovu wengine?
Ndege wafananao.......Na wewe ni muovu ndiyo sababu unashindwa kuwapiga chini hao waovu wengine?
khaaa, ametisha sana. wachaga nao wameanza kupiga!Ni mchaga
😂😂😂 yule mzee alikuwa serious kweli et usimlete si ukawe padri huko.Mwanaume inaonekana alipenda weupe wa kaskazini acha adundwe na atadundwa sana.
Mpaka nimekumbuka clip fulani jamaa alikuwa anamkanya kijana wake kuwa asimletee mparestina kwake.
Mkuu nafikiri umesahau ule msemo wa wahenga “NDEGE WAFANANAO.......”. Huwezi ukawa hakimu ukawa na rafiki jambazi au ukawa polisi ukawa na rafiki jambaziHuwa una marafiki wa kutisha sana. Mara rafiki jambazi, mara rafiki Ninja, etc