Rafiki yangu kalala kituoni siku mbili kwa kosa la kumpiga mumewe na kumvunja mkono

Chama Cha Wanaume Tanzania ni dhaifu. Mnayaona mwananchama wenu anavunjwa viungo mmekaa kimya tu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Mwanaume inaonekana alipenda weupe wa kaskazini acha adundwe na atadundwa sana.

Mpaka nimekumbuka clip fulani jamaa alikuwa anamkanya kijana wake kuwa asimletee mparestina kwake.​
[emoji23] [emoji16] [emoji23] wapalestina ndo kina nani hao mkuu?
 
Story za kitoto kila siku. Mara una rafiki jambazi, mara changudoa, mara mchawi, mara mnyonya damu....unaona sisi wote humu ni vilaza kama wewe
 
Ila bushmamy daaah au tuseme ww mnyonge saan nn maa kila daily unapiga rafiki chini kisa jambazi leo umepata rafiki bondia anamdunda mumeweπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚. So funny
Sijajua ni swaga au ni hivi Vikao vyetu tunavyokutanaga maana hatunaga ratiba ni nafasi yako
 
Sio waovu mkuu, huyo jambazi nilikuja kugundua kuwa linaibaga hadi bank nikaona bora kupiga nyama chini huyo simuwezi.

Badae nikaja kakutana na sauti ya zege, Ninja, paka shume na wengine wengi tu, basi sasa nifanyeje

Naweza pata namba ya huyo ''paka shume'' kama hutojali?
 
 
Huyo rafiki yako ni tembo, na sio mke. Tunaambiwa tembo ana nguvu Sana pia ni mnyama mwenye akili saaaaaaaaaaana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…