Halafu vijana wa kiume wakikataa kuoa mtawasakama hawataki kuoa?Wakuu, marafiki wengine sio kabisa huyo ni shost yangu wa ukweli tangu muda tu, ila mi nimeshindwa tabia yake ya kipigo japo ni mtafutaji mzuri sana kwa kweli.
Mimi nipo safarini kwa sasa nikapata meseji kutoka Kwa rafiki yangu mmoja kuwa 'una habari Ninja yupo kituoni siku mbili sasa' nikamwambia Hapana kwa kweli. Nikauliza kisa naambiwa alimpiga tena mumewe maana ni kawaida yake huyo baba kupata kipondo Kutoka kwa ninja.
Watu wamekataa kwenda kumuwekea mdhamana, sasa huko baadhi ya watu wamenipigia wanasemaa ninja anaomba sana jembe Lake nipigiwe (yani mimi) nirudi nikamuwekee mdhamana.
Huyo baba ni mpole mno na ni Msukuma lakini Ninja yeye ni mchaga.
Mimi namuonea huruma huyo mkaka wa watu maana anasema anaogopa mwanamke akitoka huko atakuja kumuua.
Nishaurini nikamuwekee au niuchune mimi.
πππ una maana gani mkuuHuyo jamaa angekuwa mpiga punyeto basi hayo yasingemkuta.
Bora ninja aende segerea kwanza akitoka akili itamtuliaWakuu, marafiki wengine sio kabisa huyo ni shost yangu wa ukweli tangu muda tu, ila mi nimeshindwa tabia yake ya kipigo japo ni mtafutaji mzuri sana kwa kweli.
Mimi nipo safarini kwa sasa nikapata meseji kutoka Kwa rafiki yangu mmoja kuwa 'una habari Ninja yupo kituoni siku mbili sasa' nikamwambia Hapana kwa kweli. Nikauliza kisa naambiwa alimpiga tena mumewe maana ni kawaida yake huyo baba kupata kipondo Kutoka kwa ninja.
Watu wamekataa kwenda kumuwekea mdhamana, sasa huko baadhi ya watu wamenipigia wanasemaa ninja anaomba sana jembe Lake nipigiwe (yani mimi) nirudi nikamuwekee mdhamana.
Huyo baba ni mpole mno na ni Msukuma lakini Ninja yeye ni mchaga.
Mimi namuonea huruma huyo mkaka wa watu maana anasema anaogopa mwanamke akitoka huko atakuja kumuua.
Nishaurini nikamuwekee au niuchune mimi.
[emoji3]Huyo jamaa angekuwa mpiga punyeto basi hayo yasingemkuta.
Nna maana kuwa, ukiwa mpiga punyeto huwez kupata matatizo hayo ya mahusianoπππ una maana gani mkuu
πhuyo ninja hajipendiππ Mtani huyo Ninja itakuwa kipigo chake amekiandaa kwa ajili ya Mume wake tu. πππ
Kwani kwa nilivyosoma si mara ya kwanza kufanya hivyo.
πππ mkuu ushauri wako naona haututakii mema wanaume π€π€π€Nna maana kuwa, ukiwa mpiga punyeto huwez kupata matatizo hayo ya mahusiano
Ninja size ataitoa mimba kwa vidole vyake mwenyewePunyeto hupati watoto
Hakika Mtani na kwa upande wangu mwanamke hapaswi kuwa mkorofi namna hiyo sababu kikawaida waeza jiuliza kama ana watoto anawafunza kitu gani.πhuyo ninja hajipendi
Sawa mtani najua wewe uu mpole kwa mrHakika Mtani na kwa upande wangu mwanamke hapaswi kuwa mkorofi namna hiyo sababu kikawaida waeza jiuliza kama ana watoto anawafunza kitu gani.
Naunga mkono hoja[emoji1666][emoji1666][emoji1666]Usiende kumtoa.
Mchukue wewe huyo mbaba, awe mumeo, muhame mkoa kabisa muende mkoa wa mbali huko tena wilaya ya ndani ndani, mkayaanze maisha ya mke na mume.
Hakika hujakosea sisi kwetu mitafaruku inatatuliwa kwa amani tu tena ile saa hasira zimeshaisha.Sawa mtani najua wewe uu mpole kwa mr
Nyie ndo hua mnateswa kwenye mahusianoπππ mkuu ushauri wako naona haututakii mema wanaume π€π€π€
Birds of a feather?[emoji849][emoji849][emoji849][emoji15]Birds of a feather...
Shida inaanzia mpakaniYou are right Glenn, though kuna wengine wapo very decent and well behaved, sema wa arusha wengi wana hulka za kigang sijajua shida inaanzia wapi