Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 70,916
- 141,437
Kwa kumuumiza mwanaume jameni...au?? Au mwanaume ndio auwawe ili kesi iishe 😁Auawe kisa na mkasa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa kumuumiza mwanaume jameni...au?? Au mwanaume ndio auwawe ili kesi iishe 😁Auawe kisa na mkasa?
Kweli kabisa.Hahahaha wachaga hatukataagi watoto...sisi tunapeleka shule tu hahaha wanatuinua sana uzeenii
Mwanaume akiuawa matumizi ya watoto uatatoka wapi?Kwa kumuumiza mwanaume jameni...au?? Au mwanaume ndio auwawe ili kesi iishe [emoji16]
Huyo rafiki yako nae kiazi kwa kuwa na rafiki kenge kama wewe.
Basi wewe na shiga yako tabia zenu moja, wewe umembambikia mumeo wangapi?Jamani habarini, nina rafiki yangu ana mume wake wana hela tu, wana watoto wanne, katika hao wanne , wa mumewe ni mmoja tu na siri hio naijua mimi na yeye tu uyo shoga yangu.
Ndege wafananao mkuuDuh Kuna mashetani na wanawake shoga yako ni shetani pamoja na wewe
Nashauri shoga ako auwawe....
Mwambie anacho kipanda kwa hao watoto atakuja kukivuna tu, mwanamke mpumbavu sana.Ameshachuma na kumchuna vya kutosha na sasa anataka kuanza visa ili apewe tu talaka, anamtusi mbele za watoto, na mambo mengi.
Love is blindNajiuliza Mwanaume unashindwaje kujua kua huyu mtoto Ni bao langu au si bao langu...??
Kwa baba yao mzaziMwanaume akiuawa matumizi ya watoto uatatoka wapi?
Huyo huyo ndio baba yao. Kitanda hakizai haramu.Kwa baba yao mzazi
Hao wanafanana akili wote yeye na huyo shoga ake. Kwanza jiulize walikuwa wanaongelea kitu gani had kufikia hatua ya kianza kuoneshwa picha za mtu na mme wake wakiwa faragha na hivyo vibamia?Kwanza kabisa siwezi kuwa na rafiki mwenye tabia mbaya hivi. Asilani abadani.
Unawezaje kuwa na such friend?
Yaani hii dhanbi wamama wengi sijui watajibu nini mbele za Mungu. Huu ukatili sijui wanawezaje kubeba mzigo mkubwa hivi. Mimi ningemchoma tu shenzi zake. Ana tamaa ya mali. Anataka kupata mgao. Ningemkomesha. Sitaki urafiki wa kipuuzi mm
Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app