Rafiki yangu kambambikia mumewe watoto

Rafiki yangu kambambikia mumewe watoto

Yani alikua anamchuna [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Mwambie aombe talaka ili uolewe wewe [emoji23][emoji23][emoji23]
Kisha mwambie ukweli wote , kisha mzalie watoto wake original [emoji817]
 
Jamani habarini, nina rafiki yangu ana mume wake wana hela tu, wana watoto wanne, katika hao wanne , wa mumewe ni mmoja tu na siri hio naijua mimi na yeye tu uyo shoga yangu.
Basi wewe na shiga yako tabia zenu moja, wewe umembambikia mumeo wangapi?
 
Ameshachuma na kumchuna vya kutosha na sasa anataka kuanza visa ili apewe tu talaka, anamtusi mbele za watoto, na mambo mengi.
Mwambie anacho kipanda kwa hao watoto atakuja kukivuna tu, mwanamke mpumbavu sana.
 
DNA ni suluhisho, wanawake ni wajanja sana. Tangu Eva azungumze na shetani ana kwa ana, alipewa Siri nyingi ambazo wanaume hatujui. Tuishie kukariri "ishi nao kwa akili"
 
Kuna igizo nililiona kuna mdada alimsaidia shogake mpumbavu kuvunja ndoa kisha akakaa yeye, mchezee huo mchezo mi nipo nyuma yako🤣🤣🤣
 
Kwanza kabisa siwezi kuwa na rafiki mwenye tabia mbaya hivi. Asilani abadani.
Unawezaje kuwa na such friend?
Yaani hii dhanbi wamama wengi sijui watajibu nini mbele za Mungu. Huu ukatili sijui wanawezaje kubeba mzigo mkubwa hivi. Mimi ningemchoma tu shenzi zake. Ana tamaa ya mali. Anataka kupata mgao. Ningemkomesha. Sitaki urafiki wa kipuuzi mm

Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
 
Hao wanafanana akili wote yeye na huyo shoga ake. Kwanza jiulize walikuwa wanaongelea kitu gani had kufikia hatua ya kianza kuoneshwa picha za mtu na mme wake wakiwa faragha na hivyo vibamia?
 
Back
Top Bottom