Ulweso
JF-Expert Member
- May 24, 2016
- 23,111
- 28,020
Hata ukioa pia una mcheat mkeoMaisha haya basi tu!
Ukiowa wanakucheat usipo owa shida pia ah
kelphin kepph
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata ukioa pia una mcheat mkeoMaisha haya basi tu!
Ukiowa wanakucheat usipo owa shida pia ah
kelphin kepph
Ulioa mke au dobi, ukifanya maamuzi nguo unapeleka kwa dobi.
Wanaume hutaka mke bikira wakati yeye wanawake aliopitia unaweza jaza behewa la trein ya mwakwembe
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwambie amsamehe tu kwani yeye hajawahi mcheat? Huenda yeye ndiye chanzo
anamaliza kila kitu nje kwa mkewe anarudi kutimiza wajibu ndoa zinaficha mengi sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu,vipi akikufumania wewe ?Mimi nilishamwambia wife ikiwa nimembamba na mchepuko iwe kwa njia ya SMS, Fb au popote pale muda huohuo ndio mwisho wa ndoa yetu, simpigi. Wife ananiogopa kama ukoma.
Huyo sasa ana mawazo ya nini huku mke kakimbia ndoa yeye mwenyewe?
Yule mkeo uliyempeleka darasa la mapishi anaendeleaje??
Mtego umemtega mwindaji mwenyeweInanikumbusha jamaa aliweka mtego katika purukushani za hapa na pale akachelewa kufumania akakuta tayari ameshaliwa mke wake chumba chote kinanuka mavi [emoji23][emoji23]
Usiombe
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji28][emoji28][emoji28] daahInanikumbusha jamaa aliweka mtego katika purukushani za hapa na pale akachelewa kufumania akakuta tayari ameshaliwa mke wake chumba chote kinanuka mavi [emoji23][emoji23]
Usiombe
Sent using Jamii Forums mobile app
Dr.Chitelembwe!!...nimecheka kinoma ulivyowaita hao wachepukajiTatizo liko kwa mtonyaji! Nia labda ilikuwa nzuri, lakini madhara yake yanaweza kuwa makubwa. Sasa huyo mtonyaji awe fair,akimuona mme wa huyo mke nae anachepuka amtonye!
Nakumbuka mwaka fulani, niliingia Shinyanga nikitokea Musoma! Nilivofika nilienda kutafuta sehemu ya kulala, kwa bahati mbaya au nzuri chumba nilichokuwa natizamana nacho kulikuwa na jamaa mmoja nafahamu, japo yeye alikuwa anifahamu! Alikuwa Mtumishi mpya katika hospital ya mission iliyopo kijijini kwetu!
Jioni, natoka kula, nikaona anaingia na mwanamke, ambaye ni mke wa ndugu yangu, ameaga anaenda Msibani kumbe ameenda shinyanga kula raha na mchepuko!
shemeji hakuwa ameniona, so kipindi anaingia ndani, huku ameshikwa kiuno, mi Uvumilivu ukanishinda! Nikaanza kumfikiria ndugu yangu, nikaanza kumfikiria anavyojigamba juu ya utulivu wa mke wake!
Basi ikabidi tu, nimwite Mama chitimbo, akshituka, nikamuita na yule jamaa kwa Jina, Dr. Chikelembwe, wakaduwaaaa!
Nikawaambia siyo sawa kabisa, shemeji mi namwambia ndugu yangu! Ooh shemeji ,hapana! Shemeji tafadhali! Nikamwambia njoo, tuzungumze, nikamhoji, akasema alivyodanganya, na blah blah nyingi! Nikamwambia hata Picha ninazo, akasema shemeji nisamehe, nipo radhi nikupe ila usniseme! Watoto wangu watateseka!
To cut the story short, nikamwambia yule jamaa, nitamlaza ndani maana, picha na ushahid ninao! Mwisho wa siku jamaa akaniomba msamaha. Akaamua na kuondoka, shemeji akalala Asubuhi akaondoka!
Hadi leo sijamwambia mme wake, wako na wanaendelea na maisha yao vizuri na mme wake! Lkn ningemtonya brother, wangelikuwa wameshatengana! Huwa naenda kuwatembelea, shemeji anafikir nitamsemea, sijui maana anakosa amani!
So wakt mwingine, utonyaji si deal! Maana we are all part of that stuff!
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] nacheka unadhani ni mazuri hayaInanikumbusha jamaa aliweka mtego katika purukushani za hapa na pale akachelewa kufumania akakuta tayari ameshaliwa mke wake chumba chote kinanuka mavi [emoji23][emoji23]
Usiombe
Sent using Jamii Forums mobile app
hahaha, alikuwa girl friend tu,sipo naeYule mkeo uliyempeleka darasa la mapishi anaendeleaje??
Kwa mfano unakuja kujua mkeo anakusaliti wakati mna watoto wadogo chini ya miaka 10 unamuacha hivyo hivyo bila kusubiri watoto angalau wafikishe miaka 10?Mimi nilishamwambia wife ikiwa nimembamba na mchepuko iwe kwa njia ya SMS, Fb au popote pale muda huohuo ndio mwisho wa ndoa yetu, simpigi. Wife ananiogopa kama ukoma.
Huyo sasa ana mawazo ya nini huku mke kakimbia ndoa yeye mwenyewe?