Nilijua tu nitakukuta hapa 🤣 🤣Huyo ni mwanaume bora na mfano wa kuigwa katika jamii, Mungu anipe kama huyo
Hongera yako mie nilimuulizaga ex wangu mshahara analipwa kiasi gani nilinuniwa wiki nzima😂😂😂Nilijua tu nitakukuta hapa 🤣 🤣
Na mimi pia naletewaga mshahara nyumbani, anasema nina akili za kutunza hela kuliko yeye 🤣
Niko hapa, njoo fasta. Ikiwezekana ni DMHongera yako mie nilimuulizaga ex wangu mshahara analipwa kiasi gani nilinuniwa wiki nzima😂😂😂
Hivi wa hivyo mnawapataga wapi jamani na mimi nikatafute
Sasa akakununia kisa nini jamani 🤣 🤣 🤣Hongera yako mie nilimuulizaga ex wangu mshahara analipwa kiasi gani nilinuniwa wiki nzima😂😂😂
Wapo, ila wanahitaji utulivu haswaaaa na wewe uwe mwanamke mwenye akili na wa kuaminika.Hivi wa hivyo mnawapataga wapi jamani na mimi nikatafute
Kuna tatizo mahali kwenye mtindio wa ubongo wa jamaa, amini kwamba! Hiyo ni weaknesses kubwa mno itakuja kumgharimu siku moja huyo jamaa na huenda ndiyo na akili itamrudia vizuri atoke huko alikofichwa...Wakuu,
Hivi hii imekaaje?
Nina rafiki yangu ambaye tulisoma nae pamoja na kwa sasa anafanya kazi kwenye moja ya taasisi kubwa sana hapa nchini.
Jamaa take home ni around ya 1.5 Million kwa mwezi na ajira yake ni ya uhakika maana hiyo taasisi anayofanyia kazi ina muingiliano na masuala ya Serikali.
Lakini juzi wakati tunaongea kuna kitu aliniambia kikanishtua wakuu.
Huyu jamaa kumbe kadi ya benki ambayo anaingiziwa mshahara kamuachia mwanamke wake. Yaani akipata hela, mwanamke ndo huwa anapanga itumike vipi, wapi n.k
Mshahara ukiingia mwanamke anapewa taarifa na yeye ndo atapanga kila kitu cha humo ndani na hata mwamba akitaka chochote basi ni lazima ruhusa na matumizi itoke kwa mkewe.
Kilichonifanya nilete hii mada hapa ni kwamba, kuna rafiki yetu mwingine yeye anaumwa na nilimpigia jamaa kumpa update na kumuuliza kuhusu mchango maana tulikubaliana wote tutoe kabla huyo rafiki yetu hajatoka hospitali.
Jamaa ndo akaniambia ngoja aongee na mkewe maana ndo ana kadi yake ya benki. Kumuuliza ndo akaniambia huo ndo utaratibu wao. Akipata hela yote anapeleka kwa mkewe. Mkewe ndo atapanga iende au isiende
Sasa naomba kuwauliza humu hasa mlioko huko ndoani? Huyu jamaa yuko sawa kweli? Au ndio utaratibu ulivyo kwenye hizo ndoa wakuu? Kadi ya benki?
WANAWAKE MNAONEANA WIVU KWELI. HUPENDI MWENZIO APEWE KADI YA BANK? KWA SISI WANAUME HATUNA HUO MUDA WA KUFUATILIA MAISHA YA MTU. OLEWA WEWE SASA.Wakuu,
Hivi hii imekaaje?
Nina rafiki yangu ambaye tulisoma nae pamoja na kwa sasa anafanya kazi kwenye moja ya taasisi kubwa sana hapa nchini.
Jamaa take home ni around ya 1.5 Million kwa mwezi na ajira yake ni ya uhakika maana hiyo taasisi anayofanyia kazi ina muingiliano na masuala ya Serikali.
Lakini juzi wakati tunaongea kuna kitu aliniambia kikanishtua wakuu.
Huyu jamaa kumbe kadi ya benki ambayo anaingiziwa mshahara kamuachia mwanamke wake. Yaani akipata hela, mwanamke ndo huwa anapanga itumike vipi, wapi n.k
Mshahara ukiingia mwanamke anapewa taarifa na yeye ndo atapanga kila kitu cha humo ndani na hata mwamba akitaka chochote basi ni lazima ruhusa na matumizi itoke kwa mkewe.
Kilichonifanya nilete hii mada hapa ni kwamba, kuna rafiki yetu mwingine yeye anaumwa na nilimpigia jamaa kumpa update na kumuuliza kuhusu mchango maana tulikubaliana wote tutoe kabla huyo rafiki yetu hajatoka hospitali.
Jamaa ndo akaniambia ngoja aongee na mkewe maana ndo ana kadi yake ya benki. Kumuuliza ndo akaniambia huo ndo utaratibu wao. Akipata hela yote anapeleka kwa mkewe. Mkewe ndo atapanga iende au isiende
Sasa naomba kuwauliza humu hasa mlioko huko ndoani? Huyu jamaa yuko sawa kweli? Au ndio utaratibu ulivyo kwenye hizo ndoa wakuu? Kadi ya benki?
Ni hatua nzuri kama mke ana akili na matumizi mazuri ya hela, na kama jamaa ana matumizi mabaya ya hela itakuwa imemsaidia sana , labda mwanamke amgeuke na ndipo matatizo yatakapo anzia.Huyo ni mwanaume bora na mfano wa kuigwa katika jamii, Mungu anipe kama huyo