Konda wa bajaj
JF-Expert Member
- Sep 10, 2024
- 935
- 1,485
Utakubali mwanao wa kiume awe na akili kama ya huyo unae mwona mwanaume bora?Huyo ni mwanaume bora na mfano wa kuigwa katika jamii, Mungu anipe kama huyo

Ukisikia uanaume ndo huo sasa, Lazima mwanaume uwe jasiri na hakuna ujasiri kushinda huu wa kumkabidhi mtu mliyekutana ukubwani maisha yako.Wakuu,
Hivi hii imekaaje?
Nina rafiki yangu ambaye tulisoma nae pamoja na kwa sasa anafanya kazi kwenye moja ya taasisi kubwa sana hapa nchini.
Jamaa take home ni around ya 1.5 Million kwa mwezi na ajira yake ni ya uhakika maana hiyo taasisi anayofanyia kazi ina muingiliano na masuala ya Serikali.
Lakini juzi wakati tunaongea kuna kitu aliniambia kikanishtua wakuu.
Huyu jamaa kumbe kadi ya benki ambayo anaingiziwa mshahara kamuachia mwanamke wake. Yaani akipata hela, mwanamke ndo huwa anapanga itumike vipi, wapi n.k
Mshahara ukiingia mwanamke anapewa taarifa na yeye ndo atapanga kila kitu cha humo ndani na hata mwamba akitaka chochote basi ni lazima ruhusa na matumizi itoke kwa mkewe.
Kilichonifanya nilete hii mada hapa ni kwamba, kuna rafiki yetu mwingine yeye anaumwa na nilimpigia jamaa kumpa update na kumuuliza kuhusu mchango maana tulikubaliana wote tutoe kabla huyo rafiki yetu hajatoka hospitali.
Jamaa ndo akaniambia ngoja aongee na mkewe maana ndo ana kadi yake ya benki. Kumuuliza ndo akaniambia huo ndo utaratibu wao. Akipata hela yote anapeleka kwa mkewe. Mkewe ndo atapanga iende au isiende
Sasa naomba kuwauliza humu hasa mlioko huko ndoani? Huyu jamaa yuko sawa kweli? Au ndio utaratibu ulivyo kwenye hizo ndoa wakuu? Kadi ya benki?
Hakuna shida kama mwanamke wake atakuwa na nidhamu ya fedhaUtakubali mwanao wa kiume awe na akili kama ya huyo unae mwona mwanaume bora?
Kwani wewe ni mwanafamilia wa hiyo familia mpaka kuulizia habari usahihi wa mipango yao ?Wakuu,
Hivi hii imekaaje?
Nina rafiki yangu ambaye tulisoma nae pamoja na kwa sasa anafanya kazi kwenye moja ya taasisi kubwa sana hapa nchini.
Jamaa take home ni around ya 1.5 Million kwa mwezi na ajira yake ni ya uhakika maana hiyo taasisi anayofanyia kazi ina muingiliano na masuala ya Serikali.
Lakini juzi wakati tunaongea kuna kitu aliniambia kikanishtua wakuu.
Huyu jamaa kumbe kadi ya benki ambayo anaingiziwa mshahara kamuachia mwanamke wake. Yaani akipata hela, mwanamke ndo huwa anapanga itumike vipi, wapi n.k
Mshahara ukiingia mwanamke anapewa taarifa na yeye ndo atapanga kila kitu cha humo ndani na hata mwamba akitaka chochote basi ni lazima ruhusa na matumizi itoke kwa mkewe.
Kilichonifanya nilete hii mada hapa ni kwamba, kuna rafiki yetu mwingine yeye anaumwa na nilimpigia jamaa kumpa update na kumuuliza kuhusu mchango maana tulikubaliana wote tutoe kabla huyo rafiki yetu hajatoka hospitali.
Jamaa ndo akaniambia ngoja aongee na mkewe maana ndo ana kadi yake ya benki. Kumuuliza ndo akaniambia huo ndo utaratibu wao. Akipata hela yote anapeleka kwa mkewe. Mkewe ndo atapanga iende au isiende
Sasa naomba kuwauliza humu hasa mlioko huko ndoani? Huyu jamaa yuko sawa kweli? Au ndio utaratibu ulivyo kwenye hizo ndoa wakuu? Kadi ya benki?
Mnapenda mapoyoyo kama hao.Huyo ni mwanaume bora na mfano wa kuigwa katika jamii, Mungu anipe kama huyo
Huyo ni mwanaume bora na mfano wa kuigwa katika jamii, Mungu anipe kama huyo
Kaka sitaki tugombane kwakuwa tunaheshimiana ,naomba edit mara moja huo mstari wa chini kabla hatujagombana bwanaNilitaka kukujibu nikaona umeweka avatar ya mbwa. Nikafuta!
A dog is a dog
Kazi anafanya yeye au wewe kaka? Iweje anaefanya kazi kaona sawa wewe roho ikuume hadi uanzishe uzi?
Alikuomba hela?
Unajua hadi mishahara ya wanaume wenzio alafu unataka ku compete na mkewe kupanga matumizi!
Pamoja ndugu tusigombane sisi ni wao .Nimeedit
Siku nyingine uje kwa heshima. Huwa nina tabia ya kumpokea mtu kwa namna alivyokuja
Hakuna shida wote ni wananguMkuu kwa mfano una mtoto wako wa kiume alafu akawa anafanya kama huyo jamaa hapo. Utakubali?
Yaani akitaka kukutumia hela ruhusa ni lazima itoke kwa mke wake ambaye ni mkwe wako