Ni mapenzi tuu na ndoa za namna hiyo hudumu sanaWakuu,
Hivi hii imekaaje?
Nina rafiki yangu ambaye tulisoma nae pamoja na kwa sasa anafanya kazi kwenye moja ya taasisi kubwa sana hapa nchini.
Jamaa take home ni around ya 1.5 Million kwa mwezi na ajira yake ni ya uhakika maana hiyo taasisi anayofanyia kazi ina muingiliano na masuala ya Serikali.
Lakini juzi wakati tunaongea kuna kitu aliniambia kikanishtua wakuu.
Huyu jamaa kumbe kadi ya benki ambayo anaingiziwa mshahara kamuachia mwanamke wake. Yaani akipata hela, mwanamke ndo huwa anapanga itumike vipi, wapi n.k
Mshahara ukiingia mwanamke anapewa taarifa na yeye ndo atapanga kila kitu cha humo ndani na hata mwamba akitaka chochote basi ni lazima ruhusa na matumizi itoke kwa mkewe.
Kilichonifanya nilete hii mada hapa ni kwamba, kuna rafiki yetu mwingine yeye anaumwa na nilimpigia jamaa kumpa update na kumuuliza kuhusu mchango maana tulikubaliana wote tutoe kabla huyo rafiki yetu hajatoka hospitali.
Jamaa ndo akaniambia ngoja aongee na mkewe maana ndo ana kadi yake ya benki. Kumuuliza ndo akaniambia huo ndo utaratibu wao. Akipata hela yote anapeleka kwa mkewe. Mkewe ndo atapanga iende au isiende
Sasa naomba kuwauliza humu hasa mlioko huko ndoani? Huyu jamaa yuko sawa kweli? Au ndio utaratibu ulivyo kwenye hizo ndoa wakuu? Kadi ya benki?
Ukiomba hivyo, omba pia upate mtoto wa kiume ambaye ukija kumwomba hela akwambieHuyo ni mwanaume bora na mfano wa kuigwa katika jamii, Mungu anipe kama huyo
Hayo ndio maisha waliyojiamulia mkuu wala hakuna shida.Wakuu,
Hivi hii imekaaje?
Nina rafiki yangu ambaye tulisoma nae pamoja na kwa sasa anafanya kazi kwenye moja ya taasisi kubwa sana hapa nchini.
Jamaa take home ni around ya 1.5 Million kwa mwezi na ajira yake ni ya uhakika maana hiyo taasisi anayofanyia kazi ina muingiliano na masuala ya Serikali.
Lakini juzi wakati tunaongea kuna kitu aliniambia kikanishtua wakuu.
Huyu jamaa kumbe kadi ya benki ambayo anaingiziwa mshahara kamuachia mwanamke wake. Yaani akipata hela, mwanamke ndo huwa anapanga itumike vipi, wapi n.k
Mshahara ukiingia mwanamke anapewa taarifa na yeye ndo atapanga kila kitu cha humo ndani na hata mwamba akitaka chochote basi ni lazima ruhusa na matumizi itoke kwa mkewe.
Kilichonifanya nilete hii mada hapa ni kwamba, kuna rafiki yetu mwingine yeye anaumwa na nilimpigia jamaa kumpa update na kumuuliza kuhusu mchango maana tulikubaliana wote tutoe kabla huyo rafiki yetu hajatoka hospitali.
Jamaa ndo akaniambia ngoja aongee na mkewe maana ndo ana kadi yake ya benki. Kumuuliza ndo akaniambia huo ndo utaratibu wao. Akipata hela yote anapeleka kwa mkewe. Mkewe ndo atapanga iende au isiende
Sasa naomba kuwauliza humu hasa mlioko huko ndoani? Huyu jamaa yuko sawa kweli? Au ndio utaratibu ulivyo kwenye hizo ndoa wakuu? Kadi ya benki?
Theories hizo!Mume na mke wakikubaliana na kufunga ndoa,wanakuwa mwili mmoja hawafanyi mambo yao kwa siri.Mume akimpa mshara mkewe kwa matumizi yao ni nafuu kuliko mume kubaki nazo mfukoni ebu jaribu wewe.Angalizo.kwa kuwa mume ndiyo kichwa yapendeza panapotokea sitafahamu basi maamuzi ya mume yanapasa kuwa maamuzi ya wote wawili na mke ayaheshimu
Yaan hapo chief akili za mfumo dume ndio zinazomsumbua! Hajui kuna wanawake ni watunza fedha wazuri kuliko wanaume!Mkuu mambo ya familia za watu yanakuhusu nini??
Kila familia na utaratibu wao
😅😅😅duhUkiomba hivyo, omba pia upate mtoto wa kiume ambaye ukija kumwomba hela akwambie
"Mama subiri mke wangu aamue kunipa"
HakikaNi hatua nzuri kama mke ana akili na matumizi mazuri ya hela, na kama jamaa ana matumizi mabaya ya hela itakuwa imemsaidia sana , labda mwanamke amgeuke na ndipo matatizo yatakapo anzia.
Alikuwa ananiletea hasira zake zote miye, si unajua binadamu wakipata pa kumalizia hasiraSasa akakununia kisa nini jamani 🤣 🤣 🤣
Wapo, ila wanahitaji utulivu haswaaaa na wewe uwe mwanamke mwenye akili na wa kuaminika.
Maswali yako yote yalishajibiwa hapo.Kumuuliza ndo akaniambia huo ndo utaratibu wao