kiss ov love
JF-Expert Member
- Jan 21, 2025
- 9,388
- 16,188
Amen InshaAllah 😅Kama hivyo sawa MUNGU AKUPE HITAJI LA MOYO WAKO UMPATE WA HIVYO🙏🏼 , pesa utachukulia kwa mkwe wako sasa😁🤣🙌🏻

LibwataHuyo ni mwanaume bora na mfano wa kuigwa katika jamii, Mungu anipe kama huyo
Mada Hapo si kuingilia Mambo ya ndoa,tumeulizwa swali ni sahihi kufanya hivyoUsiingilie mapenzi ya watu fanya maisha yako
Kuna mwamba nilikuw naishi na mkewe nyumbani kwangu. Baada ya maisha kuwa magumu kwake. Baadae nikamtafutia room somewhere for rent
Yule mke wake akamwingiza jiran, jamaa hata kazi hana akambandua chumbani kwa mshikaji wangu
Ikawa so kali, nikamwendea mpaka bi mkubwa wake hewani kilichotokea. Mazeri akasema akirudiana nae hapo ndipo atakuwa mwisho kuwa mzazi wake
Story kufupisha
Baada ya mwaka jamaa karudiana nae. Nikaonekana shem mkuda wakati naumia nilimchangia mshikaji mfugo wa kulipia mahari
Ushauri mambo ya wanandoa sio ya kuingiliana utaonekana mchawi
Siku akija kulia na kusaga meno ushauri wenu utakuwa ni wa kumkosoa amin nawaambia!!Hayo ndio maisha waliyojiamulia mkuu wala hakuna shida.
Pengine mwanamke ameona udhaifu wa mwanaume katika matumizi na utunzaji wa hela na mwanaume amekubali kudhibitiwa kwa ajili ya ustawi na maslahi mapana ya familia. Kumbuka mkishaoana wote mnakuwa mwili mmoja na lenu wote linakuwa moja.
Nidhamu ya fedha atakuwa nayo lakin hata ukiwa kwa situation iliyoni ni hata ukiwa unaumwa yeye ndo mwenye final say ya kusema hela itoke ukatibiwe au isitokeHakuna shida kama mwanamke wake atakuwa na nidhamu ya fedha
Hiyo hatari sasaNidhamu ya fedha atakuwa nayo lakin hata ukiwa kwa situation iliyoni ni hata ukiwa unaumwa yeye ndo mwenye final say ya kusema hela itoke ukatibiwe au isitoke
Hata mimi siajwahi chukua mshahara wangu ni mwaka wa 3 sasa.Wakuu,
Hivi hii imekaaje?
Nina rafiki yangu ambaye tulisoma nae pamoja na kwa sasa anafanya kazi kwenye moja ya taasisi kubwa sana hapa nchini.
Jamaa take home ni around ya 1.5 Million kwa mwezi na ajira yake ni ya uhakika maana hiyo taasisi anayofanyia kazi ina muingiliano na masuala ya Serikali.
Lakini juzi wakati tunaongea kuna kitu aliniambia kikanishtua wakuu.
Huyu jamaa kumbe kadi ya benki ambayo anaingiziwa mshahara kamuachia mwanamke wake. Yaani akipata hela, mwanamke ndo huwa anapanga itumike vipi, wapi n.k
Mshahara ukiingia mwanamke anapewa taarifa na yeye ndo atapanga kila kitu cha humo ndani na hata mwamba akitaka chochote basi ni lazima ruhusa na matumizi itoke kwa mkewe.
Kilichonifanya nilete hii mada hapa ni kwamba, kuna rafiki yetu mwingine yeye anaumwa na nilimpigia jamaa kumpa update na kumuuliza kuhusu mchango maana tulikubaliana wote tutoe kabla huyo rafiki yetu hajatoka hospitali.
Jamaa ndo akaniambia ngoja aongee na mkewe maana ndo ana kadi yake ya benki. Kumuuliza ndo akaniambia huo ndo utaratibu wao. Akipata hela yote anapeleka kwa mkewe. Mkewe ndo atapanga iende au isiende
Sasa naomba kuwauliza humu hasa mlioko huko ndoani? Huyu jamaa yuko sawa kweli? Au ndio utaratibu ulivyo kwenye hizo ndoa wakuu? Kadi ya benki?
NdioWakuu,