Oscar Lyrics
JF-Expert Member
- Oct 8, 2022
- 3,011
- 5,188
Wangoni wanasema (MIND YOUR OWN BUSINESS)
Naamini kuwa mwanamme ni last man kwenye mambo mengi. Uwe na pesa za kwako binafsi kuokolea jahazi ikikwama.Wakuu,
Hivi hii imekaaje?
Nina rafiki yangu ambaye tulisoma nae pamoja na kwa sasa anafanya kazi kwenye moja ya taasisi kubwa sana hapa nchini.
Jamaa take home ni around ya 1.5 Million kwa mwezi na ajira yake ni ya uhakika maana hiyo taasisi anayofanyia kazi ina muingiliano na masuala ya Serikali.
Lakini juzi wakati tunaongea kuna kitu aliniambia kikanishtua wakuu.
Huyu jamaa kumbe kadi ya benki ambayo anaingiziwa mshahara kamuachia mwanamke wake. Yaani akipata hela, mwanamke ndo huwa anapanga itumike vipi, wapi n.k
Mshahara ukiingia mwanamke anapewa taarifa na yeye ndo atapanga kila kitu cha humo ndani na hata mwamba akitaka chochote basi ni lazima ruhusa na matumizi itoke kwa mkewe.
Kilichonifanya nilete hii mada hapa ni kwamba, kuna rafiki yetu mwingine yeye anaumwa na nilimpigia jamaa kumpa update na kumuuliza kuhusu mchango maana tulikubaliana wote tutoe kabla huyo rafiki yetu hajatoka hospitali.
Jamaa ndo akaniambia ngoja aongee na mkewe maana ndo ana kadi yake ya benki. Kumuuliza ndo akaniambia huo ndo utaratibu wao. Akipata hela yote anapeleka kwa mkewe. Mkewe ndo atapanga iende au isiende
Sasa naomba kuwauliza humu hasa mlioko huko ndoani? Huyu jamaa yuko sawa kweli? Au ndio utaratibu ulivyo kwenye hizo ndoa wakuu? Kadi ya benki?
Kwa mwamposaHongera yako mie nilimuulizaga ex wangu mshahara analipwa kiasi gani nilinuniwa wiki nzima😂😂😂
Hivi wa hivyo mnawapataga wapi jamani na mimi nikatafute
Na wewe ukipata nafasi mbandueUsiingilie mapenzi ya watu fanya maisha yako
Kuna mwamba nilikuw naishi na mkewe nyumbani kwangu. Baada ya maisha kuwa magumu kwake. Baadae nikamtafutia room somewhere for rent
Yule mke wake akamwingiza jiran, jamaa hata kazi hana akambandua chumbani kwa mshikaji wangu
Ikawa so kali, nikamwendea mpaka bi mkubwa wake hewani kilichotokea. Mazeri akasema akirudiana nae hapo ndipo atakuwa mwisho kuwa mzazi wake
Story kufupisha
Baada ya mwaka jamaa karudiana nae. Nikaonekana shem mkuda wakati naumia nilimchangia mshikaji mfugo wa kulipia mahari
Ushauri mambo ya wanandoa sio ya kuingiliana utaonekana mchawi
Nina kinyaa sanaNa wewe ukipata nafasi mbandue
Uliye nae ulimkuta na bikra pande zoteNina kinyaa sana
Nikijua sufuria hii ilipikia kitimoto labda nisahau, siwezi kula chakula chake kabisa
Niko hivyo, hata kama namkubali demu kiasi gani, nikijua analiwa na mtu nikamjua napoteza stimu nae.
Sipendi kushare pia, maana unaweza demu mmoja anawaua wot kikundi chenu
Yeah my wife was virgin, we have been together for ten good years.Uliye nae ulimkuta na bikra pande zote
Sitaki kuendelea hongera mkuu wanguYeah my wife was virgin, we have been together for ten good years.
Mapungufu mengine madogo madogo, ukioa wamasai utafurahi sana
Kumbuka hilo
Ahah nakuona team kataa ndoa, - maisha mafupi sana brother furahia maishaSitaki kuendelea hongera mkuu wangu
Moyo wako umeshaamua na ninaheshimu hisia zako
Chief nina wake wanne na watoto 8 nikifikisha watoto 16 natuliaAhah nakuona team kataa ndoa, - maisha mafupi sana brother furahia maisha
Wakatu askofu Ruwaichi hana hata mtoto wa kusingiziwa.Chief nina wake wanne na watoto 8 nikifikisha watoto 16 natulia