Rafiki yangu kampa kadi ya benki mke wake na akipata mshahara wote anampa mkewe. Yuko sawa kweli?

Mshana mtumie bank account siwezi kufa na pesa mtu yoyote anaichek pm nimtumie pesa
 
Hawa ni aina ya wanaume ninaowatombea wake zao,siku chache nimetoka kuwatombea Dodoma, ndoa ni uhuni
 
Akapimwe akili au chukua maji Kisha changanya na majivu mkorogee anywe ili aharishe dawa zote za limbwata alopewa BILA kujijua.

Kwahiyo wadogo zake au Wazazi wake walomsomesha wakitaka matumizi wakakisujudie hicho kinyago chake?
 
Mbona hata mimi nimempa mke wangu, ila akivuruga utaratibu au matumizi mabovu, nachukua tena.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…