Mtoa mada anaishi SA south Africa na amekaa huko muda Ila mnamwambia aende kwa Gwajima!
Imebidi nirudie kusoma, nimeelewa sasa kumbe jamaa wawili ni watz wasioishi Tanzania OK OK, amrekodi atupie kwa mitandao
Gwajima hawezi kufanya chochote ya hapa tu nchini mengi yanamshinda ndo ijekuwa nchi nyingine tena mtoto kuteswa, watoto walipotezwa na kuuliwa hapahapa Tz hakuna alichofanyaMeambieni Gwajima sasa.
Gwajima hawezi kufanya chochote ya hapa tu nchini mengi yanamshinda ndo ijekuwa nchi nyingine tena mtoto kuteswa, watoto walipotezwa na kuuliwa hapahapa Tz hakuna alichofanya
Kitu cha kwanza alitakuwa kufanya ilikuwa ni kumweleza rafiki yake ukweli kuhusu mateso ya mwanawe.zipo njia mbalimbali za kumueleza,kwa mfano..bro hebu jaribu kufuatilia malezi ya mtoto wako kuna mambo hayako sawa kabisa...Chakufanya mrekodi mtoto akiwa anateswa msalabani alafu mtumie jamaa ajipimie mwenyewe
Aisee kuna wema mungine kumbe unaponza eeh. Yani jamaa simuelewi kabisa.Waswahili walikuwa na msemo kwamba "tenda Wema uende zako"
Ku report ni swala zuri lakini rafiki yetu ameshauri nisubiri kwanza tuongee na jamaa. Akishindwa kumnyoosha mkewe ndio hatua zingine zitafuata.Achana naye ila report ustawi wa jamii mateso ya mtoto, mama Gwajima yupo hapa mtext tu, usiache mtoto aendelee kuteseka kwa sbb ya mjinga mtu mzima
Ikipatikana namna ya ku record tukio nitafanya hivyo mkuu. Mtoto anateseka kinoma.Pole.
Tafuta namna ya kumwokoa huyo mtoto ndiyo kitu pekee cha kusaidia.
Ungepata hata ka video kingekuwa ushahidi.
Asante mkuu kwa ushauri, lkn mimi sikufikiria wala kujua kama yangefikia huku.Ulikosea ulipomkabidhi hizo nguo mkewe,ilibidi hizo nguo umkabidhi MUME na si mke.........MAWASILIANO YA NAMNA YEYOTE NDANI YA FAMILIA LAZIMA YAANZIE KWA MUME,UNLESS MUME HATAKI KUKUSIKILIZA
Naamini nikipata namna ya ku record na kumuonesha jamaa, akili itamkaa sawa na atanipigia magoti kuniomba msamaha. We subiri nikipata namna ya ku record nifanye hivyo.Chakufanya mrekodi mtoto akiwa anateswa msalabani alafu mtumie jamaa ajipimie mwenyewe
Ndo najaribu kufanya ninachoweza kumuokoa mtoto na ikiwezekana kumuamsha mshikaji alielala fofofo kwenye dimbwi la mapenzi ya hovyo.Duniani hapa bado **** watu Wana mioyo safi.
Mioyo ya kuhangaikia na kuumia hata Kwa wale wasokua Ndugu zetu.
Ubarikiwe sana Mkuu, usiogope kumpambania huyo mtoto.
Kwa namna anavyoteseka huyu mtoto hata wewe ukiona hauwezi kuvumilia, utamsaidia tu kwa kweli.Haya uliyoyaandika kama ni ya kweli,Jamaa Yako ataiona Aibu sana,siku kikao chenu kikifanyika, maana wema unafanya kwa Mwanae tunaoamini mambo ya dini huyu mwanamke hafai na hana fikra chanya!
Hata baba wa mtoto kama anapata muda wa kuufahamu ukweli nadhani mapenzi yake kwa mkewe yatapungua kwa kiasi kikubwa sana. Japo sishauri waachane, maana na huyu ashazaa nae, so akiondoka na kumuachia mtoto ina maana jamaa atajikuta ana watoto wawili. Mwanamke mungine atakaeowa na yeye akija na moyo wa kinyama hivi, hali itakuwa mbaya zaidi. Maana watateseka wawili badala ya sasa mmoja.Nimesikitishwa sana na jambo hili.
Zingatia ushauri uliotolewa na baadhi ya wadau hapo juu, hasa kuona uwezekano wa kulifikisha suala hili kwa Dkt. Gwajima D . Japo ni ngazi ya mbali, lakini naamini ni namna rahisi na ya haraka kupata msaada.
I wish hata ndugu upande wa Mama Mzazi wa Mtoto wangefahamu madhila anayopitia Mtoto wa Marehemu ndugu yao, na kuchukua hatua muafaka za kumsaidia.
Mtoa mada anaishi SA south Africa na amekaa huko muda Ila mnamwambia aende kwa Gwajima!
Yani mtoto anapururuka yeye haoni. Halafu haya mambo ya watoto kuteswa na mama zao wa kambo sio mageni. Hivyo inatakiwa jamaa awe na muda wa kufuatilia namna mwanae anavyoishi.Sijui huwa wanarogwa?yaani ni kama wanapumbazwa maana hata kusema nifanye uchunguzi mtoto anaishije wapi
Thanks kwa ushauri mzuri broChild protection ni emergency to me potelea mbali hata km ujirani utakufa, unaweza kufanya anonymously, hivi suppose huyo mtoto akaadhibiwa na kuuwawa leo usiku, Huoni hata kwako nafsi hiyo itakutesa maisha yako yote kwa kutochukua hatua? Au kuchelewa? Just common sense bro