Rafiki yangu Mahmoud Ahmadinejad ajisajili kugombea uraisi Iran, Ni furaha sana kwa wapigania haki duniani

Rafiki yangu Mahmoud Ahmadinejad ajisajili kugombea uraisi Iran, Ni furaha sana kwa wapigania haki duniani

Webabu

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2010
Posts
8,870
Reaction score
14,258
Yule mwamba aliyewahi kuwa raisi wa Iran ambaye aliwakosesha usingizi viongozi wa nchi za magharibi wakati wa uraisi wake amekubali maombi ya wapenda haki wa Iran kugombea tena uraisi ili kuliongoza taifa hilo.

Tangu kuondoka kwenye cheo cha uraisi baada ya vipindi viwili vya uraisi hapo mwaka 2013,kiongozi huyo amewahi kutaka kugombea mwaka 2021 lakini kiongozi mkuu wa kidini wa nchi hiyo alimzuia wakati ambapo nchi hiyo ilikuwa chini ya vikwazo vya kiuchumi.Muda huo Iran ikitumia mbinu za kidemokrasia zaidi ili kupunguzo mbinyo huo wa kiuchumi. Kwa kumjua misimamo yake kiongozi huyo wa kidini akaamua kumuweka pembeni kugombea.

Iwapo Ebrahim Raisi aliyefariki kwa ajali ya ndege hivi karibuni aliweza kurusha makombora mpaka TelAviv,basi pindi Ahmednejada atashika uraisi na ikawa ni kipindi ambacho Netanyahu atakuwa hajaondoka madarakani basi mbabe huyo wa Israel na msema mbovu atakuwa amepatiwa dawa yake na lazima ataitema Palestina irudi kwa wenyewe.
Misiaada kwa wapiganaji wa Houth na kuisaidia Urusi havitakuwa ni vitu vya kificho tena
Moja ya matamko ya kimsimamo aliyoweza kutamka Ahmedinejadi mbele ya umoja wa mataifa ni kukanusha kuwepo mauwaji ya holocast kwa mayahudi kwa idadi ya mamilioni.Jambo ambalo liliwaudhi sana jamii hiyo na marafiki zao.

1717356753381.png

 
1717356877008.png
 
Huyu ndo rais pekee wa nchi za kiislamu anayejitambua,,,,, sio yale mengine yameshikilia tu dini hayana hata akili.
 
Iran ni Waajemi, watu wenye akili sana sijui waliingiaje kwenye huu mkenge wa uislamu na kulichelewesha taifa. Uislamu ulipaswa ubaki kwa waarabu na pia baadhi ya waafrika maana ndio binadamu waliochelewa kwenye matumizi ya ubongo.
 
Back
Top Bottom