min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 23,322
- 64,738
Hoja yako ni ipi?Ulikuwepo enzi hizo dini zinaenezwa kwa mkono wa chuma na damu au ndiyo zile zile hadithi njoo utamu kolea?
Ubinadamu ni kazi/The humanity is work.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hoja yako ni ipi?Ulikuwepo enzi hizo dini zinaenezwa kwa mkono wa chuma na damu au ndiyo zile zile hadithi njoo utamu kolea?
Ubinadamu ni kazi/The humanity is work.
Kwa hiyo mkuu upo sako kwa bako na chatgpt 😁
Nimekuuliza kuhusu spirituality. Hata bila ya uenezwaji wa dini, kila jamii ilionekana kuwa na spiritual system au uungu wanaoubadu ikiwemo mizimu na priests..Unafahamu dini ilienezwa kwa mkono wa chuma na damu
Kama huko kote hakuna uthibitisho haina maana tu.Nimekuuliza kuhusu spirituality. Hata bila ya uenezwaji wa dini, kila jamii ilionekana kuwa na spiritual system au uungu wanaoubadu ikiwemo mizimu na priests..
Kabla ya waarabu na wazungu kuingia Africa, mababu zetu walikuwa na system zao za kuabudu na ukiangalia kuna sehemu kama India na China ambapo nao dini mpya ziliingia lakini bado walishikilia miungu yao.
Swali langu la msingi ni kuwa, wengi huongelea dini za kigeni kama instruments za brainwashing lakini mimi naongelea uwepo wa spiritual systems kwenye jamii nyingi duniani hata bila external influence. Je, hii ina maana gani kwenye uwepo ama kutokuwepo kwa spiritual world kama ambavyo atheists huamini
Umetafuta uthibitisho au umesoma scientific conclusions za sasa na kuamini kuwa ndio final.. Kumbuka kuna kipindi wanasayansi waliamini dunia ni tambalale hadi pale ilipojulikana kuwa tofautiKama huko kote hakuna uthibitisho haina maana tu.
Msabato mkatoliki mprotestanti muanglikana ...m TAG ....muislamu mfreemason wote nyinyi ni watumishi wa ibilisi dini yenu ni moja ....hakuna mtu mwenye madhehebu aliye na dini ya kweli na ya haki hata siku moja ...madhehemu maana yake ni hekalu la shetaniWadau hamjamboni nyote?
Nilikuwa naongea na Msabato mmoja rafiki yangu kuhusu Kanisa kuruhusu baadhi ya mafundisho au Imani zinazoenda kinyume na Biblia
Katika mazungumzo yetu nilimtajia mambo mawili tu ambayo yameruhusiwa Kanisani karibuni kuwa ni kuruhusu wachungaji wanawake , idara ya wanawake pamoja na fundisho la holly trinity doctrine
Nilimwambia na kumpa ushahidi kuwa hayo hayakuwepo kabla na yameingizwa kimakosa kwenye Kanuni za Kanisa
Ndugu yangu Wala hakunibishia baada ya kumpa ushahidi ila Cha ajabu akidai kuwa hizo ni njama za wakatoliki kuharibu Kanisa lao.
Nilijaribu kumuomba anipe ushahidi alishindwa na aliendelea kutupa lawama kwa Kanisa hilo kuwa limeweka mapandikizi kuvuruga Kanisa
Sijaona logic kwenye madai yake kwani kwa mfano Kanisa Katoliki hawana huduma ya wachungaji wanawake
Naombeni mnishauri
Niwatakie Dominika njema