Rafiki yangu wa kike anataka nimuoe, je tutakua tumefanya maamuzi sahihi?

Mimi kwa nionavyo kwa upande mmoja ni sahihi kumuoa kwakua ndo mwanamke pekee umeweza kudumu nae kwenye urafiki kwa muda wote huo na hamjawahi kugombana hivyo DNA zenu za maisha zinaweza zikaendana.

Mbili ni kua kila mmoja anajua madhaifu ya mwenzie hivyo itakua rahisi kuvumiliana pale mnapotofautiana ndani ya nyumba

Lakini pia Hadi yeye mwenyewe ametamka wazi wazi kwamba umuoe japokua hatujui kama anamaaniaha kweli au anatania kama ilivyo ada basi huyo amekuridhia toka moyoni kwani wewe kwa kipindi chote hicho hujawahi kua na hisia nae hata kidogo?

Lamwisho yawezakana amechungulia anaona hana mahusiano ya kueleweka Hadi Leo na umri ndo unamtupa mkono huku kashachezeana vya kutosha,wewe mwenyewe hueleweki unataka nini basi anaamua ngoja azeeke tu na wewe kwakua wewe ndo unaejua madhaifu yake mengi na Siri zote za kwake unazo wewe.(Yaani kifua chako kina mengi yakwake).Inawezekana anakupenda kwa dhati lakini wewe huoni au inawezekana anataka apate tu faraja ya ndoa.Hivyo basi maamuzi ni Yako wewe ndo utakaeishi nae sio sisi,wewe ndo unaemjua sio sisi.
 
Usipuuzie ishara anazokupa, Kama amekuwa akigusia ndoa mara kwa mara, zungumzeni wazi kuhusu hisia na matarajio yenu badala ya kubaki kutabiri. Usiingie kwenye ndoa kwa sababu ya ukaribu tu, lakini pia usiache jambo hilo liendelee bila ufafanuzi

Ukweli mapema unaweza kulinda urafiki wenu kuliko kuishi kwenye ukimya wenye matarajio tofauti
 
Mwanaume na akili zako timamu unakubali mwanamke akuite mkund*u kwa sababu tu, nyie ni marafiki?

Aisee mkuu, Mbona unashusha hadhi za uanaume wako?

Utani gani wa kuitwa namna hii?
Kwani ukiitwa hivyo Kuna sehemu yoyote ya mwili unameguka?Njoo pwani uone watu wanavyoishi pengine unaweza ukabadili msimamo wako na kuwaona wanawake nao pia wanahaki ya kuishi sio kidogo tu unampa kipondo hadi kumchinja kisa eti kakuita ******.Hilo neno huku Tanga ni kama salamu tu

Na hiyo pia kwa upande mwingine imewafanya jaziba kwao zipungue ni mara chache kusikia pwani eti mwanamke amechinjwa kwa wivu wa mapenzi.
 
Hakuna mwanamke hapo,,,na ukija ukioa hyo mwanamke utajuta.
 
😁😁😁, it's not for love, lkn u seem being her last choice, the choice of failure...be keen, ndoa si kitu cha kukiendea kwa Nadharia, ikiwa hisia hazimatch, subiri kwanza...

I had one friend of mine, hivyohivyo..nilimkatalia akatakata na alinielewa...ndoa si sehemu za kufanya majaribio aseee.

Ikiwa uko sure mambo yatakaa poa,na atakuheshimu kama mume, take one bold step na mnamatch Energies pia
 
Mkisha ingia kwenye ndoa you can't keep distance from her, mtarushana ngumu, maneno etc lakini usiku baado mtalala kitanda kimoja na chakula mtakula kimoja. Unless otherwise ukimbie familia yako uliyo ianzsha.

So mapenzi ya mtaani haya ya hit & run kwenye ndoa ni tofouti kabsa.
 
Umesema unamjua kiundani. Je ni bikra? Kama sio basi humjui na sikushauri uoe mke wa mtu.
 
Na Tanga ndio mkoa wenye watu wavivu na wajinga wajinga.
 
Ni vyema mkaoana kwasababu tabia zenu zinafanana hasa uasherati na uduwanzi ila jiandae kumvumilia siku atakapolala na mwanaume mwingine ambaye ni rafiki yake na nakuhakikishia hawatafanya chochote kama kwako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…