EwaaaaaKama kuna kitu naweza kukushauri ni pambanieni katiba mpya...
Nashindwa Ku Eleewa! Jamaa anaoa kwa sababu anaona ni muda wake sahihi wa kuoa au kwa sababu demu anahitaji ndoa?Mpaji Mungu njoo kwanza ππ
Mkuu wanaume waliooa wanawake bikra ndoa zao hazivunjiki? Kaa na jibu lakoUmesema unamjua kiundani. Je ni bikra? Kama sio basi humjui na sikushauri uoe mke wa mtu.
Unaweza kuwa na advantage ni rafiki yako uko huru hata kumwambia lolote na yeye hivyo hivyo yuko huru zaidi kwako...mko close na mna chemistry hii inaweza kuwa positive ila binafsi nadhani kama hamkutamaniana kimahusiano punde mlivyokutana sidhani kama mtaweza kutamaniana sasa hivi....mkiingia ndoani nyinyi mtakuwa ni mabestie mlioingia ndoani ..lazima mtaweka boundaries kwenye baadhi ya mambo (sex) ndani ya uhusiano wenu na wala hamtaifurahia hio ndoa..
Swali la kihuni.Wewe ni mwanamke au maanaume?Kuna Rafiki yangu wa kike tulikutana Chuo na urafiki wetu ukaanza tangu mwaka wa kwanza mpaka leo. Ni rafiki ambae tumeshibana sana, ananijua kiundani namimi namjua kiundani kuliko ambavyo ata ndugu zetu wanatujua.
Amekua akigusia suala la mimi kumuoa mara kwa mara nachukulia tu kawaida kulingana na ukaribu tulionao, kipindi tupo chuo nilkua najua wapenzi wake na alikua akiniunganisha sana na madem hasa marafiki zake. Tumeshalala sana pamoja na kila mara tukimshinda shetani na hila zake.
Ni rafiki ambae ata nikiingia kwenye mahusiano na mpenzi mpya lazima nimtambulishe ili kuondoa sintofaham, kama hawezi kuvumilia suala la mimi kuwa karibu na rafiki yangu basi milango inakua ipo wazi. sheβs my first priority ingawa hajawahi kuwa kikwazo kwenye mahusiano yangu na madem zangu wengi wanamjua.
Hili suala la kumuoa sijawahi kulitilia maanani, naombeni mtupe ushauri kama itakua sawa au tubaki kwenye reli maana ni mwanamke ambae sipo tayari kumpoteza kwa namna yoyote ile na namna nzuri ya kuendelea kutuweka karibu ni hii ya Urafiki, kuna ambao wana experience na situation kama hii wanipe uzoefu?
ππ hiyo Para ya mwisho ndiyo ushauri gani huo?????Nashindwa Ku Eleewa! Jamaa anaoa kwa sababu anaona ni muda wake sahihi wa kuoa au kwa sababu demu anahitaji ndoa?
Anyway cha kushauri amchumbie kwa muda mrefu na awe anaichapa mara kwa mara.
Nimempa huo ushauri naona ameishia kutoa tu povu. Narudia tena kumpa ushauri kama sio bikra asioe. Atanishukuru baadayeKama ujawaju ex zake mzee mtaleteana jau tu humo ndani.
Yaani unajua kabisa fulani na fulani waliichapa sio kweli.
Rasilimali zitumike bn.ππ hiyo Para ya mwisho ndiyo ushauri gani huo?????
Oa wewe bikra mkuu inatoshaNimempa huo ushauri naona ameishia kutoa tu povu. Narudia tena kumpa ushauri kama sio bikra asioe. Atanishukuru baadaye
HahahNchi Haina katiba mpya alafu unataka uoe?? Utaweza kweli kupambania katiba mpya huku ndani unalala uchi na mke wako?
Achana nae huyo mkuu, ebu naomba namba yake chap....π
Jibu Kumbe unalo,muoe Sasa!Kuna Rafiki yangu wa kike tulikutana Chuo na urafiki wetu ukaanza tangu mwaka wa kwanza mpaka leo. Ni rafiki ambae tumeshibana sana, ananijua kiundani namimi namjua kiundani kuliko ambavyo ata ndugu zetu wanatujua.
Amekua akigusia suala la mimi kumuoa mara kwa mara nachukulia tu kawaida kulingana na ukaribu tulionao, kipindi tupo chuo nilkua najua wapenzi wake na alikua akiniunganisha sana na madem hasa marafiki zake. Tumeshalala sana pamoja na kila mara tukimshinda shetani na hila zake.
Ni rafiki ambae ata nikiingia kwenye mahusiano na mpenzi mpya lazima nimtambulishe ili kuondoa sintofaham, kama hawezi kuvumilia suala la mimi kuwa karibu na rafiki yangu basi milango inakua ipo wazi. sheβs my first priority ingawa hajawahi kuwa kikwazo kwenye mahusiano yangu na madem zangu wengi wanamjua.
Hili suala la kumuoa sijawahi kulitilia maanani, naombeni mtupe ushauri kama itakua sawa au tubaki kwenye reli maana ni mwanamke ambae sipo tayari kumpoteza kwa namna yoyote ile na namna nzuri ya kuendelea kutuweka karibu ni hii ya Urafiki, kuna ambao wana experience na situation kama hii wanipe uzoefu?
Tatizo liko apo namimi sitaki ukaribu wetu ufe kwa namna yoyote ileUbaya was mapenzi, mkishaoana ndipo sasa mtaanza kuoneshana uhalisia wenu wenyewe, mtajikuta mnapoteza urafiki na mapenzi kwa Pa1