Rafiki yangu wa ukubwani kafariki kisa ndoa

Na USHUHUDA wotee huu RAIA bado WABISHI..!!

#YNWA
 
Nimesoma kisha nimetafakari sana. Pengine kuna mwanamke aliyekuwa anampenda Dev lakini Dev akamuona hamfai akaamua kuoa huyu aliyepelekea mauti yake.(yan inawezekana alishautenda moyo wa mtu)

Mimi nitawafundisha vijana wangu mapenzi yasikupelekeshe kupenda sana waachie movie za kihindi sitaki ujinga kwenye familia yangu, mpende sana Mungu Sali sana. Tuombee wazazi wenu maisha marefu
 
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Je vitu vyako vilienda wapi? Uliuza ili uhonge mahakamani au alichukua mkeo? Be specific wewe ni mtu mzima. Andika vitu vinavyoeleweka.
 
Mama yake kapikia kuni yeye ale aksome ili afanikiwe katahira kamoja kamemuua [emoji849]
 
Wakati mwingine tufikirie kuoa mwanamke anyetoka katika familia ya kitajiri..!

Toho ya umasikini ni mbaya sana huleta chuki na tamaa pamoja na ubinafsi katika ndoa hasa unapokutana na mwanamke asiyekupenda na aliyetoka kudanga na kujeruhiwa ,kiruka njia.... akishachoka na yote hayo...anakuwa... anatafuta chance ya kusurvive kimaisha kupitia wewe
 
Amen.
Mungu aibariki familia yako.

#YNWA
 
Je vitu vyako vilienda wapi? Uliuza ili uhonge mahakamani au alichukua mkeo? Be specific wewe ni mtu mzima. Andika vitu vinavyoeleweka.
Mwenye vitu vyake ni "Marehemu"

Labda tuanzie hapo kuelewa.

#YNWA
 
Mda mwingine tuwe tunawasikiliza wazazi wetu kabla ya kuoa haya mambo ya mwanaume hachaguliwi mke kwa kipindi hiki ndo yanafanya ndoa nyingi zinakuwa kaa la moto.
Kwani huyo atakae chaguliwa na wazazi ndio atakua sahihi.

Punguzeni UBISHI nyie watu.

#YNWA
 
Endelea kufurahia wake za watu siku yako inakuja
Umeelewa hii paragraph........

""Mara ya kwanza nilimtongoza na sikujua kama mke wa mtu, ila baada ya miezi kupita ndio alinichana kuwa ye ni mke wa mtu.""

Wake zenu tukiwatongoza hawasemi kama wameolewa.

Huyu hakusema, mi nilimtongoza nikamla, nilikuja kugundua baada ya kumla bro.

KOSA LANGU LIKO WAPI?

#YNWA
 
Kwahiyo mnaoa kwasababu ya matatizo.

Mbona wakina Dangote ni over 50 na hawajaoa? Kwahiyo wana matatizo?

#YNWA
 
Let's wait for THE TIME.

#YNWA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…