Liverpool VPN
JF-Expert Member
- Aug 29, 2020
- 6,958
- 16,358
- Thread starter
- #381
Na USHUHUDA wotee huu RAIA bado WABISHI..!!Nyie oeni tu.
Jana nikiwa ofisini, alikuja jamaa ni fundi ofisi ya jirani hapa kwetu. Karudi kutoka shamba alikohamia baada ya kuona maisha ya mjini hayakai sawa, akaamua yeye na mkewe warudi zao shamba kama miaka miwili sasa na kule shamba wana mashamba ya familia hivyo ni uwezo wako tu wa kuyahudumia.
#YNWA