Rafiki yangu wa ukubwani kafariki kisa ndoa

Rafiki yangu wa ukubwani kafariki kisa ndoa

Nyie oeni tu.

Jana nikiwa ofisini, alikuja jamaa ni fundi ofisi ya jirani hapa kwetu. Karudi kutoka shamba alikohamia baada ya kuona maisha ya mjini hayakai sawa, akaamua yeye na mkewe warudi zao shamba kama miaka miwili sasa na kule shamba wana mashamba ya familia hivyo ni uwezo wako tu wa kuyahudumia.
Na USHUHUDA wotee huu RAIA bado WABISHI..!!

#YNWA
 
Nimesoma kisha nimetafakari sana. Pengine kuna mwanamke aliyekuwa anampenda Dev lakini Dev akamuona hamfai akaamua kuoa huyu aliyepelekea mauti yake.(yan inawezekana alishautenda moyo wa mtu)

Mimi nitawafundisha vijana wangu mapenzi yasikupelekeshe kupenda sana waachie movie za kihindi sitaki ujinga kwenye familia yangu, mpende sana Mungu Sali sana. Tuombee wazazi wenu maisha marefu
 
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Je vitu vyako vilienda wapi? Uliuza ili uhonge mahakamani au alichukua mkeo? Be specific wewe ni mtu mzima. Andika vitu vinavyoeleweka.
 
Wakati mwingine tufikirie kuoa mwanamke anyetoka katika familia ya kitajiri..!

Toho ya umasikini ni mbaya sana huleta chuki na tamaa pamoja na ubinafsi katika ndoa hasa unapokutana na mwanamke asiyekupenda na aliyetoka kudanga na kujeruhiwa ,kiruka njia.... akishachoka na yote hayo...anakuwa... anatafuta chance ya kusurvive kimaisha kupitia wewe
 
Nimesoma kisha nimetafakari sana. Pengine kuna mwanamke aliyekuwa anampenda Dev lakini Dev akamuona hamfai akaamua kuoa huyu aliyepelekea mauti yake.(yan inawezekana alishautenda moyo wa mtu)

Mimi nitawafundisha vijana wangu mapenzi yasikupelekeshe kupenda sana waachie movie za kihindi sitaki ujinga kwenye familia yangu, mpende sana Mungu Sali sana. Tuombee wazazi wenu maisha marefu
Amen.
Mungu aibariki familia yako.

#YNWA
 
Je vitu vyako vilienda wapi? Uliuza ili uhonge mahakamani au alichukua mkeo? Be specific wewe ni mtu mzima. Andika vitu vinavyoeleweka.
Mwenye vitu vyake ni "Marehemu"

Labda tuanzie hapo kuelewa.

#YNWA
 
Mda mwingine tuwe tunawasikiliza wazazi wetu kabla ya kuoa haya mambo ya mwanaume hachaguliwi mke kwa kipindi hiki ndo yanafanya ndoa nyingi zinakuwa kaa la moto.
Kwani huyo atakae chaguliwa na wazazi ndio atakua sahihi.

Punguzeni UBISHI nyie watu.

#YNWA
 
Endelea kufurahia wake za watu siku yako inakuja
Umeelewa hii paragraph........

""Mara ya kwanza nilimtongoza na sikujua kama mke wa mtu, ila baada ya miezi kupita ndio alinichana kuwa ye ni mke wa mtu.""

Wake zenu tukiwatongoza hawasemi kama wameolewa.

Huyu hakusema, mi nilimtongoza nikamla, nilikuja kugundua baada ya kumla bro.

KOSA LANGU LIKO WAPI?

#YNWA
 
Utawapataje bila kusex?
Kwahyo utasex kavu na kila mwanamke unayemuona ili upate watoto?

Na nyumbani nani atakuwa msaidizi wako ktk hali na Mali

Ndugu yangu usijidanganye ukajiona ni mzima wa afya.
Unaweza ukabanwa usiku ukakosa hata mtu wa kuomba maji.

Ukajifia week nzima ndani ,,
watu wanapata taarifa kwa harufu unayotoa chumbani kwako.
Usidhani watu wanaoa kwa lengo la kusex pekee.
Mke ni zaidi ya sex .

Kuna tatizo,,linaweza kukukuta ghafla ukakosa hata wa kutoa taarifa haraka usaidiwe.

Mtu akishakuwa over 50 bila mke au kuishi na family ni tatizo kubwa sn.
Kwahiyo mnaoa kwasababu ya matatizo.

Mbona wakina Dangote ni over 50 na hawajaoa? Kwahiyo wana matatizo?

#YNWA
 
Time will come,, millennials watajutia maamuzi ya kufanya mapenzi kama video games,,

The time will come ambapo men will turn from Dogs to wolf and trust me,, they will terrorize the society

The time will come when Eve's gender will be desperate to have a family and Adam's gender will be in a defensive position,,,

Currently what wanafanya is pulling up the tail of the monster within us and they exactly know kuwa they can't tame it,,
Let's wait for THE TIME.

#YNWA
 
Back
Top Bottom