Mbususu unampa kwa moyo mmoja au bora liende?Kagoma kuachana kagoma kamanda,pia mali yake hainihusu mimi kabisa.Ile ni ndoa ya bibi na bwana na siyo bibi na mali ya bwana.Akija niacha niende hata kikombe sitochukua
Kwahiyo utaishi kwa dhambi all your life!!??Nani kakwambia usipooa lazima upige nyeto , madem wwnyewe wa hit and run wapo kibao tuu ni ww tu na mtonyo wako
Lizigua lililokulia milimani hata kuandika business plan halijui,kakandamiza kisukuma kabisaa.Wewe acha kufananisha wazigua na vitu ya ajabu
Kwa hiyo mtu akipiga nyeto hapati dhambi ?Kwahiyo utaishi kwa dhambi all your life!!??
Msukuma mshambaLizigua lililokulia milimani hata kuandika busness plan halijui,kakandamiza kisukuma kabisaa.
Hajatoswa, katosa yeye!Billgate katoswa uzeeni.Bas tu ni changamoto za hapa na pale
Hiyo profile ni wewe? Kama ndiyo, ana haki ya kukataa kukuacha!Kagoma kuachana kagoma kamanda,pia mali yake hainihusu mimi kabisa.Ile ni ndoa ya bibi na bwana na siyo bibi na mali ya bwana.Akija niacha niende hata kikombe sitochukua
Kwa hiyo wazigua mnaishi Morogoro milimani nikadhani Baharini Tanga.Msukuma mshamba
Labda alikuww anampa mzigo wakili alafu wengine helaMkewe alipeleka kesi mahakamani kuomba talaka.
6. Huko nako Dav alichosikia, mkewe alitembeza mbunye na pesa mpaka talaka ikatolewa.
7. Ilibidi gari na mashamba yauzwe iliwagawane na ndoa ivunjwe..!!!
Nikashangaa....
""Mbona hizi Mali ulizipata kabla ya ndoa??""
Alinijibu "hata sijui nini kilifanyika, na vile kuokoa watoto wangu (wawili) ilibidi nikubali liuzwe gari na mashamba ndio tugawane halafu nyumba abaki nayo akae na watoto"
poleni ila najiuliza huyo mke wa marehemu aliwezaje kuhonga the so called mbunye mahakama zote?
Kuna kitu hakiko sawa hakuna mahakama ya ajabu igawe kijinga hizo mali wakati sheria iko wazi.
Unapofika wakati wa kupelekana mahakama inabidi kutuliza akili, kuomba ushauri kwa wataalamu wa sheria.
Mtu ana hizo mali zote anashindwa kumuweka hata wakili, hata kama wanaachana wagawe fair?
Kama mahakama husika haikutenda haki alishindwa nini kukata rufaa?
Kuachana na mke ajiwekee stress hadi afe? Hiyo ndo kuokoa watoto wake?Kwani yeye wa kwanza kuachwa? Wanawake wote hawa si angepata mwingine?
Ifike mahala watu mjitambue jambo kama hilo likitokea ongea na watu anza upya maisha sahau ya zamani magari na nyumba vinatafutwa.
Hahahahaha ndio maana wanafuta thread zako Mpwa. Ndoa yangu INA miaka unaeda mwaka wa 17 sasa.Ipo siku Tutasoma story za maisha yenu magumu mtakayopitia kwenye hizo NDOA ZENU.
Mi niwatakie tu MATESO YALIYOPUNGUA MAKALI.
Kuingia kwenye ndoa ni kuingia kwenye mateso MAKUU.
Niwatakie VIFO VYA KUJITAKIA VYEMA.
#RIP TZ CITIZEN IN ADVANCE.
#YNWA
MnyakiMwanamke alikua kabila gani?
31 Yrs hustling for money ili nikale bata DUBAI + LONDON + MIKUMI + MAFIA ISLANDA + .........Una umri gani mkuu?
Heshima ni Pesa na Cheo.Sasa ndy heshima nzr kwa mtu mzima,
Kila mwanamke amuone uchi wake?
Ndoa ni sitara mkuu.
Mwanaume/mwanamke asiyeolewa ni kama hana nguo.
Muhimu ni kupata mwanamke sahihi usihadaike na muonekano wa nje wa mwanamke.
Kwakweli kuna umri usipooa huna heshima yeyote.
wangemuacha afe mungu akam binye makende yanayomuongoza kuliko akili pumbaf kabisa!, kisa mwanamke??, hii ni tabia ya kike kabisa wanaume tumekuwaje lakini, wana tunakikao serena hatuwezi kwenda kwa mwendo huu!!. Duh jinga kabisa, dada ungeenda na petrolNa wangu alitaka kujiua kwa bahati nzuri maziwa na majirani walikuwa karibu.Nilimchana live,usilete nuksi mjini,ufe kwa ajili yangu,mimi nisiyenduguyo,huwez fikiria tabu alizopata mother wako mpaka umefika hapa?
Huwez waza maumivu atakayopata mama ako ukifa? Embu itazame sura yangu vizuri je hujutii kutaka kujiua sababu yangu ambaye siingii hata mara moja kwa warembo utakaowaacha duniani na wenye kiu kweli ya ndoa?
NAONA ALINIELEWA MAANA NAONA HATA KUPIGAPIGA SIMU KUWAJULIA HALI WATOTO KAPUNGUZA.Ndo nitajua sijui safari hii,sijui nilianzajeanzaje kumsanua...nadhani kabla ya kumchana alikuwa ananiona mimi tu dunian sasa sijui huko anafanyaje eti?
Nikiwa Bachelor 2014 (Nilisoma nikiwa service) nilikuwa natomb* mke wa mtu ambae ndoa yake ina miaka 12.Hahahahaha ndio maana wanafuta thread zako Mpwa. Ndoa yangu INA miaka unaeda mwaka wa 17 sasa.