Rafiki yangu wa ukubwani kafariki kisa ndoa

Kama mke anakupa stress na huwezi handle emotion za mama watoto wako utakufa tu hata usipooa ukazaa na malaya wa mtaani. Tena wale wanakuua hawapitii mahakamani.
Siku hizi wapo wanawake wasiotaka kuolewa ila WANATAKA watoto.

Ni kuzaa wawili au watatu then live your life man.

Uzee bora unajengwa na leo.

Wapo wenye wake zao na watoto kibaoo ila wanamaisha magumu sanaa ya uzee.

Andaa kesho yako.

#YNWA
 
Usioe uishi milele.

Matukio ya vifo sababu ya ndoa miaka ya nyuma labda usikie mke kamchukua mume msukule au kapewa sumu. Wanaume walikuwa majasiri.

Sasa hivi wanaume wanaendesha ndoa zao kwa kutumia Moyo kama wanawake. Hofu ya kugongewa kila kona.
Vijana wa sikuhizi wanatetemekea sana wanawake wao kiasi kwamba wanaonekana maboya tu, eti unakuta mke nae ana kauli ambazo mwanaume anazifata bila kuhoji😂.

Najua ntaonekana natumia mfumo beberu, ila mwanamke ameumbwa kutawaliwa.Mwanaume mtawale mke wako ipasavyo, ukisema umesema akileta dharau na makofi ale.

Lisa jingine kubwa watu wanafanya ni kuruhusu wanawake wao wawe watafutaji, Sasa kama mwanamke ataweza kupata kila kitu kwa kujitegemea kutakuwa na ndoa hapo? Haiwezi kuwepo kwasababu kitu pekee atakachotaka kwako kitabaki kuwa mboo tu,kwahiyo akipata wakumsugua vizuri kuliko wewe,ndo imeisha hivyo.

Vijana kuwenu shupavu kwenye maisha yenu.
 
Wawe shupavu. Hiyo ni hoja ya msingi sana.
 
Ukapime na ngoma
 
Vijana wanapaswa kutambua Kuna wanawake wa kuwa "mke" wengine wapo kwa ajili ya starehe tu ni rahisi Sana kuwatambua ukitumia akili kuliko hisia.
Toa hint mkuu. Kuna kundi kubwa la wanaume wanaangamia.
 
Na hapendi kuchangamana na watu,akija home toka huko anakoishi anaweza lala kuanzia asubuhi mpaka jioni...yeye mwamshe kuoga,chakula basss
mh ila mbona kama kawa kichaa mkuu, ila litakukuta jambo. Mungu ibariki tanzania tubariki wanaume, maana dada unamoyo wa kiume mwamba moyo wa kike? Ila ungekuwa wangu kwa moyo huo nishataambaa kitambo najua nisipokaa kwa kutulia utanitia petrol
 
Wewe usioe tu na sio kutisha watu hata usipooa utakufa tu mzee, so acha kueneza sumu zako kwa wengine ka hupendi ndoa. Maisha huwa hayaishi changamoto wether single or not.
 
Kwa hiyo unashauri vijana wasioe? Unatafuta maisha ili mwisho iweje?

Vv
 
Kuna mwanangu nae juzi Kati mke ndo kajifungua then job likakata ghafla. Pesa ikawa ya kutafuta kwa tochi... Akirudi home badala ya kupata pumziko a nakutana na MATUSI si ya nchi hii. "we nae baba" nawe utajiita mwanaume na mambo kama hayo. Jamaa kitambi kikaisha... Uzuri hakuwa amejenga na hakuwa na mimali mingi so ili kuokoa uhai wake kimwili na kiakili... A kamwambia mama mi na wewe basi nenda kwenu mtoto mdogo nenda nae matumizi yatakuja huko huko. Now jamaa though pesa haiji nyingi kama mwanzo lakini Ana Afya ya Akili safi tu na bado Ana ndoto za kutosha ila kuoa kasemA huo UPUMBAVU hatakaa afanye tena. Atakula malaya kila akipata NGALE.. [emoji23]
 
Na Nasubiria huu uzi kwa hamu nijue ilivyokuwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…