Rafiki zangu wanapooa ukaribu wetu hupotea ghafla, nini kinawapata huko?

Ukiona mwana kaoa alafu kawakataa wahuni jua huyo si mwana alafu ni ndezi maana wana wa ukweli ni pesa , ni madini ni almasi .
Aloo! 🤝Siku hizi upo free!! Niliona uko banned nikajiuliza huyu nae kafanyaje tena??!

Ulichosema ni kweli, kuna watu wakioa wanaona wamemaliza kazi, kumbe ndio imeanza 😀
 
Take it positively,
One: anakupunguzia majukumu.
Two: wife anamkomaza mumewe, to carry his responsibilities fully, to spread his own wings even further.
 
Ulivyomtetea sasa😓
Kuna kipindi nilipata majanga nikawa sipatikani hewani week nzima. Hapo nimeaga geto naenda Moro mara 1.
Baada ya mwamba kunikosa, hana namba ya mtu mwingine yoyote wa familia wala mchumba wangu.
Alipambana akapata namba ya mama yangu after 10 days.
Mama akampa namba ya mkwewe (mchumba wangu) ndio juhudi ikafanyika akanipata.

Nnavyosema hivyo namaanisha. Jamal sio mtu mbaya. Ila mkewe yule siyo.
 
Umepata uhakika gani kwamba mkewe sio?
 
Kwenye jando tulifunzwa kufuatana na kuwa na marafiki wa rika letu.

Kama umeenda jando hutakiwi kukaa na wasiotahiriwa.

Kama umeoa hutakiwi kufuatana na wasiyooa.

Na mtu akipewa mafunzo kwamba asiwe na marafiki bachela hawezi kuja na kukuambia kuwa ameambiwa asiwe na marafiki bachela.
 
Ilikuwa nzuri hadi uliposema maamuzi magumu…

Kuoa sio uamuzi mgumu, ni uamuzi sahihi.
 
Ndio maana ndoa hazidumu, cheki zinavyopigwa vita, soma comments uone. Mnang'ang'aniaje watu waliooa wakati ambao hawajaoa wapo kibao tu si muwe marafiki na hao?

Ya"ll clingy ASF! Takieni watu heri na mtafute marafiki zenu wengine 😂
 
Hapo nimekusoma basi mke wa Jamal anakusnitch kwa mwanao kuwa wewe hufai

Sema nini as long as uwa unamsaidia jamal baadhi ya harakati basi kaa ujue ipo siku mkewe jamal atakukubali na mtakuwa familia .

Ila shida ni jamal naye kuendeshwa na hako kademu alafu anamsahau muhuni wake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…